BENKI YA CBA TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE DAR ES SALAAM

 Baadhi ya wateja wa Benki ya CBA Tanzania wakipakua chakula cha futari iliyoandaliwa kwa ajili yao kwenye hoteli ya serena mwishoni mwa wiki Wateja wa Benki ya CBA Tanzania wakipata futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili yao kwenye Hoteli ya Serena Mwishoni mwa wiki. Mkurugenzi wa Benki ya CBA Tanzania Julius Mcharo akiongea na wateja na wafanyakazi wa benki hiyo waliohudhuria futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwenye hoteli ya Serena mwisoni mwa wiki.

.MkurugenzI na Maofisa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

BENKI YA CBA TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE DAR

 Baadhi ya wateja wa Benki ya CBA Tanzania wakipakua chakula cha futari iliyoandaliwa kwa ajili yao kwenye hoteli ya serena mwishoni mwa wiki
 Wateja wa Benki ya CBA Tanzania wakipata futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili yao kwenye Hoteli ya Serena Mwishoni mwa wiki .

 Mkurugenzi wa Benki ya CBA Tanzania Julius Mcharo akiongea na wateja na wafanyakazi wa benki hiyo waliohudhuria futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwenye hoteli ya Serena mwisoni mwa wiki


.MkurugenzI na Maofisa...

 

10 months ago

Michuzi

BENKI I&M YAFUTURISHA WATEJA WAKE MKOA WA DAR ES SALAAM,YAWAPA UJUMBE MZITO

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
Benki ya I&M imeandaa futari Maalum kwa ajili ya wateja wake wa Dar es Salaam katika kuadhimisha mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Akizungumza wakati wa futari hiyo Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki I&M Baseer Mohamed amesema kuwa anawashukuru wateja wa benki hiyo kwa kuendelea kuwapa ushirikiano wa kibiashara ambao umeifanya benki hiyo kuendelea kusimama vyema.
“Mwezi wa Ramadhani unajulikana kama moja ya nguzo za Dini ya Kislamu na Benki ya I&M kwa kutambua umuhimu wake...

 

10 months ago

Michuzi

BENKI YA EXIM TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE WAKUBWA JIJINI DAR


 Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Exim Tanzania, Selemani Ponda akito shukran wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wao wakubwa wa Dar e Salaam jana iliyofanyika katika hoteli ya New Africa.

Mteja wa benki ya Exim Tanzania, Mr Murtaza, akitoa shukrani kwa menejimenti ya benki katika half ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo mwisho wa wiki iliyopita katika hoteli ya New Africa Dar es Salaam. Wateja na wafanyakazi 100 wa benki ya Exim Dar es Salaam...

 

5 years ago

Michuzi

benki ya NBC yafuturisha wateja wake jijini Dar

Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal (kushoto) akipokewa na Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC Tanzania, William Kallaghe na Mwenyekiti wa Bodi ya NBC, Dk. Mussa Assad (kulia) alipoalikwa kama mgeni rasmi katika hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wake jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal (wa pili kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NBC Tanzania, Dk. Mussa Assad (wa pili kushoto) wakichukua mlo wa futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja...

 

1 year ago

Michuzi

BENKI YA CBA TANZANIA YAZINDUA VISA CARD MPYA MAHUSUSI KWA WATEJA WAKE MSIMU WA SIKUKUU

Mkurugenzi wa Mkuu Mtendaji wa Benki ya CBA Tanzania,Gifty Shoka (kushoto)akimkabidhi VISA Card mpya ya benki hiyo Mkurugenzi wa mauzo na masoko wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,Seraphin Lusala wakati wa hafla ya uzinduzi wa kadi hiyo itakayowawezesha wateja wa benki hiyo kufanya manunuzi mbalimbali kwa kipindi hiki cha Sikukuu,Wanaoshuhudia ni baadhi ya wateja wa benki hiyo, Nursiye Marhoon na Majda Mohamed. Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya CBA Tanzania, Gifty Shoka...

 

9 months ago

Michuzi

VODACOM TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Wateja wa Mikataba (Business Enterprise Unit) Vodacom Tanzania, Arjun Dhillon akitoa neno la shukrani kwa baadhi ya wateja wa Vodacom Tanzania walioudhuria kwenye futari hiyo iliyoandaliwa na mtandao huo jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa wateja kutoka Vodacom Tanzania, Bakari Kamenge akizungumza na baadhi ya wateja wa Vodacom Tanzania jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, wakati mtandao huo ulipoandaa futari mahsusi kwa wateje hao ili kuongeza ukaribu na ...

 

5 years ago

Dewji Blog

Benki ya CBA yawaandalia Futari wateja wake

DSC_0519

Wa pili Kushoto ni Mweka Hazina Mkuu wa Benki ya CBA Bw. Julius Mcharo akifuatiwa na Mkurugenzi  Mtendaji wa Benki hiyo Bw. Yohane Kaduma na Sekh Salim Mohammed wakiwa kwenye IFTAR ilioandaliwa na benki ya CBA kwa ajili ya kujumuika na wateja wake na wadau mbalimbali wakati huu wa Ramadan, kwenye hotel ya Serana jana, akizungumza kwenye IFTAR hiyo Bw. Kaduma ametoa shukrani yingi kwa wateja wa CBA na kuiasa jamii kwa ujumla kuzingatia haki na amani sio kwenye kipindi hiki tu mwezi mtukufu...

 

11 months ago

Michuzi

BENKI YA CBA YAKUTANA NA WATEJA WAKE JIJINI ARUSHA

Na Pamela Mollel,Arusha

UKATA wa fedha katika uwekezaji na kukuza biashara ya utalii mkoani hapa umepata tiba baada ya Commerial Bank of Africa, kusema itashirikiana na wafanyabiashara kuwapa mikopo hadi kufikia dola za Marekani milioni 50 kwa atakayetaka.

Mkuu wa Idara ya Masoko wa benki hiyo, Julius Konyani, alisema wafanyabiashara 500 katika sekta ya utalii mkoani hapa kila mmoja anaweza kukopeshwa dola za Marekani milioni 50.Alisema hayo katika ya katika chakula cha jioni...

 

4 years ago

Vijimambo

BENKI YA NBC YAFUTURISHA WATEJA WAKE MJINI ZANZIBAR

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki zinazofuata misingi na kanuni za Kiislamu cha Benki ya NBC, Yassir Masoud (kushoto), Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi cha benki hiyo, Mussa Jallow na Ofisa Fedha Mkuu wa NBC, Jaffari Matundu (kushoto) wakishiriki kuchukua mlo wa futari pamoja na baadhi ya wateja wa benki hiyo mjini Zanzibar katika hafla ya futari iliyoandaliwa na NBC kwa wateja wake mjini humo juzi.Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Mussa Jallow (kushoto), akisalimiana...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani