BARAZA LA MAWAZIRI; JIWE LATUA KWA WASIOTEGEMEA

Na Haruni Sanchawa Juzi Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sifue kwa niaba ya Rais Jakaya Kikwete alitangaza mabadiliko katika baraza la mawaziri ambapo ‘jiwe’ limetua kwa wasiotegemea. Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sifue (kushoto) akitangaza Baraza jipya la Mawaziri. Katika mabadiliko hayo wizara tano zimepata mawaziri wapya kujaza nafasi za waliovuliwa nyadhifa zao kutokana na kashfa ya Operesheni Tokomeza. Waliochakuliwa ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DKT. ALI MOHAMED SHEIN AAPISHWA KUWA MJUMBE WA BARAZA LA MAWAZIRI

Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri ili aweze kushiriki na kutekeleza majukumu yake kwenye Baraza hilo huku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia tukio hilo katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...

 

3 years ago

Raia Mwema

Baraza jipya la mawaziri, mkorogo usio hamasa kwa mabadiliko

RAIS John Pombe Magufuli (JPM) amekwishaunda Wizara 18 za Serikali yake na kutangaza mawaziri wa

Joseph Mihangwa

 

3 years ago

Channelten

Baraza la Mawaziri nchini Burundi, kwa kauli moja limeidhinisha mswada huu

icc-main-pic

Baraza la Mawaziri nchini Burundi, kwa kauli moja limeidhinisha mswada wa kuliondoa taifa hilo kutoka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC.

Serikali ya nchi hiyo tayari imewasilisha mswada huo bungeni ambapo unatarajiwa kujadiliwa na hatimaye kuidhinishwa.

Makamu wa rais Gaston Sindimwo amesema hatua hiyo iliyochukua serikali ya Burundi  inaweza kuwafanya wakatengwa jumuiya ya kimataifa.

Ameongeza kuwa ni haki  yao kujitoa  katika mahakama ya ICC na uamuzi wao ambapo mswada  huo sasa...

 

4 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI CHA KWANZA KWA MWAKA HUU WA 2015

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri chakwanza kwa mwaka huu wa 2015 Ikulu jijini Dar es salaam leo January 16, 2015.Kulia kwake ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na kushotokwake ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda
PICHA NA IKULU

 

3 years ago

GPL

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI

TAIFA liko katika mkao wa kusubiri kuapishwa kwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli ambaye Alhamisi iliyopita alitangazwa kuwa mshindi wa kinyanganyiro cha urais dhidi ya wenzake saba lakini tayari Wabongo wanaumiza vichwa kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri la Magufuli. Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli. Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (Nec), ilimtangaza Dk. Magufuli kuwa mshindi mbele ya...

 

3 years ago

CCM Blog

BARAZA LA MAWAZIRI ZANZIBAR

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dkt. Ali Mohamed Shein jana Jumamosi, April 9, 2016 ametangaza Baraza la Mawaziri litakalosimamia kazi za serikali kwa kipindi cha uongozi wake wake kwa mujibu wa sheria.

Dkt. Shein amesema amepunguza ukubwa wa baraza hilo kutoka wizara 16 hadi kuwa wizara 13, ambapo wizara tatu amezivunja na kuzigawa ndani ya hizo wizara 13 za sasa.

Mawaziri ni 13 na Manaibu waziri 7.Ameongeza kuwa, mawaziri aliowatangaza leo atawaapisha kesho Jumapili asubuhi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani