Barcelona ''kuamua'' kuhusu kandarasi mpya ya Messi

Kandarasi zenye mishahara mikubwa walizopatiwa Suarez na Neymar ambazo zitakamilika 2021, huchukua kiwango kikubwa cha matumizi ya timu hiyo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 months ago

BBCSwahili

Messi atia saini kandarasi mpya na Barcelona hadi 2021

Tangu alipojiunga na Barcelona akiwa na umri wa miaka 13, Messi ameisaidia Barcelona kushinda mataji manane ya ligi ya Uhispania na kushinda kombe la vilabu bingwa mara nne

 

1 year ago

Bongo5

Barcelona kuamua mkataba mpya wa Messi

Klabu ya Barcelona itaangalia uwezo wao ili kumpatia Lionel Messi mkataba mpya wenye nyongeza ya mshahara itategemea uwezo wao wa kuvutia mapato kutoka kwa wadhamini na uuzaji wa wachezaji ,amesema mkurugenzi mkuu wa klabu hiyo Oscar Grau.

Mkataba wa Messi unakamilika 2018 na anatarajia kupewa mkataba mpya huku ikiripotiwa huenda akapewa kitita cha paundi milioni 21 wanazopata Luis Suarez na Neymar.

”Tunahitaji wachezaji wazuri lakini pia lazima kuwa na kipaumbele ”,aliongezea.

La Liga...

 

6 months ago

BBCSwahili

Andrea Iniesta atia saini kandarasi ya maisha na Barcelona

Kiungo wa kati wa Barcelona na nahodha Andres Iniesta ametia saini kandarasi ya maisha na mabingwa hao wa Ulaya

 

3 years ago

BBCSwahili

Mkenya kupewa kandarasi mpya Southampton

Mkenya anayechezea soka ya kulipwa katika kilabu ya Southampton nchini Uingereza Victor Mugubi Wanyama ametupilia mbali harakati za uhamisho wake ambao haukufanikiwa alipotaka kuelekea kilabu ya Tottenham na sasa anasisitiza kuwa anaijali timu ya Southamp

 

2 years ago

BBCSwahili

Vardy akubali kandarasi mpya na Leicester

Mshambuliaji wa Uingereza na Leicester Jamie Vardy amekubali kuweka kandarasi mpya na viongozi wa ligi ya Uingereza Leicester.

 

1 year ago

Dewji Blog

Ukiacha Messi na Ronaldo hawa hapa sita wanatajwa kuamua matokeo ya El Clasico

Mchezo wa mahasimu wakubwa wa soka la Hispania, Barcelona na Real Madrid unataraji kupigwa Jumamosi ya Disemba, 3, ukiwa ni mchezo wa kwanza kukutana kwa msimu wa 2016/2017.

Mchezo huo mara nyingi hufanyiwa maamuzi na wachezaji wawili, Lionel Messi kwa upande wa Barcelona ambaye ndiye mfungaji wa magoli mengi wa mchezo wa El Clasico kwa kufunga magoli 21 na Cristiano Ronaldo kwa upande wa Real Madrid.

MO Blog imekuwekea majina ya wachezaji sita ambao ukiwatoa Messi na Ronaldo, wao wana uwezo...

 

9 months ago

BBCSwahili

Monacco yafanya mazungumzo ya kandarasi mpya na Mbappe

Klabu ya Monaco imeanza mazungumzo ya kumuongezea kandarasi mshambuliaji wake Kylian Mbappe kulingana na makamu wa rais wa klabu hiyo Vadim Vaslyev.

 

2 years ago

BBCSwahili

Messi awika Barcelona

Lionel Messi alifunga mabao matatu na kuiwezesha Barcelona kupata ushindi wa rahisi dhidi ya Granada na kurudi kileleni mwa ligi ya La Liga.

 

2 years ago

Global Publishers

Messi Ni Riziki Barcelona

453785878.0    Kipenzi cha watu wa Barcelona, Lionel Jorge Messi. 

Na Saleh Ally, Barcelona
LIGI Kuu Hispania maarufu kama La Liga imeanza kutimua vumbi huku kukiwa na mengi ya kuwaza au kubashiri, lakini hauwezi ukaizungumzia bila ya kumtaja Lionel Jorge Messi raia wa Argentina.

Messi ndiye kipenzi cha watu wa Barcelona, mji wenye wakazi wapatao milioni mbili kwa sasa ambao pamoja na kuwa na kila aina ya biashara, wanaamini maisha yao kwa kiasi kikubwa yanaendeshwa na kikosi cha Barcelona na tegemeo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani