Ban Ki moon Februari 24 mwaka huu anatarajiwa kuelelea nchini Burundi

U.N. Secretary-General Ban Ki-moon, center, walks inside the heavily-protected airport complex during a visit to Mogadishu, Somalia Wednesday, Oct. 29, 2014. Ban's fashion choices are not typically newsworthy but are significant in Mogadishu. On his trip in 2011, he wore a U.N.-branded bullet-proof vest, and the fact that his security advisers did not insist on war-time protection on this trip, at least inside the well-protected airport complex, is seen as another indication of Mogadishu's improving security. (AP Photo/Farah Abdi Warsameh)

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki moon Februari 24 mwaka huu anatarajiwa kuelelea nchini Burundi katika kile kilichoeelezwa juhudi za awali za kushawishi serikali ya Burundi kukubali uwepo wa wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa

Hatua hiyo ya umoja wa mataifa inafuatia juhudi zilizofanywa na umoja Afrika za kuwapeleka wanajeshi wa kulinda amani wapatao 500 kukwama.

Mapema mwezi uliopita Mabalozi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilikutana na wakuu wa Umoja wa Afrika...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon anatarajiwa leo kwenda Sudan Kusini

ban ki moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon anatarajiwa leo kwenda Sudan Kusini ambako atakutana kwa mazungumzo na rais wa nchi hiyo Salva Kiir.

Ban atawasili nchini humo akitokea Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambako alihudhuria mkutano wa viongozi na wawekezaji wa kimataifa kuhusu uwekezaji wa sekta ya kibinafsi katika nchi za ukanda wa maziwa makuu.

Katibu mkuu huyo alikutana jana na rais wa Kongo, Joseph Kabila, viongozi wa upinzani na wanaharakati na kuzungumzia kuhusu...

 

3 years ago

Channelten

Ban Ki -Moon kutembelea Burundi

22215027525_74b03f5bf4_b

Burundi inajiandaa kumpokea Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, ambaye atakua ziarani nchini humo baada ya baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kutangaza awali.

Lengo la ziara hii ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ni kuisaidia nchi hii iliotoka katika vita viliodumu zaidi ya mwongo mmoja, kutotumbukia tena katika machafuko mapya, wakati ambapo nchi hiyo inakumbwa na vurugu tangu Rais Pierre Nkurunziza kuchukua uamuzi wa kuwania mhula wa tatu mwezi Aprili 2015.

Lakini ujumbe wa...

 

4 years ago

Michuzi

Ban ki Moon gravely concerned by developments in Burundi


The UN Secretary-General Ban ki Moon is gravely concerned by developments in Burundi since the announcement of the electoral candidacy of President Nkurunziza and especially in the aftermath of the 13 May declaration of a coup d'état. The Secretary-General condemns attempts to oust elected governments by military force. He appeals for strict respect of Burundi's Constitution as well as the Arusha Agreement. The Secretary-General now urgently calls for calm and restraint. He urges all...

 

3 years ago

BBCSwahili

Ban Ki-moon ataka askari watumwe Burundi

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amewataka viongozi wa Afrika kuunga mkono pendekezo la kutuma wanajeshi 5000 Burundi.

 

4 years ago

Michuzi

BAN KI MOON ATIWA MOYO NA MAZUNGUMZO YA KISIASA BURUNDI


Na Mwandishi Maalum, New York

Wakati hali  ya kisiasa na kiusalama ikiendelea kuwa ya sintofahamu Nchini Burundi, Katibu  Mkuu wa Umoja wa  Mataifa, Ban  Ki Moon (pichani), ameelezea kutiwa moyo na juhudi mbambali zinazolenga kurejesha hali ya amani na usalama nchi humo .

Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Katibu Mkuu,  siku ya Ijumaa hapa Umoja wa Mataifa,  imesema,  katibu Mkuu anatiwa  moyo na juhudi zinazofanywa na makundi mbalimbali  ya kikanda, ya kidini,  ya kijamii,  vyama vya siasa ...

 

4 years ago

Michuzi

BAADA YA UCHAGUZI WA AMANI, BURUNDI BAN KI MOON ATAKA KUTEJEA KWA MAZUNGUMZO

Na Mwandishi Maalum, New York.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, amezitaka pande zinazopingana nchini Burundi kubaki watulivu na kurejea mara moja katika meza ya majadiliano jumuishi ya kisiasa ili kumaliza tofauti zao na kujadili changamoto zinazolikabili taifa lao.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Katibu Mkuu, Julai 23, Ban Ki Moon ametambua hali ya Amani na utulivu iliyotawala wakati wa uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo ( Burundi )uliofanyika Julai 21...

 

5 years ago

Dewji Blog

TANROADS Singida yatumia zaidi ya sh 5.1 B kutengeneza barabara zake Julai mwaka jana na februari mwaka huu

DSC07622

Mkuu wa mkoa wa Singida na mwenyekiti wa bodi ya barabara, Dk.Parseko Vicent Kone, akifungua kikao cha bodi ya barabara cha 36 kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa VETA mjini Singida. Kulia (aliyekaa) ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan.

DSC07610

Meneja wa wakala wa barabara mkoa wa Singida (TANROADS), Mhandisi Yustaki Kangole, akitoa ufafanuzi juu ya sheria zinazotawala akiba/hifadhi  ya barabara kwenye kikao cha 36 cha bodi ya barabara mkoa wa Singida.

DSC07617

Mbunge wa jimbo la...

 

3 years ago

VOASwahili

Ban Ki Moon amewataka wagombea urais nchini Gabon kutojitangazia ushindi.

Ali Bongo alimrithi madaraka baba yake Omar Bongo ambaye aliongoza nchi hiyo kwa zaidi ya miaka 40.

 

4 years ago

Dewji Blog

Wiki ya ulinzi na usalama wa mtoto februari 9 ó 15 mwaka huu

3

Baadhi ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarisha.

PRESS RELEASE WIKI YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO.pdf by moblog

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani