BALOZI WA UTURUKI ATEMBELEA OFISI YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS, MUUNGANO NA MAZINGIRA JIJINI DAR LEO.

 Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira , January Makamba akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp,alipomtembelea Ofisini kwake Mapema hii leo kwa ajili  ya utambulisho pamoja na kujadili mambo Mengine yanayohusu Mahusiano kati ya Tanzania na Uturuki.
 Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira  Mh .January Makamba akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp,alipomtembelea Ofisini kwake Mapema hii leo kwa ajili  ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Luhaga Mpina atembelea Bagamoyo

Na Evelyn Mkokoi - Bagamoyo SERIKALI imeiagiza Baraza la hifadhi ya Mazingira (NEMC ) na Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais kufanya tathimini ya awali ya kuangalia ni namna gani itaweza kuzuia maji ya bahari kuingia katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) na kuharibu miundombinu yake ambapo hadi sasa takribani mita 70 hadi 100 ya bahari imeisogelea taasisi hiyo.  Akizungumza jana wilayani Bagamoyo,Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na ...

 

2 years ago

Michuzi

TAMKO LA WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO NA MAZINGIRA)

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba, akiwa katika mkutano na waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtaa wa Luthuli Jijini Dar Es Salaam leo, akizungumza kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika kila mwaka Tarehe 5 Juni, ambapo Kitaifa mwaka huu yatafanyika Mkoani Mara kijijini Butiama kumuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ambapo Pamoja na Mambo Mengine pia alikuwa...

 

4 years ago

Michuzi

MGOMBEA MWENZA, SAMIA SULUHU, WAZIRI WA NCHI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO) AWAAGA NA KUWASHUKURU WAFANYAKAZI WENZAKE OFISI YA MAKAMU WA RAIS

 Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akizungumza na Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati  wa mkutano maalum wa kuwaaga na kuwashukuru  wafanyakazi wenzake.  uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa mukutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais, jijini Dar es Salaam.
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu, akisoma...

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS - MAZINGIRA NA MUUNGANO, JANUARY MAKAMBA AKUTANA NA WANAUWAMITA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano Mheshimiwa January Makamba akiangalia baadhi ya sampuli za mifuko isiyoharibu mazingira ambayo inatengenezwa na Umoja wa Watengeneza mifuko isiyoharibika Tanzania (UWAMITA) Kulia  ni Mwenyekiti wa kikundi hiko Jumanne Mgude. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano Mheshimiwa January Makamba, akiongea na Wanakikundi wa Umoja wa Watengeneza Mifuko isiyoharibika Tanzania (UWAMITA) walipomtembelea Ofisini...

 

4 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS - MUUNGANO SAMIA SULUHU HASSAN ATOA WITO WA KUTUNZA MALI ASILI NA MAZINGIRA

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa wito wa kutunza mali asili na mazingira kwa sababu ni urithi kwa vizazi vijavyo. Aliongea hayo alipokuwa akifungua mkutano wa Wadau unaohusiana na Azimio la Gaborone jijini Dar es Salaam. Aliongeza kuwa  idadi ya watu duniani inazidi kuongezeka hivyo basi ni jukumu la kila mmoja kuacha kukata miti hovyo, kuacha kuchoma misitu na vitu vyote vinavyosababisha uharibifu wa mazingira kwa sababu upo...

 

3 years ago

Michuzi

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu Rais Muungano na Mazingira Atembelea Ujenzi wa Mtaro Uwanja wa Mnazi Mmoja na Kutembelea Jangombe Eneo Ilikozama Nyumba.

Kijicho cha Kampuni ya Ujenzi Mtaro huo kikiwa kazini katika uchimbaji wa mtaro huo nyambu ya pili pwani ya kizingo Zanzibar. Makalbi ya mtaro wa kupitishia maji kutoka katika viwanja vya mpira mnazi mmoja yakitandikwa, na kulia ni mabomba ya mtaro huo ya zamani yaliokuwa yakitoa huduma hiyo ya kupitisha maji kutoka katika uwanja huo. Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe.Luhaga Mpina akiangalia ujenzi huo wakati wa ziara yake kutembelea miradi huo.Mradi wa Ujenzi wa Mtaro wa maji...

 

3 years ago

CCM Blog

MHE. JANUARY Y. MAKAMBA (MB), ASHIRIKI KUPANDA MITI AINA MIKOKO KATIKA FUKWE ZA BWENI DSM.WAZIRI WA NCHI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO NA MAZINGIRA)Katika kuelekea  siku ya mazingira duniani,Leo tarehe 4/6/2016 Mhe.January Makamba ameitumia siku yake kushirikiana na wananchi wa Kata na mtaa wa bweni wilayani Kinondoni,jijini dar es salaam. kupanda miti aina ya mikoko ili kuhifadhi na kurinda fukwe za bweni katika habari ya hindi.
Mhe.January Makamba akisalimiana na viongozi wa mtaa wa bweni.
 

Wananchi na Mh.waziri wikielekea eneo la tukio

Mhe.Waziri akipanda  miti aina ya mikoko

Mhe.Waziri pamoja na wanachi wakiondoka eneo la tukio 

 

3 years ago

Mwananchi

January Makamba-Waziri wa Nchi, Ofisi ya M/Rais, Muungano na Mazingira

January Yusuph Makamba ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira katika Serikali ya Awamu ya Tano. Ameteuliwa kwenye baraza la kwanza la mawaziri la Rais John Magufuli.

 

2 years ago

Michuzi

Ziara ya Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano nas Mazingira Mhe Luhaga Mpina Zanzibar

Mratibu wa Kituo cha Tume Sayansi na Teknolojia Zanzibar Bi Afua Mohammed akitowa maelezo kwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe, Luhaga Mpina alipofika katika Kituo hicho maruhubi Zanzibar akiwa katika ziara yake kutembelea miradi inayosimamiwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar.Naibu Waziri Ofisi ya Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akizunhgumza na waandishi wa habari Zanzibar baada ya kumalizia mazungumzo yake na kupoata taarifa ya Utendaji wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani