Benki ya Barclays Tanzania yasaidia kambi ya upasuaji watoto wenye tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi,yakabidhi kadi za bima ya afya (NHIF) 200 kwa watoto hao.Mkuu wa Kitengo cha Ukusanyaji Mikopo Isiyolipwa wa Benki ya Barclays Tanzania, Khatibu Mohammedy (wa tatu kushoto,) akikabidhi vifaa vya kusaidia upasuaji wa watoto wenye tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi kwa Kaimu Mkurugenzi wa Tiba wa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dk.Nicephorus Rutabansibwa (wa pili kushoto), katika hafla ambayo Barclays pia ilitoa msaada wa kadi za Bima ya Afya (NHIF), kwa watoto 200 pamoja na kuwezesha kambi ya siku moja ya upasuaji wa watoto 30 wenye...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Kambi ya upasuaji wa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi yafungwa, watoto 37 wafanyiwa upasuaji

Kambi tiba ya upasuaji wa watoto mwenye vichwa vikubwa na mgongo wazi iliyokuwa imeingia katika msimu wake wa pili tangu Agosti mosi mwaka huu, imefungwa rasmi mkoani Iringa, huku watoto 37 wakiwa wamefanyiwa upasuaji.
IMG_9801
Dk Mwanaabas Sued kutoka Taasisi ya MOI, akiongea na wanahabari(Hawapo pichani), huku akishuhudiwa na Afisa Miradi kutoka GSM Foundation Kibwana Matukio(wa Kwanza kushoto) Dk John Mtei kutoka MOI,(wa Pili kutoka kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela...

 

2 years ago

Bongo5

Kambi ya upasuaji wa vichwa vikubwa na mgongo wazi yafungwa, watoto 250 wafanyiwa upasuaji

Kambi tiba ya upasuaji wa vichwa vikubwa na mgongo wazi, mpaka jana jioni ilikuwa imefikia mikoa 18 ya Tanzania Bara na mmoja wa Tanzania Visiwani ambapo kwa ujumla wake, imefanikiwa kuwaona watoto zaidi ya 3000 na kuwafanyia oparesheni zaidi ya watoto 250.
4
Dkt. Yassin Juma kutoka Kitengo cha MOI akiwa katika maandalizi ya kumfanyia upasuaji wa kichwa mmoja ya watoto waliofika Hospitali ya Mnazi mmoja kufanyiwa tiba hiyo.

Kaimu Mkurugenzi wa taasisi ya Mifupa, Upasuaji na Mishipa ya Fahamu ya...

 

3 years ago

Bongo5

Diamond atoa Tsh 20M kwa ‘GSM’ kusaidia jitihada za upasuaji wa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi

Msanii wa muziki Diamond Platnumz ametoa msaada wa tsh 20 Milioni kwa ‘GSM Foundation’ kwa ajili ya kusaidia jitihada za taasisi hiyo ya kutoa huduma ya upasuaji wa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi.

Diamond na Rais wa GSM
Diamond akikadhi hundi kwa uongozi wa GSM

Timu ya Madaktari Bingwa kutoka Taasisi ya Mifupa na Upasuaji (MOI) kutoka hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikishirikiana na GSM Foundation imekuwa ikizunguka katika mikoa mbalimbali ya Tanzania kwa ajili ya kutoa huduma hiyo bila gharama...

 

3 years ago

Bongo5

Ridhwani Kikwete awataka wananchi kuwapeleka watoto katika kambi ya upasuaji wa vichwa vikubwa na mgongo wazi

Wazazi nchini wametakiwa kuwa na moyo wa kujali afya za watoto wao hasa zinapotokea fursa za tiba za bure kwenye jamii zao kwani ni nadra sana kwa fursa hizi kujitokeza katika jamii za kitanzania.
img_0991
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akiongea na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Halmashauri ya Kibaha Pwani Bi. Chiku mara baada ya kutembelea kambi ya madaktari Bingwa wa Mifupa na mishipa ya fahamu kutoka taasisi ya MOI ambao wako katika kambi tiba ya GSM Foundation, inayozunguka nchi...

 

3 years ago

Bongo5

Watoto 30 wajitokeza upasuaji wa vichwa vikubwa na mgongo wazi Mbeya

Jumla ya watoto 30 wamehudhuria Kambi upasuaji na vichwa vikubwa mgongo wazi jijini Mbeya ambayo inaelekea katika kumaliza msimu wake wa pili, huku lengo kuu likiwa ni kuhakikisha kupunguza vifo vya watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi nchini.
WhatsApp Image 2016-08-11 at 14.07.35 (1)
Madaktari walioendesha zoezi la kuona watoto waliozaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi jijini Mbeya wakifurahia jambo wakati zoezi likiendelea, kutoka Kushoto ni Daktari Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya Dk Lazaro Mboma, Daktari...

 

3 years ago

Channelten

2 years ago

Michuzi

Mila potofu – Kikwazo Matibabu kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi

Makamu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu ya Halotel Pham Dinh Quan (kulia) akiwaongoza wafanyakazi wenzake kutoa zawadi kwa mmoja wa mama wa watoto wenye vichwa vichwa vikubwa na mgongo wazi waliolazwa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI).Meneja Mawasiliano wa kampuni ya simu ya Halotel, Stella Pius (kulia) na wafanyakazi wenzake wakitoa zawadi kwa mmoja wa mama wa watoto wenye matatizo ya vichwa vichwa vikubwa na mgongo wazi waliolazwa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)Wafanyakazi wa...

 

3 years ago

Bongo5

Watoto wamiminika katika kambi ya tiba ya vichwa vikubwa na mgongo wazi Songea

Zaidi ya watoto 50 Jumapili hii wamehudhuria kambi tiba ya GSM Foundation inayoendeshwa kwa ushirikiano na Taasisi ya Mifupa na upasuaji ya MOI, yenye lengo la kupunguza vifo na mtindio wa ubongo kwa watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi, ambayo leo imeingia katika mkoa wa pili katika msimu wake wa pili pia, wenye lengo la kuwafanyia upasuaji watoto 100.
2
Wagonjwa wakisajiliwa katika chumba maalum cha kuwapokea katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma

Kaimu Mkuu wa kambi hiyo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani