Benki ya CRDB kufanya Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Ishirini na Nne - Mei 18, 2019, Jijini Arusha

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa hoteli ya Mount Meru wakati wa kuwakaribisha Wanahisa wa Benki ya CRDB katika Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa ishirini na nne utakaofanyika siku ya jumamosi tarehe 18 Mei, 2019, katika ukumbi wa AICC Jijini Arusha. Mkutano huo utatanguliwa na Semina ya Wanahisa itakayofanyika ijumaa tarehe 17 Mei 2019. Kulia ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Joseph Witts.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB KUFANYA MKUTANO WA ISHIRINI WA WANAHISA JIJINI ARUSHA

Na Pamela Mollel, Arusha
Kufuatia anguko la shilingi ya Tanzania dhidi ya dola wafanyabiashara nchini wametakiwa kuona kuwa ni fursa ya wao kijiinua kiuchumi katika biashara zao ndani na nje ya nchi na kuachana na propaganda za wanasiasa ambapo wanalalamikia anguko hilo.
Ambapo hali hiyo imesababisha kupanda kwa bidhaa mbalimbali nchini hali inayotajwa kuongeza ugumu wa maisha ya wananchi sambamba na wafanyabiashara nchini ambao wananunua na kuagiza bizaa kutika nje ya nchi. Hayo yameelezwa...

 

4 years ago

Dewji Blog

Benki ya CRDB kufanya mkutano wa ishirini wa wanahisa Jijini Arusha kesho

unnamed

Mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB Dr,Charles Kimei akiongea na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini Arusha akitoa taarifa ya mkutano mkuu wa ishirini  wa wanahisa wa Benki ya Crdb  unatarajia kufanyika kesho jijini Arusha. (Habari Picha na Pamela Mollel wa Jamiiblog).

unnamed (1)

Mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB, Dr. Charles Kimei, akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari jijini Arusha. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi mtendaji huduma mtambuka benki ya CRDB Bi.Esther...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB KUFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA MEI 10 JIJINI ARUSHA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk.Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha. Benki ya CRDB itafanyaka mkutano wake Mkuu wa Mwaka Mei 10 katika ukumbi wa AICC jijini Arusha. (Na Mpiga Picha Wetu)

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk.Charles Kimei akionyesha kitabu cha taarifa ya mwaka 2013 cha benki ya CRDB katika mkutano wa waandishi wa habari jijini Arusha. Katikati ni Katibu wa Benki hiyo, John Rugambo na Mkurugenzi wa Fedha, Fredrick Nshekanabo. Benki ya...

 

1 year ago

Malunde

BENKI YA CRDB KUFANYA MKUTANO WA WANAHISA JIJINI ARUSHA


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt.Charles Kimei akizungumza na vyombo vya habari jijini Arusha leo ,kuhusu mkutano mkuu wa ishirini na tatu wa Wanahisa unaotarajia kuanza rasmi Mei 18,2018 na kumalizika Mei 19,2018 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC uliopo jijini Arusha.Kudhoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt.Charles Kimei kulia ni Mkurugenzi wa mikopo James Mabula. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa masoko wa CRDB Jadi Ngwale,kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki...

 

3 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAFANYA MKUTANO MKUU WA WANAHISA JIJINI ARUSHA


 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Martin Mmari akihutubia mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB katika ukumbi wa AICC Arusha.  Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Wanahisa. Mwenyekiti Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akijibu maswali ya wanahisa.

Wanahisa wakiwa katika mkuano.

PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAFANYA MKUTANO MKUU WA 19 WA WANAHISA WAKE JIJINI ARUSHA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa mada wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari.  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa Mkutano huo.
 Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo  akizungumza wakati wa mkutano wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

 

2 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA 22 WA WANAHISA WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, wakifatilia Mkutano huo wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB PLC, Dk. Charles Kimei akitoa taarifa ya matokeo ya utendaji wa Benki hiyo pamoja na Kampuni zake Tanzu kwa mwaka uliopita. Mkutano huo unafanyika leo Mei 20, 2017 kwenye Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB PLC, Dk. Charles Kimei akiwasilisha taarifa ya matokeo ya...

 

3 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB KUFANYA MKUTANO WA WANAHISA MEI 21

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei leo tarehe 18/05/2016 amezungumza na waandishi wa habari jijini Arusha na kuzungumzia kuhusu mkutano mkuu wa wanahisa wa Benki ya CRDB unaotarajia kufanyika jijini Arusha tarehe 21/05/2016 katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa AICC. 
Mkutano huo wa wanahisa wa Benki ya CRDB utatanguliwa na semina maalum kwa wanahisa wa Benki hiyo itakayofanyika tarehe 20/05/2016 katika ukumbi huo huo ambapo pamoja na mambo mengine wanahisa wa Benki ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani