Barcelona, Bayern Munich zatinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA (Video)

Ligi ya Mabingwa Ulaya iliendelea jana usiku kwa michezo miwili ambapo Barcelona ilikuwa mwenyeji wa Arsenal katika uwanja wa Nou Camp na Barcelona ikiibuka na ushindi wa goli 3 – 1.

Magoli ya Barcelona yalifungwa na Neymar dk. 18, Luis Suarez dk. 65 na Lionel Messi dk. 88 huku goli pekee la Arsenall likifungwa na Mohamed Elneny katika dakika ya 51 na hivyo ushindi huo kuiwezesha Barcelona kufuzu kwa magoli 5 – 1.

Mchezo mwingine ulikuwa ni Bayern Munich iliyokuwa mwenyeji wa Juventus katika...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

GPL

BAYERN MUNICH, BARCELONA ZATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Wachezaji wa Bayern Munich wakishangilia ushindi wao dhidi FC Porto jana. Neymar (juu) akishangilia na Mbrazil mwenzake Dani Alves baada ya kufunga bao la pili jana. Robert Lewandowski akiifungia Bayern bao la tatu dakika ya 27.…

 

5 years ago

GPL

BARCELONA, PSG ZATINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Lionel Messi akishangilia na wachezaji wenzake wa Barcelona baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 67. Pablo Zabaleta wa Man City akitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kupewa kadi ya pili ya njano.…

 

3 years ago

Dewji Blog

Barcelona yatolewa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Atletico Madrid, Bayern zatinga nusu fainali

Michezo ya mwisho ya hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA imechezwa usiku wa Jumatano na kushuhudiwa mabingwa watetezi wa kombe hilo, Barcelona wakitolewa nje ya mashindano hayo na Atletico Madrid.

Ikumbukwe mchezo wa kwanza uliochezwa katika uwanja wa  Camp Nou, Barcelona waliibuka na ushindi wa goli mbili kwa moja na katika mchezo wa jana wa marudiano Barcelona walipokea kipigo cha goli mbili kwa bila kutoka kwa Atletico Madrid.

Magoli ya Atletico Madrid yote mawili...

 

4 years ago

GPL

BAYERN MUNICH KUKWAANA NA BARCELONA KATIKA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO

MECHI:     Bayern Munich vs Barcelona LIGI:         Ligi ya Mabingwa Ulaya HATUA:    Nusu Fainali MUDA:     Saa 3:45 usiku UWANJA: Allianz Arena

 

2 years ago

BBCSwahili

UEFA: Real Madrid walaza Bayern Munich 4-2 Ligi ya Mabingwa Ulaya

Cristiano Ronaldo alifungia Real Madrid mabao matatu na kuwa mchezaji wa kwanza kufunga mabao 100 Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.

 

2 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League)

Shirikisho la Soka barani Ulaya (UEFA) limefanya droo ya kupanga timu ambazo zitakutana hatua ya robo fainali ya kombe la Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League).

Michezo hiyo miwili itapigwa Aprili, 11 na michezo mingine miwili itapigwa Aprili, 18

Zaidi waweza kusoma ratiba hapa chini;

 

3 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA yatoka, ipo hapa

Baada ya michezo ya mwisho kuchezwa Jumatano na kupatikana timu nane ambazo zitaingia katika hatua ya robo fainali ya kombe hilo hatimaye leo ratiba imetoka.

Baada ya kuchezeshwa droo, ratiba ya kombe hilo ni;

Wolfsburg – Real Madrid

Bayern Munich – Benfica

Barcelona – Atletico Madrid

PSG – Manchester City

Baada ya ratiba hiyo, michezo ya hatua ya robo fainali itaanza kuchezwa April, 5.

The post Ratiba ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA yatoka, ipo hapa appeared first on...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani