BancABC yazindua akaunti mpya ya Hundi ya Jiongeze .


Lengo ni kufikia Watanzania wengi na waweze kuwa na kaunti za hundi kwa bei nafuu.Dar es Salaam Tanzania, BancABC imeendelea kuwa Benki inayojiogeza hapa nchini kwa kua wabunifu wa hali ya juu kwenye utoaji huduma zao pamoja na kuboresha huduma hizo za kibenki ili kuwawezesha wateja kupata huduma za kwa urahisi na hivyo kuwa suluhisho kwenye sekta ya fedha.
Katika kuendelea kudhihirisha ubunifu wa bidhaa zao, BancABC leo imezindua akaunti mpya inayoitwa Jiongeze Hundi akaunti kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

BancABC YAZINDUA AKAUNTI MAALUM NA YA KIPEKEE


 BancABC, ambayo ni sehemu ya Atlas Mara, leo imezindua bidhaa adimu itakayokuwezesha kuvuna riba hadi asilimia 16% kutokana na akiba maalum utakayojiwekea.
Katika hali ya kawaida kama tulivyozoea, amana za muda maalum zimekuwa kivutio kwa wateja wengi wa mabenki. Kwa kuanzia amana hii yenye riba kubwa ni nzuri kuliko kufungua akaunti ya akiba ya kawaida kwani unapata riba nzuri zaidi.
Faida nyingine ni  uhakika wa mapato ya riba na uwezo wa kuamua namna gani ya kuitumia, kukopa au kuweka...

 

2 years ago

Michuzi

BancABC YAZINDUA OFA YA RIBA ASILIMIA 16 KWA WATEJA WANAOFUNGUA AKAUNTI YA MUDA MAALUM MSIMU HUU WA SIKUKUU

Mkuu wa Masoko na Hazina wa BancABC, Barton Mwasamengo, (kushoto), na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi na wafanyabiashara wadogo wadogo, Joyce Malai, wakionyesha kadi inayoonyesha uzinduzi wa ofa ya riba asilimia 16% kwa wateja wanaofungua akaunti ya amana ya muda maalum msimu huu wa sikukuu. Uzinduzi huo ulifanyika Desemba 5, 2016 makao makuu ya BancABC jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Masoko na Hazina wa BancABC, Barton Mwasamengo, (kushoto), na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi na...

 

2 years ago

Michuzi

BancABC YAZINDUA HUDUMA MPYA YA “MKOPORAHISI”, MTEJA ANACHUKUA PESA NDANI YA SAA 48Mkuu wa Kitengo cha Mikopo Rahisi, (Easy Banking), wa BancABC,Thompson Mwasikili, (kushoto), akiwa na Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara cha benki hiyo, Joyce Malai, wakati akizindua huduma mpya ya “Mkoporahisi”, makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam, Agosti 2, 2016. BancABC, ambayo ni sehemu ya Atlas Mara, imerahisisha upatikanaji wa mikopo kwa wateja wake ambapo mteja wa benki hiyo ambaye ni mtumishi wa serikali anaweza kupatiwa mkopo ndani ya masaa 48.

BANCABC ambayo ni...

 

2 years ago

Bongo5

Mshindi wa milioni 100 za Jiongeze na M-pawa ya Vodacom akabidhiwa mfano wa hundi yake

 

 

mshindi-katikati

Mshindi wa Milioni Mia ya Jiongeze na M-pawa mkazi wa Mwanza Paulina Kulwa(katikati) akipokea mfano wa hundi yake kutoka kwa Mkuu wa Kanda ya Ziwa wa Vodacom Tanzania, Ayubu Kalufya(kushoto), kwenye hafla iliyofanyika jijini Mwanza, akishuhudia katikati ni Mkuu wa kitengo cha Masoko wa CBA Benki, Solomon Kawiche

kupokea

Mshindi wa Milioni Mia ya Jiongeze na M-pawa mkazi wa Mwanza Paulina Kulwa(kulia) akipokea mfano wa hundi yake kutoka kwa Mkuu wa Kanda ya Ziwa wa Vodacom Tanzania, Ayubu...

 

2 years ago

CCM Blog

BENKI YA BancABC YATOA OFA KWA WATEJA WANAOFUNGUA AKAUNTI YA AMANA MSIMU HUU WA SIKUKUU

Dar es Salaam, TANZANIA
Wateja wa Benki ya BancABC wanaofungua akaunti ya amana kwa kuweka fedha kuanzia sh. milioni kumi kwa muda maalum katika msimu huu wa sikukuu watanufaika zaidi kwa kupata riba ya juu kuliko zote.

Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mkuu wa kitengo cha wateja binafsi na wafanya biashara wadogo, Joyce Malai, alisema katika ofa hiyo ambayo iilianza jana, Desemba 5, 2016, BancABC, inatoa riba ya hadi asilimia 16, kwa mwaka na wateja watalipwa riba hiyo papo kwa papo ikiwa ni...

 

3 weeks ago

Michuzi

BancABC yazindua tawi jipya Dodoma

Benki ya BancABC imezindua tawi jipya jijini Dodoma kwa lengo la kukidhi mahitaji ya huduma za kibenki kwa wateja hivyo kusaidia ukuaji wa uchumi katika kanda ya kati. Hilo ni tawi la saba kwa BancABC nchini Tanzania.

Akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua tawi hilo, mgeni rasmi Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Ashatu Kijaji amesema ufunguzi wa tawi hilo umekuja wakati muafaka kwa kuwa ofisi za serikali zimehamia Dodoma na Dodoma imepandishwa hadhi na kuwa jiji hivyo mahitaji ya ...

 

2 years ago

Mwananchi

Benki ya Access yazindua akaunti ya ‘Kikundi’

Benki ya Access leo (Jumanne), imezindua akaunti ijulikanayo kama ‘Kikundi’ kwa ajili ya kuvisidia vikundi vidogo visivyo rasmi kupata huduma za kibenki kwa urahisi hususani vile vilivyopo vijijini.

 

11 months ago

Mwananchi

DTB yazindua akaunti ya biashara ndogo

Ili kuongeza ufanisi kwa wajasiriamali, Benki ya Diamond Trust (DTB) imezindua akaunti maalumu kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo wenye malengo ya kukuza biashara zao.

 

3 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yazindua kampeni ya akaunti za mishahara

Kaimu Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Andrew Lyimo (katikati), akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya akaunti za mishahara iliyopewa jina la ‘Mcheza Kwao’ yenye lengo la kuhamasisha wafanyakazi kuchukulia misharahara benki. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Meneja Huduma za Jamii wa benki hiyo, Irene Peter na Meneja Malipo ya Mishahara na Maendeleo, Amos Lyimo. Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter (kushoto),...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani