BENKI YA DUNIA NA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA MADINI WAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh,Stephen Masele akizungumza kwenye uzinduzi huo uliovuta hisia za wanakijiji wengi.Naibu Waziri wa Nishati na Madini akizungumza na Wananchi Mkurugenzi Mtendaji wa Geita Gold Mine,Michael Van Anen Mwakilishi Mwandamizi kutoka Benki ya Dunia ambaye pia ni mtaalamu wa madini kutoka idara ya nishati endelevu nchini Marekani,Bwa.Mamadou Barry akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi mkubwa wa uchimbaji madini kwa wachimbaji wadogo wadogo katika kijiji cha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

BENKI YA DUNIA YAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh,Stephen Masele akizungumza kwenye uzinduzi huo uliovuta hisia za wanakijiji wengi. Naibu Waziri wa Nishati na Madini akizungumza na Wananchi Mkurugenzi…

 

3 years ago

Michuzi

WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI PAMOJA NA WAFANYABISHARA WADOGO WATAKIWA KUSHIRIKI KATIKA MAONYESHO YA MADINI MERERANI

kamishina wa madini kanda ya kaskazini Elius Kayandabila akiwa anaongea na waandishi wa habari ofisini kwake juu ya maandalizi ya maonyesho ya madini na vito yanayotarajiwa kuanza hapo kesho ndani ya mji mdogo wa mererani
Na Woinde Shizza,ArushaWACHIMBAJI wa madini ya vito nchini wametakiwa kushiriki katika maonyesho ya wachimbaji wadogo wa madini ili kuweza kutumia fursa hiyo ya kuuza na kupanua wigo wa kupata masoko ya ndani na nje ili kuweza kukuza uchumi wao na pato la taaifa.
Hayo...

 

4 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA ATEMBELEA MGODI WA MGUSU ULIOKABIDHIWA KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Peter Malebo Mjumbe wa Kamati ya Mgusu Miners Co. Oparative Society Limited jinsi mchanga unavyosafishwa.
Katibu Mkuu wa CCM Ndug Kinana leo amehitimisha ziara yake ndani ya mkoa wa Geita kwa kutembea kilometa 1680 kwa Gari,ametembelea Majimbo sita na Wilaya zake sita,huku akiwa amehutubia mikutano 78,mikutano 72 ya hadhara na mikutano 6 ya ndania.Ndugu Kinana ametembelea miradi 53 ya Maendeleo,miradi mitano ya CCM.Kama...

 

3 years ago

Michuzi

SERIKALI KUTOA RUZUKU KWA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI.

Wachimbaji Wadogo Wadogo

Na Daudi Manongi-MAELEZO-Dar es Salaam
Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imepanga kuwapatia ruzuku wachimbaji wadogo wa madini ili kuongeza mchango wa madini katika pato la taifa kutoka asilimia 3.5 ya sasa hadi 10.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo wakati wa mahojiano ya kipindi maalum cha Tunatekeleza kinachorushwa na kituo cha Televisheni ya Taifa(TBC).
“Sekta ya Madini inachangia asilimia 3.5 ya pato la Taifa,lakini...

 

5 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,KINANA NDANI YA MERERANI,AKUTANA NA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WA MADINI NA KUSIKILZA CHANGAMOTO ZAO

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akioneshwa vipande vya madini aina ya Tanzanite ,katika mgodi wa mchimbaji mzawa wa madini ya Tanzanite Bi.Suzie Didas Kennedy.Katibu Mkuu wa CCM alitembelea migodi ya wachimbaji wadogo wa Mererani na kuzungumza nao juu ya changamoto zinazowakabili na namna ya kuzitatua. Pichani kati aneshuhudia ni Mbunge wa Jimbo la Simanjiro,Mh.Christopher Ole Sendeka.  Moja ya jiwe lenye madini kabla ya kufanyiwa mchakato.     Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

(Yesterday)

Malunde

Serikali Yaendelea Kuwa Na Dhamira Ya Kuondoa Kero Kwa Wachimbaji Wadogo Wa Madini.

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.
Serikali imedhamiria kuondoa kero  kwa wachimbaji wadogo  wa Madini hapa nchini  ikiwa ni pamoja na kero za kuondolewa na wachimbaji wakubwa   kwani  asilimia kubwa wachimbaji wadogo  ndio wagunduzi wa kwanza kwenye maeneo ya  Madini   . 
Hayo yamesemwa leo Mei 21,2019 bungeni jijini  Dodoma na Naibu waziri wa Madini Stanslaus Nyongo wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum  Rhoda Kunchela aliyehoji serikali iko tayari kutatua kero za wachimbaji wadogo ...

 

4 years ago

Michuzi

MAGUFULI APIGWA NA BUTWAA NYOMI LA GEITA, AAHIDI KUSHUGHULIKIA MATATIZO YA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania   kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi katika mkutano wake wa kampeni  uliofanyika katika uwanja wa shule ya Msingi Kalangalala mjini Geita leo na kuhudhuriwa na maelfu ya wananchi.
Mgombea Urais Huyo amewaambia wananchi wa Geita kuwa mara atakapoingia Ikulu, moja ya changamoto anazotarajiwa kuzipa kipaumbele ni pamoja na suala la kutatua mgogoro wa wachimbaji madini wadogo wadogo.


Magufuli ameasema...

 

4 years ago

Michuzi

Wachimbaji madini wadogo waipongeza Serikali

 Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), Gregory Kibusi akiwasilisha mada kuhusu wachimbaji wadogo wa madini katika Semina ya Wathamini Madini ya Vito na Almasi nchini, iliyofanyika hivi karibuni (Agosti 12 na 13, 2015) katika Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.  Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu, Mrimia Mchomvu, akitoa hotuba ya kufunga Semina ya Wathamini Madini ya Vito na Almasi nchini iliyofanyika hivi karibuni (Agosti 12 na 13, 2015) katika...

 

3 years ago

Channelten

Wachimbaji wadogo wameiomba serikali kuwapatia ruzuku inayotolewa na benki ya wawekezaji Tanzania T.I.B

Screen Shot 2016-02-26 at 4.00.30 PM

Wachimbaji wadogo wa madini aina ya dhahabu wanaofanya shughuli zao katika mgodi wa Tumaini uliopo wilayani Nzega mkoani Tabora wameiomba serikali kuwapatia ruzuku inayotolewa na benki ya wawekezaji Tanzania T.I.B  ili kuondokana na uchimbaji usiokuwa na tija

Wakizungumza na chanel ten wachimbaji hao ambao ni kundi kubwa la vijana wanaoina fursa ya uchimbaji  kma njia pekee ya kujipatia kipato wamesema wamekuwa wakifanya shughuli hizi za uchimbaji madini kwa kutumia dhana duni hali ambayo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani