Benki Kuu ya Tanzania “BOT” imesema serikali imeanza kulipa madeni yote ya ndani na nje kwa fedha zake za ndani

screen-shot-2016-09-30-at-3-44-19-pm

Benki Kuu ya Tanzania,BoT imesema serikali imeanza kulipa madeni yote ya ndani na nje kwa fedha zake za ndani ambapo tayari imeshalipa kiasi cha shilingi bilioni 96 za deni la ndani huku ikilipa dola milioni 90 za deni lake la nje.

Akitoa taarifa ya Ukuaji wa Pato la Taifa kwa kipindi cha nusu mwaka wa 2016, Gavana wa BoT Profesa BENNO NDULU amesema kufuatia serikali kulipa shilingi bilioni 96  za deni la ndani,  deni hilo linasalia kiasi cha shilingi  trilioni 9.9 huku deni la nje...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Zanzibar 24

BoT imeanza kulipa madeni yote ya ndani na nje kwa fedha zake za ndani

Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Pombe Magufuli imeanza kudhihirisha kwa vitendo, kauli kwamba deni la Tanzania nje ya nchi ni himilivu baada ya kuanza kulipa sehemu ya deni ikiwa na chini ya mwaka mmoja madarakani.

Takwimu zilizotolewa mwishoni mwa wiki na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu zimebainisha hali ya uchumi kuimarika kwa kasi, hatua ambayo imewezesha serikali kuanza kulipa madeni na kutekeleza mipango mikubwa...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Serikali ya Zanzibar yaahidi kulipa madeni ya walimu ndani ya kipindi cha miezi kumi

Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imeahidi kuyapatia ufumbuzi  matatizo yanayoikumba sekta ya elimu ikiwemo tatizo la kuchelewa kulipwa madeni yao ndani ya kipindi cha miezi  kumi ijayo.

Kauli hiyo imetolewa leo na Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya amali Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri kwenye maadhimisho ya siku ya walimu duniani katika ukumbi wa  suza  mjini Unguja.

Amesema licha ya serikali kufanya marekebisho ya mishahara kwa baadhi ya walimu, lakini bado wanaendelea na hatua za kuwatafutia...

 

1 year ago

Michuzi

WADAIWA SUGU WA MADENI YA “COMMODITY ORT SUPPORT (CIS) WATAKIWA KULIPA MADENI YAO NDANI YA SIKU 30

TANGAZO KWA WADAIWA SUGU WA MADENI YA “COMMODITY IMPORT SUPPORT (CIS)
Katika miaka ya 1980 hadi 2000 Wahisani walitoa fedha za kigeni kwa Serikali ya Tanzania kwa mpango maalum uliofahamika kama “Commodity Import Support (CIS)” kwa lengo la kuipa Serikali uwezo wa kuimarisha uchumi kwa kuzipatia Taasisi, Makampuni, Viwanda na wafanyabiashara uwezo wa kuagiza bidhaa na malighafi kutoka nje ya nchi, kwa kuwa wakati ule nchi...

 

2 years ago

Channelten

Serikali imesema kuwa ipo macho katika kupambana na tishio lolote la kiusalama ndani na nje ya mipaka ya nchi

rg1a0943

Serikali imesema kuwa ipo macho katika kupambana na tishio lolote la kiusalama ndani na nje ya mipaka ya nchi kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo katika hali ya utayari wakati wowote kupambana na vikundi au watu wenye nia ya kuhatarisha usalama wa nchi.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Sherehe za Baraza la Maulid kitaifa zilizofanyika Shelui Mkoani Singida, ambapo amesema kuna vikundi ambavyo vinafanya majaribio ya kigaidi ambapo ametolea mfano matukio ya...

 

2 years ago

Habarileo

Serikali kulipa madeni yote ya Maliasili

WIZARA ya Maliasili na Utalii imesema italipa madeni yote ya miaka ya nyuma ya vifuta jasho inavyodaiwa na wananchi waliopata uharibifu wa wanyamapori nchini kabla ya Bunge lijalo la bajeti.

 

2 years ago

Malunde

SERIKALI KULIPA MADENI YOTE YA WATUMISHI WA UMMA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali italipa madeni yote ya watumishi ambayo yamehakikiwa na kukutwa kuwa ni halali.

“Mheshimiwa Rais, Dk. John Pombe Magufuli alisitisha malipo sababu ya zoezi la kubaini watumishi hewa, sasa kazi hiyo imeshakamilika, yale yaliyobainika kuwa ni halali yatalipwa. Tunataka watumishi mfanye kazi ya kuwahudumia wananchi kwa bidii,” alisema.

Ametoa kauli hiyo jana (Jumamosi, Agosti 12, 2017) wakati akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui...

 

1 year ago

Malunde

MAGUFULI AMWAGA BILIONI 200 KULIPA MADENI YA NDANI


Rais John Magufuli amesema, mwezi ujao Serikali itatoa Sh bilioni 200 kwa ajili ya kulipa madeni ya ndani yatakayokuwa yamehakikiwa yakiwemo ya wazabuni mbalimbali waliotoa huduma katika taasisi za serikali, madai ya walimu na madai ya wakandarasi.
Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo, wakati alipokuwa akiagana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) anayemaliza muda wake, Profesa Benno Ndulu leo Ikulu, jijini Dar es Salaam.
“Nasisitiza madeni tutakayolipa ni ya ndani, na tutalipa madeni...

 

1 year ago

CCM Blog

MAGAZETI YOTE YA LEO IJUMAA MACHI 9, 2018 NDANI NA NJE YA TANZANIA

Mdau asante kwa kuperuzi magazeti ya leo Ijumaa, Machi tisa, 2018, ndani na nje ya Tanzania Hapa katika Blog ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM Blog). Tunakutakia Ijumaa Kareem, baada ya pilikapilika za jana katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Naam. HAKUNA KAMA MAMA

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani