BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA KOMPYUTA 10, MEZA PAMOJA NA VITI SHULE YA SEKONDARI TURIANI KINONDONI

Meneja Masoko Mwandamizi wa Benki ya Access Bw. Simon Sijaona akikabidhi moja ya kompyuta 10 kwa Bw. Izungo Angalo Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Turiani Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam zilizotolewa na benki ya Access kwa shule hiyo Baadhi ya vitu vingine vilivyotolewa na benki ya Access kwa shule hiyo ni pamoja na viti 10na meza za kompyuta 10 wanaoshuhudia tukio hilo kulia ni Mwanafunzi Amina Ibony wa kidato cha IV na Nasib Masenga Kidato cha IV. 2Meneja Masoko...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA WA KOMPYUTA 10 MEZA PAMOJA NA VITI KWA SHULE YA SEKONDARI TURIANI KINONDONI

Meneja Masoko Mwandamizi wa Benki ya Access Bw. Simon Sijaona akikabidhi moja ya kompyuta 10 kwa Bw. Izungo Angalo Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Turiani Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam zilizotolewa na benki ya Access kwa shule hiyo Baadhi ya vitu vingine vilivyotolewa na benki ya Access kwa shule hiyo ni pamoja na viti 10na meza za kompyuta 10 wanaoshuhudia tukio hilo kulia ni Mwanafunzi Amina Ibony wa kidato cha IV na Nasib Masenga Kidato cha IV.
Meneja Masoko Mwandamizi wa...

 

5 years ago

Dewji Blog

Access Bank watoa msaada wa Kompyuta kwa shule ya sekondari Azania

access 1  Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta Mkuu wa Shule ya Sekondari Azania, Mwl. Benald Ngonzie (kushoto), wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni wanafunzi wa shule hiyo. Benki hiyo jana ilitoa msaada wa kompyuta 10 kwa shule hiyo zenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni. aces

Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta kwa wanafunzi waliowawakilisha wenzao, anayeshuhudia makabidhiano hayo ni Mkuu wa...

 

5 years ago

GPL

ACCESS BANK WATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA SHULE YA SEKONDARI AZANIA‏

Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta Mkuu wa Shule ya Sekondari Azania, Mwl. Benald Ngonzie (kushoto), wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni wanafunzi wa shule hiyo. Benki hiyo jana ilitoa msaada wa kompyuta 10 kwa shule hiyo zenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni.
Ofisa Masoko Mwandamizi Access… ...

 

3 years ago

Dewji Blog

NMB yatoa msaada wa kompyuta 250 kwa shule za msingi na sekondari nchini

Benki ya NMB imeendelea kusaidia kukuza elimu nchini kwa kutoa msaada wa kompyuta 250 ambazo zitagawiwa kwa shule za msingi na sekondari nchini ikiwa ni siku sita tangu ilipotoa msaada wa madawati 3,500 kwa shule 71 nchini.

Akizungumza wakati wa halfa ya kukabidhi msaada huo iliyofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mkurugenzi Mtendaji wa NMB, Ineke Bussemaker alisema msaada huo ni sehemu ya mpango ambao NMB imeuweka wa kusaidia jamii (CSR) na kupitia msaada...

 

3 years ago

Michuzi

WADAU WACHANGIA VITI NA MEZA KWA SHULE ZA SEKONDARI

Mbunge waMbunge wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete kushoto akipokea meza toka kwa mwakilishi wa Sayona Fruits Ltd ya Mboga iliyo chini ya kampuni ya MMI Steel ya Jijini Dar es Salaam, Abubakary Mlawa wakati wa makabidhiano ya viti na meza 724 kwa Shule tano za Sekondari za Jimbo hilo zoezi hilo lilifanyika kwenye shule ya Sekondari ya Lugoba.Mbunge wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete kushoto akipokea kiti toka kwa...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MILIONI 10 KWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA KIBOSHO

 Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari Kibosho, Mhandisi Aloyce Peter Mushi akizungumza wakati wa hafla ya mahafali ya Kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya Kibosho. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei 

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizindua jengo la mahabara ya Shule ya Sekondari Kibosho, wakati wa mahafali ya 30 ya kidato cha sita yaliyofanyika Mkoani Kilimanjaro. Kushoto ni Mkuu wa Shule hiyo, sista Anna na kulia ni...

 

3 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MIFUKO 70 YA SARUJI KWA SHULE YA SEKONDARI KIBASILA KUSAIDIA UKARABATI WA UZIO


Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center, Clementina Kinabo (wa pili kulia), ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 15 ya Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Kibasila akiwasili shuleni hapo, Kulia ni Mkuu wa shule hiyo, Yasinta Matilya. Benki ya CRDB ilitoa msaada wa mifuko 70 ya saruji kwa ajili ya ukarabati wa uzio wa shule hiyo katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center, Clementina Kinabo...

 

2 years ago

Dewji Blog

UCSAF watoa msaada wa Kompyuta shule ya sekondari Chalinze mkoani Pwani

Mfuko wa Mawasiliano kwa wote, (UCSAF), umetoa msaada wa kompyuta 10 kwa Shule ya Sekondari Chalinze mkoani Pwani ikiwa ni moja ya jitihada za mfuko huo kuwawezesha wananchi wa kada mbalimbali kupata fursa ya mawasiliano.

Akizungumza wakati wa makabidhiano rasmi ya msaada huo, shuleni hapo mwishoni mwa wiki, Mwenyekiti wa Bodi ya UCSAF, Joseph Kilongola alisema, mfuko ulipokea maombi kutoka shule hiyo ya uhitaji wa kompyuta ili kuwawezesha wanafunzi na jamii inayozunguka shule hiyo kupata...

 

4 years ago

GPL

SHULE YA SEKONDARI MTAKUJA YA KUNDUCHI BEACH, DAR, YAPOKEA MSAADA WA KOMPYUTA TOKA VODACOM FOUNDATION

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi beach jijini Dar es Salaam, wakishusha vifaa vya kompyuta mpakato kwa kushirikiana na maofisa wa Vodacom Tanzania, Jumla ya kompyuta(25) pamoja na  vifaa vingine vimetole msaada na Vodacom Foundation kwa kushirikiana na Samsung na vitafungwa hivi karibuni kwa ajili ya kufundishia somo la kompyuta shuleni hapo. Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Renatus...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani