Benki ya CRDB na Jeshi la Polisi nchini kudumisha mahusiano ya kibiashara

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (wa pili kulia) akizungumza wakati uongozi wa Benki ya CRDB ulipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kudumisha mahusiano ya kibiashara kati ya CRDB na Jeshi hilo. Huku akisikilizwa kwa makini na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro pamoja na Kamishna wa Ushirikishwaji wa Jamii kwa Jeshi la Polisi, CP Mussa Ali Mussa. Kulia ni Naibu Mkurugenzi Benki ya CRDB Bi. Esther Kitoka. Mkuu wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

Michuzi

Benki ya CRDB na Jeshi la Magereza kuendelea kuboresha uhusiano wa kibiashara

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei (kushoto) akizungumza na baadhi ya maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza nchini, juu ya kuangalia njia bora za kudumisha uhusiano baina ya Benki ya CRDB na Jeshi la Magereza nchini, katika Makao Makuu wa Magereza, jijini Dar es salaam, Mei 23, 2018. Kulia ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Dkt. Juma Malewa. 

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dokta Charles Kimei leo amekutana na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini...

 

1 year ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KITENGO CHA POLISI JAMII KWA KUSHIRIKIANA NA BENKI YA CRDB WAFANYA ZIARA YA MIKOA YA LINDI NA MTWARA

 Naibu Kamishina wa Jeshi la Polisi ambaye ndiye Mkuu wa Kitengo cha Polisi Jamii, DCP Ahmada. A. Khamis (wanne kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja  Maafisa wa benki ya CRDB na viongozi wa serikali ya Kata ya Kitangari, Tarafa ya Kitangari wilaya ya Newala mkoani Mtwara  leo baada ya kufanya mkutano katika Kata hiyo kwa kushirikiana na Bank ya CRDB kutoka Makao Makuu ya Bank hiyo Dar es salaam, juu ya Mtumizi salama ya huduma za kibenki na namna ya kuepukana na wizi wa mtandao. Picha...

 

1 year ago

Michuzi

Jeshi la polisi na benki ya CRDB waendelea kutoa elimu kwa umma juu Matumizi salama ya huduma za kibenk mkoani lindi

 Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Rukia Muwango  akiwa katika Picha ya Pamoja  Ofisini kwake baada ya kutembelewa na Naibu Kamishina wa Polisi DCP Ahmada.A. Khamis Mkuu wa Kitengo  cha Polisi Jamii, Mkuu wa Kituo cha Polisi Nachingwea, SP Kasigwa, na Meneja Mwandamizi wa huduma za Uwakala Benki ya CRDB  Bwa.Donath Mushi, Wengine ni Abel Laswai  meneja mauzo wa wateja wadogo (wa kwanza kushoto) na Inspekta Issa Asali kutoka kitengo cha Polisi Jamii (wa mwisho kulia). Jeshi la Polisi pamoja na...

 

3 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAFADHILI UJENZI WA KITUO CHA MAWASILIANO CHA JESHI LA POLISI.

Jiwe la Msingi la Kituo cha Mawasiliano cha Jeshi la Polisi lililowekwa na Rais Dk. John Magufuli. Kituo hicho kimefadhiliwa na Benki ya CRDB kwa gharama ya zaidi ya shilingi milioni 300. (Picha na Francis Dande).Brass Band ya Polisi ikitumbuiza katika hafla ya uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliano cha Jeshi la Polisi. Rais John Magufulia (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Serikli. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk.Charles Kimei.KWA PICHA ZAIDI BOFYA...

 

3 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MILIONI 255 KWA AJILI YA KUSAIDIA UJENZI WA KITUO CHA KISASA CHA MAWASILIANO YA JESHI LA POLISI.

 Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP, Inspekta Jenerali, Ernest Mangu (katikati), akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shs. milioni 255 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto), kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa kituo cha mawasilianio ya Jeshi la Polisi. Kulia ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna, Simon Siro, Mtendaji Mkuu wa Kitengo cha Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi, Omary Issa (wa pili kulia) na kushoto ni Naibu...

 

2 days ago

Malunde

Waziri Mkuu Afungua Semina Ya Wanahisa Wa Benki Ya CRDB .....Autaka Uongozi Wa Benki Ya CRDB Uzidi Kuzingatia Misingi Ya Utawala Bora

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa Benki ya CRDB uzidikuzingatia misingi ya utawala borana kuongeza juhudi katika utoaji wa huduma ili benki hiyo iendeleekuwa mfano wa mafanikio kwa taasisi zinazomilikiwa nakuendeshwa na wazalendo.

Ameyasema hayo leo (Ijumaa, Mei 17, 2019) wakati akifungua semina ya wanahisa wa benki ya CRDB katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) jijini Arusha. Semina hiyo inahudhuriwa na wanahisa 1,500.

Amesema Serikali ya Awamu ya Tano...

 

3 years ago

Michuzi

POLISI WAFYATUA MABOMU YA MACHOZI MBELE YA BENKI YA CRDB, TAWI LA MBAGALA-RANGI TATU KUFUATIA UBISHI WA WATEJA KUTUMIA SIMU NDANI YA BENKINA K-VIS MEDIA/Khalfan SaidPOLISI wamelazimika kufyatua mabomu ya machozi kuwatawanya watu waliojikusanya mbele ya Benki ya CRDB tawi la Mbagala-Rangi Tatu, baada ya mtu mmoja aliyekuwa akiongea na simu ndani ya benki hiyo kukaidi maagizo ya polisi ya kuacha kufanya hivyo mapema leo mchana Machi 11, 2016.Kwa mujibu wa watu walioshuhudia tukio hilo, watu watatu mmoja akiongea na simu na wengine wawili waki-chat, ndani ya benki hiyo, waliagizwa na mlizni wa benki kuacha kufanya hivyo lakini...

 

2 years ago

Michuzi

IGP SIRRO ATAKA JESHI LA POLISI KUDUMISHA MICHEZO

Na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewataka Maofisa na Askari Polisi kote nchini kushiriki michezo ili kujenga Afya,ukakamavu na urafiki baina ya wenyewe kwa wenyewe na raia.

IGP Sirro ameyasema hayo jijini Dar Es Salaam wakati hafla fupi ya kuwapongeza wachezaji wa TAEKWONDO waliofanya vizuri katika michezo ya Taekwondo Pumsae (kucheza Kata), Taekwondo Gyeokpa ( kuvunja kibao kwa kuruka Juu) na Taekwondo Gyeorugi (Mapigano) iliyomalizika hivi karibuni ambapo...

 

2 years ago

Michuzi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP Ernest Mangu aongoza mazoezi ya askari na Maofisa wa Jeshi la Polisi

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP Ernest Mangu (wapili kulia) akiwaongoza askari na Maofisa wa Jeshi la Polisi katika matembezi ya pamoja ya kuimarisha afya ya mwili katika mkoa wa kipolisi wa Kinondoni Jijiji Dar es salaam leo, kulia ni Kamanda wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia nchini (DCP) Frasser Kashai, anayefuata ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni (SACP) Susan Kaganda. Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wakiwa katika matembezi ya pamoja ya kuimarisha afya ya mwili...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani