Benfica imewabamiza Zenit St-Petersburg

katika champions ligi Benfica imewabamiza Zenit St-Petersburg bao moja kwa sifuri.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Roberto Mancini ateuliwa mkufunzi wa Zenit St Petersburg

Mancini, aliyeshinda Ligi ya Premia akiwa na Manchester City mwaka 2012, alikuwa mkufunzi wa Inter Milan lakini akaondoka mwaka 2016.

 

1 year ago

BBCSwahili

Europa League: Arsenal wakabidhiwa Ostersunds, Celtic wapewa Zenit St Petersburg

Celtic wamepangwa kucheza dhidi ya Zenit St Petersburg hatua ya 32 bora ligi ndogo ya klabu Ulaya, Europa League, nao Arsenal wakapewa FK Ostersunds ya Sweden.

 

5 years ago

BBCSwahili

Dortmund 5 - 4 St Petersburg

Borussia Dortmund ya Ujerumani imefuzu kwa robo fainali ya kombe la mabingwa Uropa licha ya kulazwa 2-1 na Zenith st Petersburg

 

5 years ago

BBCSwahili

Zenit yalazwa 4-2 na Borussia

Zenit st Petersburg yaambulia kichapo cha 2-4 mikononi mwa Borussia.

 

5 years ago

BBCSwahili

Uefa: Leverkusen yairarua Zenit 2-1

Bayer Leverkusen ya Ujerumani imeishushia kipigo Zenit St Petersburg ya Urusi cha mabao 2-1 katika mechi ya Kombe la Uefa

 

3 years ago

Mtanzania

Zverev atwaa St Petersburg Open

alexander-zverevBERLIN, Ujerumani

NYOTA mwenye umri mdogo katika mchezo wa tenisi, Alexander Zverev, ameweza kutwaa ubingwa wa US Open kwa mara ya kwanza baada ya kumshinda mpinzani wake, Stan Wawrinka kwa seti 6-2 3-6 7-5.

Zverev mwenye umri wa miaka 19, ambaye anashika nafasi ya 27 kwa ubora duniani, ameweza kutamba mbele ya bingwa wa US Open anayeshika nafasi ya tatu kwa ubora kutoka nchini Switzerland, Stan Wawrinka.

Wawrinka, alionekana kupewa nafasi kubwa ya kufanya vizuri katika mchezo huo na hasa...

 

2 years ago

VOASwahili

Bomu lateguliwa eneo ya makazi St Petersburg

Vyombo vya usalama Russia vimelitegua bomu lililokuwa katika jengo la makazi huko St Petersburg, Shirika la habari la TASS limeripoti Alhamisi.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Mancini aahidi makubwa klabu ya Zenit ya Urusi

Kocha wa zamani wa Manchester City, Robert Mancini ameahidi kuiletea mafanikio klabu yake mpya Zenit nchini Urusi.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani