Beki Banda agoma kusaini mkataba Simba kisa ajiunge na Chipa United, Bidvest za Afrika Kusini

Beki wa Simba na Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ Abdi Banda amesema huenda asirudi nchini atakapoenda Afrika Kusini kushiriki mashindano ya Kombe la Cosafa.

Mwanaspoti

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Singida United yamchelewesha beki Mfuko kusaini mkataba mpya na Mwadui

Beki Abdallah Mfuko alikuwa akisita sita kuongeza mkataba katika klabu yake ya Mwadui baada ya kusikia Singida United inahitaji saini yake kwa ajili ya msimu ujao.

 

4 years ago

GPL

Niyonzima agoma kusaini mkataba mpya Yanga SC

Mchezaji wa Yanga, Haruna Niyonzima. Na Elius Kambili,
YANGA wajanja sana, kwani wanataka Haruna Niyonzima asaini mkataba mpya na klabu yao halafu malipo yafanyike baadaye kwa awamu jambo ambalo limepingwa na kiungo huyo raia wa Rwanda. Niyonzima ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga ambao mikataba yao itafikia tamati mwishoni mwa msimu huu wa Ligi Kuu Bara ifikapo Mei, mwaka huu.Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa kiungo huyo,...

 

2 years ago

Bongo5

Lukaku agoma kusaini mkataba mpya Everton

Mshambuliaji wa klabu ya Everton, Romelu Lukaku amekataa mkataba wenye faida kubwa kwake katika historia ya klabu hiyo.

Klabu ya Everton ambayo inashiriki ligi ya Uingereza ilikuwa na matumaini kwamba mchezaji huyo raia wa Ubelgiji ataongeza mkataba mwingine wa miaka mitano inayoaminika kugharimu pauni 140,000 kwa wiki.

Agenti wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23, Mino Raiola alisema kuwa mteja wake alikuwa na uwezekano wa asilimia 99.9 kusaini mkataba mpya katika uwanja wa Goodison...

 

2 years ago

Bongo5

Steven Gerrard agoma kusaini mkataba mpya na LA Galaxy

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Liverpool, Steven Gerrard ametangaza kuwa hata saini mkataba mpya na timu yake ya LA Galaxy inayoshiriki ligi kuu ya Marekani.

steven-gerrard

Gerrard (36) alijiunga na Galaxy mwaka 2015 na amefunga magoli matano kati ya mechi 34 alizocheza katika misimu yake miwili akiwa na timu yake hiyo huku mkataba wake ukitarajiwa kumalizika mwezi ujao.

“Kwa hakika si mwisho wa maisha yangu katika soka” amesema Gerrard. “Sasa natizamia kwenda nyumbani...

 

3 years ago

Bongo5

Rashford akaribia kusaini mkataba, si Manchester United tena

Mshambuliaji kinda wa Manchester United, Marcus Rashford yupo mbioni kusaini mkataba na kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya michezo, Nike.

160509121714_rwanda_floods_9_624x351_bbc

Mpaka sasa Rashford amebakisha miezi 14 mkataba wake na Manchester United ambao anapokea mshahara wa paundi 15,000 na bonansi ya paundi 5,000 anatarajiwa kupewa mkataba mkubwa zaidi.

Rashford ameshaifungia timu yake ya Manchester United jumla ya magoli saba tangu alipoanza kuingia kwenye kikosi hicho kwenye mechi ya kwanza ya kombe la Uefa dhidi ya...

 

3 years ago

Bongo5

Zlatan Ibrahimovixc akaribia kusaini mkataba na Manchester United

Timu ya Manchester United inatarajiwa kukamilisha usajili wa mchezaji wa Swedan, Zlatan Ibrahimovic kabla ya kuanza kwa michuano ya Uero Juni 10 mwaka huu.

01_12091837_183cea_2737628a

Sky Sports imeripoti kuwa kaimu mtendaji mkuu wa Manchester United, Ed Woodward na wakala wa mchezaji huyo wanakamilisha makubaliano ya hatua za mwisho kwa ajili ya kumsajili mchezaji huyo kwa mkataba wa mwaka mmoja ambaye kocha mpya wa timu hiyo, Jose Mourinho amepanga kumtangaza Ibrahimovic kama ndiyo usajili wake wa kwanza ndani ya...

 

3 years ago

MillardAyo

Hili ndio gazeti lililothibitisha Jose Mourinho kusaini mkataba na Man United

kt

Kwa sasa ukisikia jina la kocha wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho kitakachokujia kwa haraka haraka ni timu gani atajiunga nayo baada ya kufukuzwa kazi na Chelsea, mengi yameandikwa kuhusu Jose Mourinho kuwa katika mpango wa kujiunga na Man United mwisho wa msimu. Bado uongozi wa Man United na Mourinho hawajazungumza chochote juu ya tetesi hizo zaidi […]

The post Hili ndio gazeti lililothibitisha Jose Mourinho kusaini mkataba na Man United appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

GPL

Simba yamzuia straika ligi kuu kusaini mkataba

Na Lucy Mgina
STRAIKA wa Tanzania Prisons, Six Ally Mwakasega, ambaye ni mmoja wa nyota wanaotakiwa na Klabu ya Simba, amesema yupo tayari kujiunga na vijana hao wa Msimbazi iwapo tu watampa maslahi mazuri.
Six alijiunga na Prisons msimu uliopita akitokea Majimaji ya Songea ambayo ipo Ligi Daraja la Kwanza.
Akizungumza na Championi Jumatano, Six ambaye amemaliza mkataba na kikosi cha Prisons, alisema amesitisha zoezi la...

 

3 years ago

Global Publishers

Simba, Azam zamzuia Yondani kusaini mkataba mpya yanga

YONDANIBeki tegemeo wa timu ya Yanga, Kelvin Yondani.

KAMATI ya Usajili ya Yanga, imestopisha mazungumzo yake na beki tegemeo wa timu hiyo, Kelvin Yondani kuhusu kumuongezea mkataba mpya utakaomwezesha kubaki klabuni.
Sababu kubwa ya kusitisha mazungumzo hayo imeelezwa kuwa ni kuweka umakini zaidi katika kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara ambao pia unawaniwa na Azam FC na Simba.

 
Mabosi wa Yanga wameona haitakuwa busara kumchanganya Yondani aliyetua klabuni hapo msimu wa 2010/11 kutoka Simba, kwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani