Bawacha wanunua kesi ya mwanamke kujifungua Polisi

UONGOZI wa Baraza la wanawake Chadema (Bawacha)limelaani vikali kitedendo cha udhalilishaji kilichofanywa na jeshi la polisi dhidi ya Amina Mapunda (26) mkazi wa Kiswanya kijiji cha Mgundeni, tarafa ya Mang’ula wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Uongozi huo ulisema kuwa kitendo cha mwanamke huyo kujifungulia nje ya kituo cha polisi bila ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Zanzibar 24

Alichosema Masauni tukio la Mwanamke kujifungua kituo cha Polisi baada ya kukamatwa kwa kosa la Mumewe

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya askari polisi waliosababisha mwanamama Amina Rafael kujifungua nje ya kituo cha Polisi cha Mang’ula huko mkoani Morogoro.

Kauli hiyo ya Masauni imekuja baada ya kutakiwa kutoa maelezo na Mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge kuhusiana na madai hayo yaliyotolewa na Mbunge wa Arumeru Mashariki , Joshua Nassari aliyetaka suala hilo lijadiliwe ndani ya Bunge na kwamba ni matukio...

 

3 years ago

BBCSwahili

Mwanamke kujifungua 'mjukuu wake'

Mwanamke ambaye anataka kutumia mayai ya uzazi ya bintinye ili kumzaa mjukuu wake ameshinda kesi mahakanani na kuruhusiwa kufanya hivyo.

 

1 year ago

BBCSwahili

Mwanamke aliyetumia mtandao wa YouTube kujifungua

Mama aliyejifungua anasema kuwa alitumia kanda za video za YouTube kujifungua mwanawe baada ya kushikwa na uchungu ndani ya chumba chakw cha hoteli akiwa pekee

 

3 years ago

Mtanzania

Umri mzuri kwa mwanamke kujifungua salama

056a771f154aea7c44f6a5eca5a83b2c_f1110

Na JOACHIM MABULA,

TAMAA ya kutaka kufanikiwa maishani imeenea duniani kote. Hali zimebadilika mno, jinsia ya kike inataka kujitosheleza kwa kila kitu. Lakini mabadiliko ya kibaiolojia yanabaki vile vile, mfano kuzeeka.

Mafanikio wanayowaza wengi ni utajiri wa fedha na elimu kubwa. Hii imesababisha wanawake wengi kusoma na kufanya kazi kupita kiasi, hata kupuuzia suala la kuzaa mapema.

Wengi wanashtuka ikiwa umri wao ni zaidi ya miaka 30, ndio wanakuwa na tamaa ya kuzaa. Kuchelewa kwao...

 

3 years ago

MillardAyo

Mwanamke alivyokimbiwa na mume baada ya kujifungua Muhimbili Dar… #Hekaheka (+Audio)

Hii stori imesikika kwenye show ya ‘Leo Tena‘ Clouds FM ambapo mwanamke mmoja amekimbiwa na mumewe baada ya kujifungua hospitali ya Muhimbili Dar es Salaam. Mwanamke huyo amesema baada ya kutoka hospitali alikuta mwanaume kabeba kila kitu kwenye nyumba walipokuwa wamepanga, akakosa msaada mpaka akajitokeza mama mmoja ambaye alimsaidia kumpa hifadhi kwa muda. Japo wameishi […]

The post Mwanamke alivyokimbiwa na mume baada ya kujifungua Muhimbili Dar… #Hekaheka (+Audio) appeared first on...

 

5 years ago

Michuzi

Halima Mdee akamatwa na Polisi walipowatawanya BAWACHA

Jeshi la polisi katika Kanda maalum ya Dar es Salaam limetumia maji ya kuwasha kuwatawanya wafuasi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) waliokuwa wakijiandaa KUANDAMANA hadi Ikulu.
Aidha, jeshi hilo limemkamata Mwenyekiti wa BAWACHA, Mhe. Halima Mdee aliyekuwa akiyaongoza maandamano hayo.
BAWACHA walipanga kuandamana hadi Ikulu ya Dar es Salaam kwa nia ya kuonana na Rais Jakaya Kikwete ili kumsishi asisaini Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, ambayo ilipitishwa na...

 

5 years ago

Vijimambo

ANGALIA PICHA: BAWACHA WALIPOANDAMANA KUELEKEA IKULU, HALIMA MDEE AKAMATWA NA POLISI

Mwenyekiti wa BAWACHA ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Kawe kupitia CHADEMA Halima Mdee akiwa katika maandamano akiwaongoza wanawake wenzake kuelekea Ikulu kumpelekea ujumbe Rais Jakaya Kikwete kwamba hasikubali kuweka saini Rasimu mpya iliyopitishwa juzi mjini Dodoma, maandamano hayo kabla hayajafika mbali walitawanywa na jeshi la polisi lililotumia maji ya kuwasha pamoja na kupigwa kwa waandamanaji na kumshika mwenyekiti huyo Halima Mdee pamoja na wafuasi wake na kupelekwa polisi Osterbay...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mwanamke afungua kesi mahakamani kutaka mahari yapigwe marufuku

Wakili mmoja wa kike ameanzisha kesi ili kufutilia mbali mahari akisema kuwa ni mila iliopitwa na wakati ambayo inawafanya wanawake kuonekana kama mali kulingana na gazeti la serikali la Herald nchini Zimbabwe.

Amewasilisha malalamiko yake katika mahakama ya juu, mahakama ya kikatiba akitaka kusikilizwa kwa kesi yake kwamba utamaduni huo unakiuka haki za raia.

Gazeti hilo limemnukuu bi vengesai akisema kwamba anataka kuolewa na hataki kupitia aliyopitia alipokuwa katika ndoa.

Sikushiriki...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani