Baraza la habari laishtaki Tanzania mahakama ya EAC

Baraza la Habari nchini Tanzania limewasilisha kesi mahakamani kupinga Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari iliyopitishwa na bunge la nchi hiyo Novemba mwaka jana.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

Mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na watendaji wakuu wa Vyombo vya habari

Mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na watendaji wakuu wa Vyombo vya habari wafanyika katika Hotel ya Aishi Protea iliyoko Machame wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro Mtoa mada akiongea wakati wa mkutano huo Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe Novatus Makunga akiongea wakati akifungua katika mkutano huo Picha za pamoja ya mgeni rasmi na washiriki baada ya ufunguzi wa mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na...

 

1 week ago

Zanzibar 24

Baraza la Habari Tanzania limekemea vikali kitendo cha Mkuu wa mkoa kuvamia kituo cha habari

Baraza la Habari Tanzania limekemea vikali  kitendo cha  Mkuu wa mkoa wa Dar es salamu Paul Makonda kuvamia kituo cha habari Clous Media akiwa na Askari wakiwa na silaha.

Katibu Mtendaji wa baraza hilo Kajubi Mukajanga akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani)

Akizungumza na Waandishi wa Habari Katibu Mtendaji wa baraza hilo Kajubi Mukajanga amesema kitendo cha kuvamia  chombo cha habari na silaha ni kitendo cha kushtua na kutia hofu waandishi kwani ni kinyume na sheria.

Hata hivyo...

 

2 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA TANZANIA YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI (JUDICIAR MEDIA FORUM) KUJADILI JUU YA MISINGI BORA YA UPASHANAJI HABARI KATIKA UTENDAJI BAINA YA TAASISI HIZO MBILI

 Mhe. Jaji Mstaafu Thomas MIHAYO, Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) akitoa neno katika Mkutano Kati ya Mahakama na Vyombo vya Habari, 'Judiciary Media Forum' unaofanyika Leo katika UKUMBI wa mikutano wa Julius Nyerere International Convention Centre. (JNICC). Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (wa kwanza kushoto), Mhe. Jaji Mstaafu, Thomas MIHAYO, Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) wa pili kushoto, Mhe. Shaaban Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (wa ...

 

2 years ago

GPL

MAHAKAMA YA TANZANIA YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI

Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (wa nne kushoto), Mhe. Shaaban Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (wa pili kulia), Bw. Kajubi Mukajanga, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Mhe. Jaji Mstaafu, Thomas Mihayo, Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) (wa tatu kushoto), Prof. Mugongo Fimbo (wa pili kulia) na Msajili wa ICTR (wa kwanza kulia) wakiwa  katika picha ya pamoja na baadhi ya...

 

6 months ago

Habarileo

Mahakama ya Afrika kushirikiana na vyombo vya habari Tanzania

RAIS wa Mahakama ya Afrika, Jaji Sylvain Ore, amesema chini ya uongozi wake katika Mahakama hiyo atavipa ushirikiano vyombo vya habari vya Tanzania, viweze kufanya kazi zao kwa uhuru huku wananchi na dunia ikipewa taarifa sahihi za mahakama hiyo.

 

2 years ago

Mtanzania

Baraza la Usuluhishi EAC litakuza uchumi

Fakihi JunduNa Ruth Mnkeni, Dar es Salaam
WAFANYABIASHARA wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamesema kuwapo kwa Baraza la Usuluhishi wa Migogoro ya Kibiashara kutasaidia kukuza uchumi.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kongamano la siku mbili la kimataifa la nchi za Afrika Mashariki, Jaji wa Mahakama ya Afrika Mashariki, Fakihi Jundu, alisema baraza hilo linaweza kuchukua muda mfupi kusuluhisha migogoro kuliko wahusika kwenda mahakamani.
“Kuna baadhi ya nchi za Afrika Mashariki tayari wametumia...

 

1 year ago

Dewji Blog

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande atoa somo kwa Waandishi wa Habari za Mahakama

Mahakama -1

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande akitoa ufafanuzi kwa wanabari (hawapo pichani) kuhusu uandishi bora wa habari za Mahakama wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa Habari za Mahakama jana jijini Dar es salaam.

Mahakama -2

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande (kushoto) na Meneja wa Maadili wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Allan Lawa (kulia) wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari za Mahakama...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani