Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya

Nay Wa Mitego ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania walioamua kwenda kufanya video nje mwaka huu, na hii ikiwa ni mara yake ya pili kufanyia video nchini Kenya. Hii ni video ya behind the scenes ya wakati wa utengenezaji wa video ya ‘Mr Nay’ iliyofanyika Nairobi, Kenya wiki chache zilizopita na kuongozwa na director Kevin […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo5

Video: Tazama teaser ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘ Mr Nay’ iliyofanyika Kenya

Hivi karibuni Nay Wa Mitego aka True Boy alikwenda Kenya kushoot video ya single yake mpya ‘Mr Nay’, na habari njema ni kuwa video tayari imekamilika. Lakini habari mbaya ni kwamba Nay amekupa sekunde 15 tu za kuona teaser kwa sasa kabla hajaachia rasmi video kamili. Video ya ‘Mr Nay’ imeongozwa na director Kevin Bosco […]

 

5 years ago

Bongo5

Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’

Kwa mtu ambaye tayari ameiona video mpya ya Nay Wa Mitego, ‘Mr Nay’ huenda swali la kwanza ambalo atajiuliza mara baada ya kuitazama au akipata nafasi ya kukutana na Nay atamuuliza ni ‘hiyo concept ya video, zile damu damu na ‘mask’ za kutisha, minyororo na hizo sign zote zina maana gani?’ Mara nyingi au mara […]

 

3 years ago

MillardAyo

Siwema, mama mtoto wa Nay wa Mitego kapata kifungo cha nje, Nay kaeleza..(+Video)

NAY 22233

Stori inayochukua headlines 88.1 (Mwanza) kuhusu Mama mtoto wa Nay wa Mitego, Siwema kutumikia kifungo cha nje, sasa Ayo TV imempata Nay wa Mitego kueleza taarifa hizo za mzazi mwenza. ‘Tulikuwa tunapambana jinsi ya kumsaidia mpaka amepata kifungo cha nje, na kuna vitu ambavyo hatakiwi kufanya katika jamii kama kupigana  au kusafiri nje ya mkoa […]

The post Siwema, mama mtoto wa Nay wa Mitego kapata kifungo cha nje, Nay kaeleza..(+Video) appeared first on MillardAyo.Com.

 

5 years ago

GPL

5 years ago

Bongo5

New video: Nay Wa Mitego — Mr Nay

Msanii Wa Hip Hop nchini, Nay Wa Mitego ameachia video yake mpya ‘Mr Nay’ iliyoongozwa na Kevin Bosco Jnr wa Decent Media nchini Kenya. Itazame

 

2 years ago

Bongo5

Audio: BASATA yafunguka ishu ya Nay wa Mitego kukamatwa, familia ya Nay yatoa neno

Baada ya rappa Nay wa Mitego kutoa taarifa kupitia ukurasa wake wa instagram kwamba amekamatwa na taarifa hizo kuthitishwa na jeshi la polisi, Bongo5 imezungumza na familia ya rappa huyo pamoja na Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) baada ya taarifa kuzagaa kwamba rappa huyo amekamatwa kutokana na wimbo wake mpya uliovuja mtandaoni.

Akiongea na Bongo5 producer wa rappa huyo, Osam Flexible kwa niaba ya familia amesema wao wamezipata taarifa za kukamatwa kwa Nay wa Mitengo mkoani Morogoro kama...

 

3 years ago

Bongo5

Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza

Chagga na Nay

Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?

Chagga na Nay

Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.

Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...

 

2 years ago

Malunde

RAIS MAGUFULI AFURAHISHWA NA WIMBO WA NAY WA MITEGO 'WAPO' WAZIRI AAGIZA NAY AACHIWE HURU

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, ameliagiza Jeshi la Polisi kumuachia huru Msanii Ney wa Mitego aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi hilo.


Waziri Mwakyembe ameishauri pia BASATA kuondoa zuio lake dhidi ya wimbo huo, na badala yake uendelee kupigwa tu kama nyimbo nyingine.

Akiongea na wandishi wa Habari leo mjini Dodoma, Dk. Mwakyembe amesema hata Rais Magufuli amefurahishwa na wimbo huo wa WAPO, na kumshauri Msanii huyo kama inawezekana aendelee kutaja watu...

 

4 years ago

Bongo5

New Video: Nay Wa Mitego — Akadumba

Hii ndo video mpya kutoka kwa Nay wa Mitego ya wimbo wa “Akadumba” video imeongozwa na Kevin Bosco Jnr Wa Decent Media kutoka Kenya

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani