BALOZI WA CHINA ATETA NA DK MENGI, AAHIDI KUSAIDIA MABADILIKO

CHINA imetaka watanzania kutumia fursa ya kuwa na maji mengi na ardhi ya kutosha kufanya shughuli za kilimo na kuzalisha mazao mengi ambayo wanaweza kuyauza nchini humo na pia kuyatumia kama malighafi kwa viwanda vya ndani.
Taifa hilo kubwa kiuchumi duniani, limesema kwamba ufunguo wa maendeleo ya viwanda upo katika kilimo na biashara ya kilimo hivyo ipo haja kwa watanzania kufanya bidii katika kufanikisha kilimo.Kauli hiyo imetolewa na Balozi wa China nchini Tanzania, Wang Ke kwenye...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

BALOZI WA CHINA AAHIDI KUCHIMBA KISIMA DODOMA


Na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma Makao Makuu
Balozi wa China hapa nchini Mhe.Wang Ke ameahidi Serikali yake itatoa msaada wa kugharamia mradi wa uchimbaji kisima kimoja cha maji na miundombinu ya usambazaji wa huduma hiyo kwenye moja ya kijiji cha Mkoa wa Dodoma.
Balozi Wang Ke alimuahidi msaada huo Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge leo alipomtembelea na kufanya nae mazungumzo Ofisini kwake Mjini Dodoma, ambapo alimtaka Dkt. Mahenge kutumia timu ya Watalaalamu wa Maji wa Mkoa kufanya...

 

5 years ago

Dewji Blog

WAMA na Balozi wa Jamuhuri ya watu wa China kufanya ziara mikoa ya kanda ya ziwa kusaidia jamii

Picha 1

Mkurugenzi wa Uboreshaji Afya Wama, Dkt.Sarah Maongezi (Kulia) akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu ushirikiano uliopo  baina ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo pamoja na Jamuhuri ya Watu wa China nchini katika kusaidia wananchi ikiwemo ziara wanaoyotarajia kuifanya katika mikoa ya Kanda ya Ziwa kuanzia tarehe 12 hadi 19 Aprili mwaka huu,Katika ni katibu wa Balozi wa China nchini,Ren Zhihong na Meneja Mawasiliano wa Wama Philomema Marijani.

Picha 2

Katibu wa  Balozi wa...

 

2 years ago

Mtanzania

Muhongo ateta na Balozi wa Canada

picmuhongoNa TERESIA MHAGAMA

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amekutana na Balozi mpya wa Canada nchini, Ian Myles na kuzungumzia masuala mbalimbali ya uendelezaji wa sekta za nishati na madini nchini.

Kikao hicho kilifanyika jana ofisi za wizara hiyo jijini Dar es Salaam ikiwa ni mara ya kwanza kwa balozi huyo kufika wizarani tangu alipowasili nchini, Agosti mwaka huu.

Wakati wa mazungumzo hayo, Balozi Myles alimweleza Profesa Muhongo, kuwa nchi hiyo imeshiriki katika shughuli...

 

4 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF ATETA NA PAC BALOZI

  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Ukaguzi wa fedha za Serikali ya Baraza la Wawakilishi (PAC), Ofisini kwake Migombani. Mwenyekiti wa Kamati ya Ukaguzi wa fedha za Serikali ya Baraza la Wawakilishi (PAC), Mhe. Omar Ali Shehe, akizungumza wakati kamati yake ilipokutana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, Ofisini kwake Migombani. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif...

 

3 years ago

Habarileo

Balozi Seif ateta na Magufuli Ikulu

MAKAMU wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd amemhakikishia Rais John Magufuli kuwa hali ya Zanzibar ni shwari na Wazanzibari wanasubiri kutangaziwa tarehe ya kufanyika kwa uchaguzi.

 

2 years ago

Mwananchi

Mwigulu ateta na balozi wa Uingereza nchini

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini, Sara Cooke na kumuakikishia ushirikiano zaidi kati ya Wizara yake na Ubalozi huo nchini.

 

2 years ago

Michuzi

PROFESA MBARAWA ATETA NA BALOZI WA UINGEREZA HAPA NCHINI

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Kulia), akipokea taarifa ya upembuzi yakinifu kuhusu uwekezaji katika miundombinu ya Madaraja kutoka kwa Bw. Lord Clire Hollich (Kushoto) wa Ubalozi wa Uingereza, katikati ni Balozi wa Uingereza hapa Nchini Sarah Cooke. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Kulia) akijadiliana jambo na Balozi wa Uingereza hapa Nchini Sarah Cooke (Kushoto), walipokutana Jijini Dar es Salaam leo hii. Katikati ni...

 

1 year ago

Mwananchi

Balozi Mahiga ateta na mwakilishi mpya wa UNIDO Tanzania

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Augustine Mahiga leo amepokea hati za utambulisho za mwakilishi mpya wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuendeleza viwanda nchini Tanzania (UNIDO), Dk Stephen Kargbo, wa Sierra leone.

 

4 years ago

Mwananchi

Kinana aahidi kusaidia wakulima Mponde

>Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameahidi kulitafutia ufumbuzi tatizo la wakulima wa chai katika Jimbo la Bumbuli ndani ya mwezi mmoja ujao.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani