BEI ZA MATUNDA SOKO LA BUGURUNI JIJINI DAR ES SALAAM Inbox x

Wafanyabiashara wa matunda  katika Soko la  Buguruni wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam wameeleza kuwa kwa sasa matunda yanapatikana kwa wingi ,Wachuuzi hao wamebainisha bei ya matunda hayo kulingana na ukubwa na ubora wenyewe.
Wakizungumza leo na Michuzi Tv  jijini Dar es Salaam wafanyabiashara  hao wamesema kwa sasa hali iko shwari na matunda yanauzika,wateja wao wamekuwa wakipita sokoni hapo kujipatia matuda mbalimbali kuligana na mahitaji yao.

 

Bei ya Embe sokoni hapo ni kati ya Sh.300...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

BEI ZA BIDHAA MATUNDA NA MBOGABOGA SOKO LA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM.

Mboga aina ya Spinach fungu sh. 500, Tembele sh 500Mkungu wa ndizi katika soko la Kinondoni unauzwa kati ya sh 25,000 hadi sh 30,000.Bei za mchele katika soko la Kinondoni kama inavyoneshwa katika vibaoMfanyabiashara akitembeza biashara zake katika maeneo ya kinondoniEmbe katika soko la Kinondoni linauzwa kati ya sh 1000 hadi sh 1500, Papai sh 2000 hadi 400 hutegemeana na ukubwa wa Papai, Nanasi sh 3000 hadi sh 4000, Ndizi Mbivu inauzwa kati ya sh 250 hadi sh 300.(Imeandaliwa na Emmanuel...

 

1 year ago

Michuzi

BEI YA BIDHAA ZA MATUNDA NA VYAKULA MBALIMBALI SOKO LA MABIBO JIJINI DAR LEO.

Wafanyabiashara  wakiwa katika biashara zao katika soko la Mabibo jijini Dar es Salaam mapema leo kama walivyokutwa na Mpiga picha wetu wa Globu ya jamii.Tikitiki maji katika soko la mabibo ambalo linauzwa kwa bei ya jumla kati ya shilingi 1500 hadi 1800.Viazi vitamu kwa gunia katika soko la mabibo vinauzwa kati ya Shilingi Elfu 55,000 hadi Elfu 60,000 na kwa rejareja ni sh. 1,000/= kwa fungu.Ndizi katika soko la mabibo zinauzwa kati ya shilingi 25000 hadi 50,000 kwa mkungu kwa siku ya leo.

 

3 years ago

Michuzi

Hekaheka za ununuzi wa vyakula ndani ya soko la Buguruni jijini Dar es salaam leo

Baadhi ya wananchi wa jiji la Dar es salaam, wakiwa katika soko la Buguruni wakijipatia mahitaji yao kufuatia kuanza kwa Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Kwa mujibu wa wananunuzi hao,wameiambia Globu ya jamii kwa nyakati tofauti kuwa bei ya bidhaa hizo aghalabu zina unafuu,mahitaji hayo ni ya kuridhisha japo baadhi yao wamelalamikia kupanda kwa bei ya baadhi ya vyakula ikilinganishwa na siku za kawaida.Kwa upande wa matunda bei zake ni kama ionekanavyo hapo.Mihogo, Viazi na Magimbi.

 

3 years ago

Michuzi

BEI YA SAMAKI SOKO LA FERI JIJINI DAR ES SALAAM YASHUKA

Wachuuzi wa Samaki wakisubiri kununua kitoweo hicho katika Soko la Kimataifa la Samaki la Feri jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Bei ya samaki katika soko hilo imepungua kutokana kwa kupatikana kwa wingi kwa kitoweo hicho.Mnada wa samaki ukiendelea

Na Dotto Mwaibale
HALI ya bei ya samaki katika Soko la Kimataifa la Feri jijini Dar es alaam imeshuka kutokana na samaki kupatikana kwa wingi katika kipindi cha mwezi wa Septemba.
Akizungumza na mtandao wa www. habari za jamii.com jijini Dar es...

 

5 days ago

Michuzi

BEI YA VITOWEO NDANI YA SOKO LA KINYEREZI JIJINI DAR ES SALAAM


Mfanyabiashara wa Kuku katika soko la Kinyerezi wilaya ya Ilala akimhudumia mteja wake leo jijini Dar es Salaam,ambapo bei ya kipande cha kuku ni kati ya sh. 1000/= mpaka 3500/=.
Sehemu ya kukaangia kuku katika soko la Kinyerezi wilaya Ilala kama inavyoonekana katika picha. 


Wafanyabiashara wa Samaki katika soko la Kinyerezi wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam,wakiendelea na shughuli zao mbalimbali katika soko hilo leo ambapo bei ya samaki wanauzwa kati ya sh. 2000/= mpaka...

 

6 days ago

Michuzi

BEI ZA MCHELE SOKO LA BUGURUNI

 Bei za bidhaa mbalimbali katika soko Buguruni wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam,kamazinavyo onekana katika picha.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
  Bei za mchele katika soko la Buguruni wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam  kama inavyo onekana katika picha.

 

1 year ago

Michuzi

BEI YA MATUNDA SOKO LA MABIBO

Na Chalila Kibuda, Globu ya jamii
WAFANYABIASHARA wa matunda katika Soko la Mabibo jijini Dar es Salaam wamelezea bei mbalimbali za matunda wanayouza kwa wateja wao sokoni hapo.
Wakizungumza na Michuzi Blog jijini Dar es Salaam wafanyabiashara hao wametaja bei ya kila tunda na wanalouza.Bei hizo ni kama zinavyoonesha hapa. Bei ya Nanasi katika Soko la Mabibo linauzwa kati shilingi. 500 hadi shilingi 2000/= Bei ya Embe sokoni hapo ni kati ya Shilingi 400 hadi Shilingi 600.  Bei ya Embe ndogo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani