Baraza la Mawaziri nchini Burundi, kwa kauli moja limeidhinisha mswada huu

icc-main-pic

Baraza la Mawaziri nchini Burundi, kwa kauli moja limeidhinisha mswada wa kuliondoa taifa hilo kutoka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC.

Serikali ya nchi hiyo tayari imewasilisha mswada huo bungeni ambapo unatarajiwa kujadiliwa na hatimaye kuidhinishwa.

Makamu wa rais Gaston Sindimwo amesema hatua hiyo iliyochukua serikali ya Burundi  inaweza kuwafanya wakatengwa jumuiya ya kimataifa.

Ameongeza kuwa ni haki  yao kujitoa  katika mahakama ya ICC na uamuzi wao ambapo mswada  huo sasa...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI CHA KWANZA KWA MWAKA HUU WA 2015

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri chakwanza kwa mwaka huu wa 2015 Ikulu jijini Dar es salaam leo January 16, 2015.Kulia kwake ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na kushotokwake ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda
PICHA NA IKULU

 

5 years ago

Michuzi

Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC waendelea nchini Malawi

Waziri wa Mambo ya Nje wa Malawi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa SADC, Mhe. Ephraim Chiume (kushoto) akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC ulioanza jana tarehe 10 Machi, 2014 jijini Lilongwe, Malawi. Mhe. Chiume akiendelea na hotuba ya ufunguzi, kushoto ni Katibu Mtendaji wa SADC, Mhe. Stergomena Tax Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Salum (Mb) mwenye ushungi. Waziri wa Nchi wa Serikali ya Zanzibar anayeshughulikia masuala ya Utawala Bora,...

 

2 years ago

Michuzi

ANGALIA MKUTANO WA RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI MOJA KWA MOJA KUTOKEA MKOANI SIMIYU MUDA HUU

Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
BOFYA HAPA KUANGALIA MKUTANO HUO MOJA KWA MOJA

 

5 years ago

Michuzi

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Kigoda aongoza mkutanno wa 99 wa baraza la mawaziri nchini kenya.

 Waziri wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Dkt. Abdallah Omari Kigoda (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi Mhe. Uhuru Kenyata, Rais wa Jamhuri ya Kenya mara baada ya kufungua rasmi Mkutano wa 39 wa Pamoja Kati ya nchi za ACP na Ulaya katika ukumbi wa Kenyata International Convention Centre hivi karibuni jijini Nairobi, Kenya. Kushoto kwa Rais Kenyata ni Rais wa Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU), Mheshimiwa Kyriakos Gerentopoulos. Ujumbe wa Tanzania ulishirikisha...

 

3 years ago

Channelten

Tuzo ya Rais kwa Wazalishaji Bora na kutoa kauli hii kwa Mawaziri

7

Rais Dk.John Pombe Magufuli ameahidi kumfuta kazi mara moja Waziri au Katibu Mkuu yeyote  anayehusika na uwekezaji nchini iwapo itathibitika amekwamisha kwa namna yoyote ile ikiwamo rushwa, juhudi zake za kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda ifikapo mwaka 2015.

Dk. Magufuli ametoa angalizo hilo jijini Dar es salaam katika hafla ya tuzo ya Rais ya uzalishaji bora na viwanda kwa mwaka 2015, ambapo pia ametoa wito kwa wazalendo kujitokeza zaidi na kuwekeza kwa kuwa serikali yake imedhamiria...

 

3 years ago

Channelten

Baraza la amani na usalama wa umoja wa Afrika limehitimisha ziara nchini Burundi

Screen Shot 2016-06-27 at 2.11.06 PM

Ujumbe wa baraza la amani na usalama wa umoja wa Afrika uliofanya ziara nchini Burundi, umehitimisha ziara yake mwishoni mwa juma, ambapo umesema, licha ya hali kuimarika, bado kuna mengi ya kufanywa kwenye taifa hilo.

Wakizungumza na wandishi wa habari mjini Bujumbura baada ya kumaliza ziara ya siku 2, wajumbe hao wa baraza la amani na usalama la umoja wa Afrika, wamebaini kuwa wamekusanya habari zote walizokuwa wakihitaji na kwamba watatoa maagizo wakifika mjini Addis Ababa.

Mmoja wa...

 

4 years ago

Michuzi

Membe aongoza Mawaziri wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye mazungumzo nchini Burundi

Mhe. Pierre Nkurunziza, Rais wa Jamhuri ya Burundi akiwa kwenye mazungumzo na Ujumbe ulioongozwa na  Mhe. Bernard K. Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania. Mawaziri wengine katika picha ni Mhe. Louise Mushikiwabo (kulia kwa Waziri Membe), Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda na Mhe. Amina Mohamed (mwenye skafu nyekundu), Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania Mhe. Bernard K. Membe jana aliongoza Jopo la...

 

3 years ago

Channelten

Ban Ki moon Februari 24 mwaka huu anatarajiwa kuelelea nchini Burundi

U.N. Secretary-General Ban Ki-moon, center, walks inside the heavily-protected airport complex during a visit to Mogadishu, Somalia Wednesday, Oct. 29, 2014. Ban's fashion choices are not typically newsworthy but are significant in Mogadishu. On his trip in 2011, he wore a U.N.-branded bullet-proof vest, and the fact that his security advisers did not insist on war-time protection on this trip, at least inside the well-protected airport complex, is seen as another indication of Mogadishu's improving security. (AP Photo/Farah Abdi Warsameh)

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki moon Februari 24 mwaka huu anatarajiwa kuelelea nchini Burundi katika kile kilichoeelezwa juhudi za awali za kushawishi serikali ya Burundi kukubali uwepo wa wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa

Hatua hiyo ya umoja wa mataifa inafuatia juhudi zilizofanywa na umoja Afrika za kuwapeleka wanajeshi wa kulinda amani wapatao 500 kukwama.

Mapema mwezi uliopita Mabalozi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilikutana na wakuu wa Umoja wa Afrika...

 

5 years ago

GPL

BARAZA LA MAWAZIRI; JIWE LATUA KWA WASIOTEGEMEA

Na Haruni Sanchawa Juzi Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sifue kwa niaba ya Rais Jakaya Kikwete alitangaza mabadiliko katika baraza la mawaziri ambapo ‘jiwe’ limetua kwa wasiotegemea. Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sifue (kushoto) akitangaza Baraza jipya la Mawaziri. Katika mabadiliko hayo wizara tano zimepata mawaziri wapya kujaza nafasi za waliovuliwa nyadhifa zao kutokana na kashfa ya Operesheni Tokomeza. Waliochakuliwa ni...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani