Barcelona yavunja Mkataba na Guardiola saa moja baada ya kusaini

Rescissione-Sergi-GuardiolaSergi Guardiola.

Barcelona, Hispania

KLABU ya Barcelona nchini Hispania imeingia kwenye headline leo baada ya kuvunja mkataba wake na mchezaji Sergi Guardiola saa moja baada ya kumsajili.

Hii imetokea baada ya Sergi Guardiola (hana uhusiano na Pep) kuandika kwenye mtandao wa twitter maneno ambayo yanaonesha kuuchukiza uongozi wa Barca.

SERGI_GUARDIOLA_GETAFEKiungo Guardiola mwenye umri wa miaka 24, kabla ya kujiunga na Barca alikuwa akichezea timu ya Alcorcon inayoshiriki ligi ndogo za Hispania.

Walichokisema...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

FC Barcelona yavunja mkataba na mchezaji saa chache baada ya kumsajili, kisa Real Madrid …

Mapenzi ya wachezaji katika vilabu fulani barani Ulaya, imekuwa kawaida hata kama hawavichezei. December 28 klabu ya FC Barcelona imeingia kwenye headlines baada ya kumsainisha mchezaji na kisha kufuta mkataba wake masaa machache baada ya kugundua kuwa ametweet vitu ambavyo vinaihusu timu ya Real Madrid. Baada ya kufuzu majaribio na Barcelona B Sergi Guardiola alisaini […]

The post FC Barcelona yavunja mkataba na mchezaji saa chache baada ya kumsajili, kisa Real Madrid … appeared first on...

 

3 years ago

Bongo5

Neymar kusaini mkataba mpya wa Barcelona Ijumaa hii

Klabu ya Barcelona imethibitisha kuwa Neymar atasaini mkataba mpya Ijumaa hii ambao utambakisha kwenye timu hiyo mpaka Juni 2021.

neymar_celebrates-vresize-1200-675-high-23

Kupitia mtandao wa Twitter wa timu hiyo, wameandika, “[CONTRACT NEWS] @neymarjr will sign new contract on Friday that will keep him at the Club until June 2021.”

Mkataba huo mpya wa Neymar unadaiwa kuwa utamfanya awe analipwa mshahara mkubwa zaidi tofauti na anaopokea sasa wa £230,000 kwa wiki na atarajiwa kumzidi Lionel Messi ambaye anapokea kiasi cha £256,000...

 

3 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi TBS atumbuliwa baada ya kusaini mkataba

Miezi 11 tangu Joseph Masikitiko alipoteuliwa na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), amesimamishwa kazi.

 

3 years ago

Bongo Movies

BASATA wafunguka, Baada ya Alikiba Kusaini Mkataba ‘Sony Music’

Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limempongeza msanii Alikiba baada ya jana kusaini mkataba chini ya kampuni ya ‘Sony Music’ duniani na kusema kuwa hilo ni jambo la msingi na litasaidia saa yetu na kusisitiza kuwa sanaa ya staha inalipa zaidi.

KIBA332

BASATA wamedai kuwa siku zote ukifanya sanaa ambayo ina staha inalipa zaidi na kudai kuwa nidhamu na maadili pia yanachangia katika mafanikio

“Tunampongeza Msanii Ali Kiba kwa kusaini mkataba na Kampuni ya Kimataifa ya Sony Music. Nidhamu, maadili...

 

3 years ago

Dewji Blog

Mchezaji mpya wa Chelsea, Batshuayi atoa kituko mtandaoni baada ya kusaini mkataba

Chelsea imeendelea kuboresha kikosi chake kwa ajili ya msimu wa 2016/2017 na leo wamemtangaza mchezaji mpya kutoka Marseille, Michy Batshuayi kwa mkataba wa miaka mitano.

Batshuayi, 22 ambeye ana uraia wa Ubelgiji amejiunga na Chelsea kwa kiasi cha fedha cha Pauni Milioni 33.

Akizungumza na mtandao wa Chelsea, Batshuayi alisema amekuwa na malengo ya muda mrefu kujiunga na timu kubwa barani Ulaya na kuwaahidi mashabiki wa Chelsea pamoja na uongozi kuwa atakuwa bora,

“Nilikuwa natamani siku...

 

2 years ago

Bongo5

Guardiola huwakataza wachezaji kufanya mapenzi baada ya saa 6 usiku – Nasri

Mchezaji wa Ufaransa katika safu ya kati Samir Nasri amefichua kwamba mojawapo ya ufanisi mkubwa wa mkufunzi Manchester City Pep Guradiola ni kuwaagiza wachezaji wake kutofanya mapenzi baada ya saa sita usiku.
samir-nasri-premier-league-manchester-city_3037007

Katika mahojiano na runinga ya Ufaransa, Nasri amesema kuwa Guardiola aliweka sheria hiyo hata iwapo kungekuwa hakuna mechi siku iliofuatia ili wachezaji wapate usingizi mwanana.

Hata Lionel Messi anayetambulika kuwa mchezaji bora duniani hakuwachwa nje wakati wa uongozi wa Guradiola...

 

2 years ago

BBCSwahili

Samir Nasri: Guardiola huwataka wachezaji kutofanya mapenzi baada ya saa 6 usiku

Katika mahojiano na runinga ya Ufaransa,Nasri amesema kuwa Guardiola aliweka sheria hiyo hata iwapo kungekuwa hakuna mechi siku iliofuatia

 

3 years ago

Global Publishers

Neymar Kusaini tena Barcelona Miaka 5

NeymarNeymar.Neymar 2

Neymar na SuarezNeymar na MessiNeymar na Messi

KAPTENI wa Timu ya Taifa ya Brazil anayekipiga kunako Klabu ya Barcelona ya Hispania, Neymar Dos Santos mwenye umri wa miaka 24 ameweka wazi kuwa ataendelea kubaki klabuni hapo kwa miaka mingine mitano ijayo.

Neymar aliyekuwa akihusishwa kujiunga na Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) kwa dili kubwa zaidi amesema kuwa anapenda kuendelea kuichezea Barca na hiyo ndiyo imekuwa ndoto yake ya miaka yote kuwatumikia magwiji wa Catalan.

Rais wa Barcelona, ...

 

3 years ago

Dewji Blog

Barcelona yavunja rekodi ya Real Madrid, ipo hapa

2341052_heroa

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Klabu ya Barcelona ya nchini Hispania imefanikiwa kuvunja rekodi iliyowekwa na wapinzani wao wakubwa Real Madrid ambayo waliiweka mwaka 2014.

Real Madrid mwaka jana ilifanikiwa kufunga magoli 178 ambayo yalikuwa hayajawahi kufungwa na klabu yoyote katika historia ya klabu ya Hispania.

Awali kabla ya mchezo kati ya Barcelona na Real Betis, Barcelona ilikuwa na magoli 176 na baada ya kuibuka na ushindi wa goli nne kwa bila dhidi ya Real Betis sasa Barcelona ndiyo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani