Bashe, Zitto waikosoa Serikali ndoto ya Tanzania ya viwanda

Dodoma. Wabunge jana waliendelea kuibana Serikali juu ya ndoto yake ya kuifanya Tanzania kuwa na uchumi wa kati wa viwanda ifikapo 2025, wakisema kwa mazingira ya kodi yaliyopo, ndoto hiyo haiwezekani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

8 months ago

MwanaHALISI

Bila gesi asilia Tanzania ya viwanda ni ndoto

MPANGO wa Serikali ya awamu ya tano kuanzisha na kukuza uchumi wa viwanda unaweza kuwa ni ‘ndoto ya mchana’ ikiwa serikali haitajipanga katika uzalishaji wa gesi asilia na mafuta ya uhakika, anaandika Dany Tibason. Hayo yameelezwa leo  na Francis Lupolala, afisa uhusiano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli hapa nchini (TPDC), alipokuwa akitoa maelezo katika mafunzo ...

 

2 weeks ago

MwanaHALISI

Zitto: Serikali inaua viwanda vya ndani

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ameitaka serikali kusimamia ipasavyo sekta ya viwanda ili kuhakikisha kinachozalishwa nchini kinakuwa na maana kwa faida ya Watanzania, anaandika Dany Tibason. Amehimiza serikali kuvilinda viwanda vya ndani dhidi ya kuvurugwa na bidhaa za nje ambazo zinaingizwa kinyemela, vinginevyo ikubali kuwa inaviua makusudi. Zitto ambaye ni kiongozi mkuu wa Chama ...

 

3 years ago

BBCSwahili

Maaskofu waikosoa serikali Eritrea

Maaskofu 4 wa kanisa katoliki ,wameandika barua inayokosoa mfumo wa maisha nchini humo, hatua ambayo inaonekana kama ya kishujaa ndani ya nchi ambayo haina uhuru wa kujieleza

 

1 year ago

Mtanzania

Zitto, Bashe watua Takukuru

Untitled-1*Ni kuhusu tuhuma za rushwa dhidi ya wabunge

*Wahojiwa kwa saa mbili sababu za kujiuzulu kwao

 

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

OFISI ya Bunge kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), zimeendelea kuwabana wabunge mbalimbali ili kuweza kubaini waliohusika na kupewa rushwa kutoka mashirika ya umma.

Kutokana na hatua hiyo, jana wabunge wawili ambao ni wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, waliitwa kwenda kutoa maelezo Takukuru.

Walioitwa jana na...

 

2 months ago

Mwananchi

Nape, Bashe na Zitto watabiriwa kutekwa

Sakata la utekaji limeendelea kung’ang’ania bungeni baada ya mbunge wa Ukonga (Chadema), Mwita Waitara kutaja wabunge watano akidai kuwa wamo kwenye orodha ya watu wanaotakiwa na Idara ya Usalama wa Taifa.

 

2 years ago

Mwananchi

CCM na Chadema waikosoa taarifa ya Mdhibiti Mkuu wa Serikali

Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chadema wamekosoa taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kupata hati zenye mashaka na kueleza kuwa hesabu za vyama vyao zipo sahihi.

 

1 year ago

Global Publishers

Tuhuma za Ufisadi, Zitto, Bashe Wajiuzulu Ujumbe Kamati ya Bunge

zitto_pac Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameishutumu Kamati ya Bunge yaHuduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wamepokea rushwa. Alichokiandika Zitto: “Kutokana na shutuma hizo ameamua kumuandikia spika  barua  ya kujiuzulu  na kumtaka achunguze na kuchukua hatua.” Hii  ni nakala ya barua yake aliyomwandikia spika wa bunge 1 bashe.jpg

Naye Mbunge wa Nzega Mjini, ametoa shutuma kwa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe...

 

2 years ago

Mwananchi

Zitto: Bado nina ndoto ya urais

Kiongozi wa ACT –Wazalendo, Zitto Kabwe amesema atagombea urais baada ya miaka mitano ijayo.

 

1 year ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Siku 100 za Dk Magufuli, ndoto ujenzi wa reli na viwanda

Niliwahi kusoma kitabu kimoja kilichoeleza yaliyojiri katika Mkutano Mkuu wa Tanu mwaka 1972. Katika kikao hicho moja ya mambo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa reli ya Tazara, wakati huo ikiwa imefika mbali.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani