Balozi Seif: Serikali itasimamia kazi ya uchimbaji mchanga ili kunusuru mazingira

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itafungua tena kazi za uchimbaji  mchanga kuanzia Jumatatu ya Tarehe 6 Machi 2017 ikilazimika kuchukuwa uamuzi mgumu wa kusimamia moja kwa moja uchimbaji huo badala ya kuwaachia Wananchi.

Alisema maamuzi hayo ya Serikali yatakwenda sambamba na utolewaji wa bei elekezi ya mchanga ili kujaribu kuzuia uharibifu wa mazingira uliokwishaathiri maeneo mengi yaliyokwishachimbwa mchanga pamoja naulanguzi...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MPINA AFANYA ZIARA USIKU KUBAINI UHARIBIFU WA MAZINGIRA UTOKANAO NA UCHIMBAJI WA MCHANGA.

NA EVELYN MKOKOI
Katika hali isiyoya kawaida, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina, amefanya ziara ya Oparesheni maalum kwa kushirikiana na jeshi la Police kitengo cha FFU ili kuweza kubaini uharibifu wa mazingira unaofanywa kwa uchimbani na uchotaji wa mchanga katika vyanzo vya maji na maeneo mengine.
Akiwa katikati ya Mto Mpigi uliopo katika mpaka wa Dar es salaam na Bagamoyo usiku wa kuamkia leo, naibu Waziri Mpina alisema kuwa watu wanaochimba na...

 

2 years ago

Mwananchi

Kikosi kazi kusimamia uchimbaji mchanga Zanzibar

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mazingira, Mifugo na Uvuvi, Zanzibar , Dk Islam Seif  Salum amesema kuanza kwa uchimbaji mchanga viwani hapa  kutaondoa wizi wa mchanga maeneo mbalimbali.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Balozi Seif awataka makatibu kuwa wasiri ili kuhifadhi faragha za Serikali

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Balozi Seif Ali Iddi alisema Makatibu Mahsusi Nchini wanapaswa kuelewa kwamba wanawajibika na jukumu zito na la lazima katika kuendelea kuwa wasiri ili kuhifadhi faragha za Serikali pamoja na Wakuu wao wa Kazi.

Alisema nafasi ya Makatibu Mahsusi wa Taasisi za Umma na hata zile Binafsi wana uelewa mpana unaowapa nafasi ya kujua mambo na siri nyingi za Kiofisi wanazolazimika kuziengaenga muda wote wa majukumu yao ya Utumishi.

Akiufungua Mkutano Mkuu wa Chama...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yalivalia njuga suala la uchimbaji mchanga

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar  imesema kutokana na hali mbaya ya mazingira iliyosababishwa  na uchimbwaji mchanga   hivi sasa  itaendeleza  azma yake ya kudhibiti  uchimbwaji mchanga  katika maeneo yote unguja na Pemba ili kunusuru hali hiyo.

Akizungumza katika Ziara maalumu na Waandishi wa habari katika ukaguzi wa maeneo yaliyoathirika kwa kuchimbwa mchanga katika mashimo ya mchanga huko Zingwezingwe Mkuu wa kitengo cha Maliasili zisizorejesheka Ngwali Makame Haji amesema  Serikali...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Balozi Seif awataka wakandarasi kufanya kazi za serikali kwa uadilifu

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, amewaomba Wakandarasi na wasimamizi wanaopata kazi za Ujenzi katika Taasisi za Serikali, kufanya kazi zao kwa uadilifu wa hali ya juu, kinyume chake Serikali haitokubali kukabidhiwa majengo yasiyokuwa na kiwango.

Alisema Serikali italazimika kutumia sheria za ujenzi, zilizopo katika njia na Utaratibu wa kukataa kazi yoyote ile, iliyokuwa chini ya kiwango kinachokubalika kimikataba.

Balozi Seif Ali Iddi, alitoa ombi hilo wakati...

 

4 years ago

Vijimambo

Balozi Seif azindua mradi wa uchimbaji wa visima Chumbuni

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe kuzindua mradi wa uchimbaji Visima vya Maji Zanzibar unaofadhiliwa na Mtawala wa Ras Al - Khaimah hapo Chumbuni.Balozi Seif akishuhudi kasi ya maji inayotoka miongoni mwa Visima 50 vilivyochimbwa maeneo mbali mbali ya Zanzibar hapo Chumbuni ndani ya iliyokuwa zamani studio ya Sauti ya Tanzania Zanzibar.Balozi Seif akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Rak Gas ya Ras Al-Khaimah Bwana Kamal Ataya...

 

3 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA TWIGA CEMENT WAZO CHAPEWA MWEZI MMOJA KUREKEBISHA MFUMO WA UTOAJI TAKA ILI KUNUSURU MAZINGIRA

Kiwanda cha kutengeneza cement cha Twiga cement cha wazo jijini dare s Saalaam kimepewa muda wa mwezi mmoja kurekebisha mfumo wao wa utoaji taka ili kunusuru uharibifu wa mazingira na maisha viumbe hai.
Hayo yamesemwa Leo jijini Dar es Salaamna waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Luhaga Mpina katika ziara yake ya kutembelea kiwanda hicho.Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Luhaga Mpina akizungumza na Uongozi wa kiwanda cha twiga...

 

3 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF AFUNGUA SEMINA YA UTAFUTAJI NA UCHIMBAJI WA MAFUTA NA GESI ASILIA ZANZIBAR


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akifungua Semina juu ya utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi iliyofanyika katika ukumbi wa juu wa Baraza la Wawakilishi uliopo Mbweni.Kulia ya Balozi Seif ni Waziri wa wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira Mh. Salama Aboud Talib na wa Pili kutoka Kulia ni Mwakilishi wa Kampuni ya Utafiti wa Mafuta na Gesi asilia ya Rakgas kutoka Nchini Ras Al – Khaimah Bwana Kamal Ataya.
Wajumbe wa Baraza...

 

4 years ago

Michuzi

TAASISI ZA SERIKALI ZAASWA KUBINI MBINU MKAKATI KATIKA UFANISI WA KAZI-BALOZI SEIF ALI IDDI

Na Othman Khamis Ame Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Watendaji wa Taasisi za Serikali wana wajibu wa kutumia vipaji walivyojaaliwa kuwa navyo katika kubuni mbinu na mikakati watakayohisi kwamba inaweza kutaleta faida na ufanisi katika maeneo yao ya kazi sambamba na Serikali  Kuu kwa jumla.
Alisema faida ya ubunifu watakaoutumia watendaji hao utaongeza kasi ya uwajibikaji endapo wataendelea kushikamana baina yao katika...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani