Baraza la Wawakilishi waitaka Wizara ya Elimu kulipa Madeni ya Walimu

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamepitisha Bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali  ambapo wameitaka Wizara hiyo kulipa Malimbikizo ya Madeni wanayodai walimu kwa kipindi kirefu.

Wakichangia hutuba ya Bajeti hiyo katika ukumbi wa Baraza la wawakilishi Chukwani nje kidogo ya mji wa Zanzibar Wajumbe hao wamesema bado kuna wimbi kubwa la walimu wakiwemo walostaafu hawajalipwa mafao yao mpaka sasa.

Muwakilishi wa Jimbo la Shaurimoyo Hamza Hassan amesema kumekuwa na malalamiko makubwa kwa...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Dr. Shein agiza wizara ya elimu kuhakikisha inalipa madeni yote ya walimu kabla 2019

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohammed Shein amesema sera ya elimu bure  kwa wanafunzi wa sekondari itaanza ifikapo  mwezi june  mwaka huu.

Akizungumza  katika Mkutano Mkuu wa Sita wa chama cha walimu Zanzibar zatu amesema serikali imeamua  kuondoa ada  kwa wanafunzi  kwa lengo la kuendeleza sera ya rais wa awamu ya kwanza Shekh Abeid Amani Karume.

Amesema  sera ya elimu bure itaimarika endapo walimu watafanya kazi kwa mujibu wa sheria na maendeleo ya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi waitaka SMZ kuwa makini wakati wa kufunga mikataba

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameitaka serikali ya Mapinduzi  kuwa makini wakati wa kufunga mikataba ya ujenzi wa majumba  na wakandarasi  ili kuepusha hasara kwa serikali na kuepukana na  majengo yasiyokuwa na viwango na ubora ambayo yanaweza kuhatarisha maisha ya wananchi.

Wakizungumza katika Kikao cha baraza la Wawakilishi Ali Salum Haji,Miraji Khamis Kwanza na Sheha Hamad Matar wamesme  kutokana na matatizo na kasoro mbalimbali zilizojitokeza kutokana majengo yasiyo na viwango...

 

4 years ago

Mwananchi

Serikali yaanza kulipa madeni ya walimu

Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, imeanza kulipa madeni ya walimu yanayofikia Sh162.1 milioni.

 

2 years ago

Mwananchi

Serikali imalize kulipa madeni ya walimu

Gazeti hili toleo la jana kulikuwa na habari iliyomnukuu Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba akitishia kuwa chama hicho kitatangaza mgogoro na Serikali iwapo haitawalipa madai yao ya zaidi ya Sh800 bilioni.

 

5 years ago

Habarileo

Serikali yataja mikakati ya kulipa madeni ya walimu

SERIKALI imeweka bayana mikakati yake ya kukabiliana na deni la walimu, ambao ni sehemu kubwa ya watumishi wake.

 

3 years ago

Habarileo

ZATUC yaikumbusha SMZ kulipa madeni ya walimu

CHAMA cha Walimu Zanzibar (ZATUC) kimeitaka Wizara ya Elimu visiwani humu kulipa malimbikizo ya madai yao ya muda mrefu ya Sh bilioni tatu yaliyoibua manung’uniko.

 

1 year ago

Malunde

RAIS MAGUFULI AAHIDI KULIPA MADENI YA WALIMU

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameahidi kulipa madeni ya walimu takribani shilingi Bil. 25 mara baada ya viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kuthibitisha uhalali wa madeni hayo.

Rais Dkt. Magufuli ametoa tamko hilo jana Mjini Dodoma ,alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa CWT ambao umehusisha wawakilishi kutoka Mikoa yote ya Tanzania Bara .“Ninawaahidi walimu wenzangu, mara baada ya zoezi la uhakiki kuisha wale walimu ambao wanadai malipo halali watalipwa,”alifafanua Rais Dkt....

 

5 years ago

Habarileo

Serikali yatenga fungu nono kulipa madeni ya walimu

FUNGU nono limetengwa kwa ajili ya walimu wanaodai malimbikizo ya mishahara na masurufu.

 

3 years ago

Zanzibar 24

Serikali ya Zanzibar yaahidi kulipa madeni ya walimu ndani ya kipindi cha miezi kumi

Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imeahidi kuyapatia ufumbuzi  matatizo yanayoikumba sekta ya elimu ikiwemo tatizo la kuchelewa kulipwa madeni yao ndani ya kipindi cha miezi  kumi ijayo.

Kauli hiyo imetolewa leo na Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya amali Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri kwenye maadhimisho ya siku ya walimu duniani katika ukumbi wa  suza  mjini Unguja.

Amesema licha ya serikali kufanya marekebisho ya mishahara kwa baadhi ya walimu, lakini bado wanaendelea na hatua za kuwatafutia...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani