BALOZI WA KUWAIT AKABIDHI VIFAA TIBA KWA HOSPITALI KIGAMBONI

 Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa, leo tarehe 10/6/2018 amepokea ugeni wa Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Al Najem.
Mapema akimkaribisha mgeni wake, DC Mgandilwa amemshukuru Balozi Najem kwa moyo wake wa upendo kwa  watanzania hususani wakazi wa Kigamboni. 
Ameeleza kuwa vifaa ambavyo vimetolewa ni vya zaidi ya Shilingi milioni kumi na moja na vinalenga kuondoa changamoto iliyokuwepo katika wodi za akina mama na watoto. 
Vifaa vilivyopokelewa ni pamoja na mashine za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Balozi wa Kuwait nchini akabidhi vifaa tiba kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete

 Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Jasen Al Najem akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa tiba kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi.Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla...

 

1 year ago

Michuzi

UBALOZI WA KUWAIT NA TAASISI YA DORIS MOLLEL WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WATOTO NJITI, HOSPITALI YA BENJAMINI MKAPA, DODOMA

Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jaseem Al Najem (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamini Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika, sehemu ya vifaa tiba kwa ajili ya Watoto Njiti, vilivyotolewa na Ubalozi wa Kuwait kwa kushirikiana na Taasisi ya Doris Mollel, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika mwishoni mwa wiki, mjini Dodoma. Wengine pichani ni Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njiti nchini, Doris Mollel (wa pili kushoto), Kaimu Mkurugenzi...

 

1 year ago

Michuzi

UBALOZI WA KUWAIT, TAASISI YA DORIS MOLLEL WAKABIDHI MSAADA WA VIFAA TIBA VYA KUSAIDIA WATOTO NJITI KWA HOSPITALI ZA MAFIA NA WETE

Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti), Doris Mollel (kulia) akikabidhi Mashine maalum ya kumpa joto Mtoto anayezaliwa kabla ya wakati (Njiti) kwa Mkuu wa Kitengo cha Huduma wa Wizara ya Afya Zanzibar (Pemba), Dkt. Yussuf Hamad Iddi (kushoto) katika hafla fupi ya makabidhiano ya vifaa tiba mbalimbali vilivyotolewa kwa msaada wa Ubalozi wa Kuwait nchini, iliyofanyika kwenye Hospitali ya Wete, Kisiwani Pemba, Zanzibar Februari 16, 2018. ...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKABIDHIWA VIFAA TIBA VYA UZAZI ZAIDI YA 200 NA BALOZI WA KUWAIT HAPA NCHINI

Balozi wa Kuwait hapa nchini Jasem Al- Najem amemkabidhi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan vifaa tiba vya uzazi zaidi ya 200 ambavyo vitasambazwa katika hospitali mbalimbali kwa Tanzania Bara na Zanzibar.
Makabidhiano ya vifaa hivyo vya uzazi yamefanyika leo Ikulu ya Dar es Salaam ambapo Balozi wa Kuwait hapa Nchini Jasem Al- Najem amesema Serikali ya nchi hiyo imetoa vifaa hivyo kama hatua ya kuendelea kudumisha na kuendeleza mahusiano mazuri...

 

12 months ago

Michuzi

BALOZI WA KUWAIT AFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA WILAYA YA KIGAMBONI NA KUTEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA

Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa  Ijumaa 25 Mei 2018, yaliyojikita juu ya namna ya kuimarisha uhusiano kati ya Kuwait na wilaya hiyo kwa sifa ya kipekee, na baina ya Tanzania na Kuwait kiujumla. 
Katika mazungumzo hayo, Balozi Al-Najem alisema kuwa ubalozi uko tayari kushirikiana na Uongozi wa Kigamboni katika kusaidia nyanja mbalimbali husasan afya na elimu, aidha alifungua milango ya kuwasaidia watu...

 

1 year ago

Michuzi

BALOZI WA KUWAIT NCHINI AKABIDHI MASHINE ZA WATOTO NJITI KWA TAASISI YA DORIS MOLLEL

Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jassim Al-Najim (kushoto) akikabidhi mashine maalum za kuwasaidia Watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti), kwa Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njiti, Doris Mollel ambazo zimetolewa na Ubalozi huo jana jijini Dar es salaam. Wengine pichani ni Rahma Amoud na Maryam Gerion wote kutoka Taasisi ya Doris Mollel. 
The Ambassador of Kuwait to Tanzania, HE Jassim Al-Najim (L) handing over the machines for preterm Babies, to the Founder of...

 

4 years ago

StarTV

Ukosefu wa vifaa tiba hospitali wachangia watu kutumia tiba za jadi.

Ongezeko la ugonjwa wa Malaria na U.T.I kwa wananchi wanaoishi vijijini na idadi ndogo ya madaktari nchini ni baadhi ya sababu zinazochangia kwa kiasi kikubwa wagonjwa wengi kukimbilia kwa waganga wa tiba za jadi kupata matibabu licha ya magonjwa hayo kuwa na tiba za uhakika Hospitali na kwenye vituo vya Afya.

Tiba ya Asili ilipitishwa na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2002 baada ya sheria namba 23 ya Tiba Mbadala kupitishwa.

Katika Kituo cha Afya cha Jamii Mjini Kahama,...

 

3 years ago

Michuzi

Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Akabidhi Msaada wa Madawa na Maji kwa Ajili ya Kambi za Kipundupindu Zanzibar

Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Jasem Al-Najem, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar, kulia Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Harusi Said, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi Halima Maulid na kushoto kwa Balozi Daktari Dhamana wa Kanda ya Unguja Dk Fadhil Mohammed na Mkurugenzi Kinga Wizara ya Afya Zanzibar. Dk Mohammed Dahoma. Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al-Najem, akikabidhi msaada wa Dawa kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Zanzibar Mhe....

 

2 years ago

Channelten

Msaada wa vifaa vya Hospitali, Mbunge asaidia vifaa tiba zahanati ya wananchi wilayani Nyasa

Screen Shot 2017-05-10 at 3.42.25 PM
Wananchi wa Mbamba-Bay wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma wamemshukuru mbunge wa jimbo hilo mhandisi Stella Manyanya kwa msaada wa vitanda,magodoro,mashine ya Utra Suond pamoja na vifaa tiba kwaajili ya wodi ya akina mama wajawazito katika zahanati ya Mbamba-Bay,kutoka mkoani Ruvuma mwandishi wetu Geofrey Nilahi anataarifa Zaidi.

Msaada huo umekuja baada ya wananchi kujitolea kujenga zahanati yenye wodi ya akinamama wajawazito,upasuaji na wodi ya watoto kwa nguvu zao kikwazo ilikuwa ni ukosefu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani