Barakah Da Prince amvisha Naj ‘Pete ya Ahadi’

Barakah Da Prince ambaye kwa sasa amekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii wa kike, Naj, amedai kupiga hatua zaidi kuelekea kwenye uchumba.

barakah_daprince

Wamefunguka exclusively kwa Bongo5 kuhusu uhusiano wao:

“Yeah ni kweli mimi na Naj tuna uhusino na hadi kwetu nimeshamtambulisha na yeye kwao najulikana na pia nimemvisha pia pete, sio ya uchumba ila ni Promise Ring,” amesema Barakah.

barakah-1-656x800

“Ndio hivyo yaani kuna kazi pia ambazo tumefanya ila hazitatoka sasa hivi hadi kwanza kila mtu atoe single yake...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Nyumba aliyosema Barakah The Prince anajenga ni ya mama yake Naj, kwa mujibu wa msanii aliyeoa kwa akina Naj!

Kwa wengi haikuwa rahisi kuamini maneno ya Barakah The Prince kuwa anamalizia kujenga mjengo wake aliouonesha kwenye Instagram.

barakah

Ni kwa sababu ujenzi si suala la lelemama na linaloweza kutokea kwa usiku mmoja. Pia wengi walitia shaka uwezo wa msanii huyo katika kipindi hiki kuweza kujenga nyumba kama hiyo. Na sasa huenda mashaka hayo yakawa yamepata uthibitisho wa uhakika.

13556821_922495094526578_1851135196_n

Alawi Junior (katikati) akiwa na shemeji yake, Naj (kushoto) mwenye uhusiano na Barakah

Ni kutoka kwa Alawi Junior –...

 

3 years ago

Bongo5

New Couple Alert: Barakah Da Prince na Naj!

12568246_849512441828114_2017407181_n

Penzi ni kikohozi kulificha huliwezi!

12568246_849512441828114_2017407181_n

Seems like Barakah Da Prince ana ngekewa na watoto wazuri wa mjini. Baada ya Meninah, Linah, Masogange, Nisha na wengine tusiowajua, hitmaker huyo wa ‘Siachani Nawe’ ameangukia kwenye penzi la mtoto wa kihindi, Naj.

Hawajasema na utashangaa tumejuaje. Well wacha tukutoe tongo tongo. Macho ya kidetective yalishtuka baada ya kuona Baraka akipost picha ya Naj Instagram (hiyo chini) na kuandika: Mchizi WANGU rafiki nilie kugundua wa kweli…… God bless u ……...

 

3 years ago

Global Publishers

Barakah da Prince ‘ajilipua’ kwa Naj

barakahMsanii wa Bongo Fleva ‘Barakah da Prince’ akiwa na mpenzi wake Najma Dattan ‘Naj’.

HATIMAYE! Baada ya kufichaficha kila sehemu juu ya uhusiano wao, msanii wa Bongo Fleva, Baraka Andrew ‘Barakah da Prince’ ameamua ‘kujilipua’ kwa mpenzi wake mpya, Najma Dattan ‘Naj’ na kwamba ndiyo kila kitu kwake.

Akiliachia domo liserereke, Barakah anayebamba na Ngoma ya Siwezi alisema kuwa japokuwa amekuwa akifuatwa na vyombo vingi vya habari kujua ukweli sasa imefika wakati wa kutoa tamko.

“Ujue siku zote...

 

3 years ago

Bongo Movies

Barakah Da Prince Ajiweka kwa Naj

barakahMsanii wa Bongo Fleva ‘Barakah da Prince’ akiwa na mpenzi wake Najma Dattan ‘Naj’.

HATIMAYE! Baada ya kufichaficha kila sehemu juu ya uhusiano wao, msanii wa Bongo Fleva, Baraka Andrew ‘Barakah da Prince’ ameamua ‘kujilipua’ kwa mpenzi wake mpya, Najma Dattan ‘Naj’ na kwamba ndiyo kila kitu kwake.

Akiliachia domo liserereke, Barakah anayebamba na Ngoma ya Siwezi alisema kuwa japokuwa amekuwa akifuatwa na vyombo vingi vya habari kujua ukweli sasa imefika wakati wa kutoa tamko.

“Ujue siku zote...

 

3 years ago

Bongo5

Mapenzi ya Barakah Da Prince na Naj yazidi kunoga (Picha)

Unakumbuka kipindi Kanye West na Kim Kardashian wameanzisha uhusiano wao? Watu waliwapa siku chache tu wakiamini kuwa penzi lao haliwezi kudumu.

13150962_1101873753209256_1518965762_n

Leo hii ni wanandoa, wana watoto wawili na penzi lao bado lipo imara. Ndivyo ilivyoonekana kwa Barakah Da Prince na Naj pia. Ni kwasababu katika kipindi kifupi tangu aanze kuvuma, Barakah alihusishwa kuwa na uhusiano na warembo A-List wakiwemo Linah, Meninah, Masogange na hadi Nisha.

13151347_177319679330322_462422885_n

Hivyo wengi walivyosikia kuwa muimbaji huyo wa ‘Siwezi’...

 

3 years ago

Global Publishers

Barakah Da Prince: Nimsaliti Naj kwa Linah, sijipendi?

barakahBarakah da Prince na mpenzi wake, Naj.

Stori: GABRIEL NG’OSHA

Juzikati wasanii Baraka Andrew ‘Barakah da Prince’ na Estelina Sanga ‘‘Linah’ walinaswa wakiwa kimahaba, tukio lililoibua gumzo na wengi kudhani mkali huyo wa ngoma ya Siwezi kachepukia kwa ndege mnana.

baraka na linah (2)Barakah da Prince na Linah.

Baraka na Linah walinaswa katika viunga vya Escape One kulikokuwa na shoo ya Christian Bella ambapo jamaa alionekana akimshikashika mdada huyo bila aibu.

Akilifungukia tukio hilo, Baraka alisema kuwa,...

 

2 years ago

Bongo Movies

Msami Amtolea Povu Barakah The Prince Kuhusu Naj

Msanii wa muziki na mwalimu wa dance, Msami Giovani anayefanya vizuri na wimbo wake ‘Step by Step’ amesema Barakah The Prince bado hana nguvu ya kuwa mume wala kuwa mchumba wa Najma.

msami10

Ametoa kauli hiyo baada ya Barakah kumtukana Msami baada ya kukoment katika akaunti ya Instagram ya Naj.

Akiongea na E-News ya EATV, Msami alisema, “Kwanza Barakah ajue Naj sio mke wake, wala mchumba wake ni boyfriend na girlfriend tu. Kwahiyo Barakah hana nguvu ya mume wala mchumba kwa Naj. Kwahiyo hata mtu...

 

2 years ago

MillardAyo

Tutarajie mtoto kutoka kwa Barakah The Prince na Naj?

Leo January 17 2017 kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram wa mwanamziki wa Bongo fleva Barakah the prince amewathibitishia mashabiki wake kwamba yuko karibuni kupata mtoto na mpenzi wa muda mrefu Naj. Kupitia mtandao huo Barakah ameandika ” Tumeumbwa kuijaza dunia na hawa ma singa singa nakungoja mwana kwa ham” akamalizia kwa kumtag mpenzi wake […]

The post Tutarajie mtoto kutoka kwa Barakah The Prince na Naj? appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Bongo5

​Barakah Da Prince na Naj waivunja internet kwa video ya kikubwa

Barakah Da Prince na Naj wanaendelea kupanda ngazi ya kuwa miongoni mwa couple kwenye burudani zinazo tengeneza vichwa vya habari zaidi. 

Na kwa Barakah, huenda ameifahamu vyema ramani ya kutoboa kwenye showbiz kuwa si muziki mzuri tu, bali kuwa na demu mkali na kujiachia naye unavyotaka. 

Jumatatu hii hitmaker huyo wa Siwezi ameonekana kwenye video iliyosambaa Instagram akimmiminia mabusu ya kumwaga mpenzi wake huyo anayeoneka mwenye usingizi mzito. 

Bahati ya jitihada za msanii huyo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani