Barcelona yawika huku Real Madrid ikilazwa

Barcelona imesalia na mechi mbili kuandikisha rekodi ya kutofungwa msimu mzima katika ligi ya La Liga baada ya kuicharaza Villarreal huku Ousmane Dembele akifunga mabao mawili

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Ligi Kuu ya Hispania La Liga, Real Madrid imeipiga Derpotivo la Coruna 6-2 huku Barcelona ikiipiga Osasuna 7-1

030517_barca

Baada ya kipigo kutoka kwa wapinzani wake Barcelona, Real Madrid imeamka tena kwenye La Liga baada ya kuitwanga Derpotivo la Coruna kwa mabao 6-2, huku wapinzani wake waliowafunga, Barcelona wakitoa kipigo cha mabao 7-1 dhidi ya Osasuna.

Pamoja na kucheza bila ya Cristiano Ronaldo, Madrid imeiangushia Derpotivo kipigo hicho kikali ikiwa nyumbani.

James Rodrigues alifanikiwa kufunga mabao mawili huku Alvaro Morata, Lucas Vazquez, Isco na Casemiro kila mmoja akitupia bao moja na kutengeneza...

 

2 years ago

MillardAyo

Kipigo cha Barcelona kwa Real Madrid kilichovunja rekodi ya Real Madrid

Baada ya kuondolewa katika michuano ya UEFA Champions League kwa timu ya FC Barcelona usiku wa April 23 2017 walisafiri hadi katika jiji la Madrid kuendeleza harakati zao za kuwania Kombe la LaLiga kwa kucheza dhidi ya wapinzania wao wa jadi Real Madrid katika uwanja wa Santiago Bernabeu. FC Barcelona walisafiri kuelekea Madrid tayari wakiwa […]

The post Kipigo cha Barcelona kwa Real Madrid kilichovunja rekodi ya Real Madrid appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

BBCSwahili

Real Madrid 0-4 Barcelona El Clasico

Kocha wa Madrid,Rafael Benitez anawashauri vijana wake wasiomboleze sana kufuatoa kichapo cha 0-4 dhidi ya Barcelona katika mechi ya El Clasico.

 

4 years ago

GPL

Tutawapwelepweta, Barcelona vs Real Madrid

BARCELONA, Hispania SIRI ni moja ni kuwa kama Real Madrid inahitaji kutwaa ubingwa wa La Liga msimu huu basi inatakiwa kuhakikisha haipotezi mchezo wa keshokutwa Jumapili dhidi ya Barcelona kwenye Uwanja wa Camp Nou. Takwimu zinaonyesha kuwa mechi za miaka ya hivi karibuni baina ya timu hizo ambayo inajulikana kwa jina la El Cl√°sico, huwa inakuwa na faida kwa Madrid kama inashinda kwenye uwanja huo unaomilikiwa na Barcelona....

 

4 years ago

BBCSwahili

Real Madrid yachapwa na Barcelona 2 - 1

Real Madrid jana ilidondokea pua katika mechi ya kukata na shoka baina yake na mahasimu wao Barcelonakukubali kichapo cha magoli 2 -1.

 

3 years ago

BBCSwahili

Barcelona kukutana na Real Madrid

Mchezo wa ligi kuu ya soka nchini Uhiispania La liga uliobadilishwa jina na kuwa El Clasico ambao huzikutanisha timu hasimu Barcelona na Real Madrid umepangwa kufanyika Disemba 3

 

1 year ago

BBCSwahili

El Clasico: Real Madrid 0-3 Barcelona

Barcelona ilionyesha mchezo mzuri ugenini na kupata ushindi dhidi ya Real Madrid ambayo imeondolewa katika kuwania taji la ligi ya Uhispania

 

4 years ago

BBCSwahili

Arsenal yashinda huku Tottenham ikilazwa

Bao la mapema lililofungwa na mchezaji wa Arsenal Aaron Ramsey lilitosha kuisaidia Arsenal kupunguza mwanya uliopo kati yake na Chelsea.

 

2 years ago

BBCSwahili

El Classico: Real Madrid yaizuia Barcelona

Real Madrid sasa iko pointi sita juu ya mabingwa watetezi wa ligi Barcelona baada ya kucheza mechi 14.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani