BERNARD MEMBE APATA WADHAMINI WILAYANI CHAMWINO -DODOMA, ATEMBELEA MNARA WA KUMBUKUMBU YA MW. NYERERE KATIKA KIJIJI CHA CHAMWINO IKULU

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akilakiwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliofika kwenye viwanja vya Ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Chamwino Ikulu, wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma Juni 22.2015, kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho. Picha zote na John Badi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli atembelea eneo la ujenzi wa Ikulu Chamwino Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 16 Machi, 2017 ametembelea eneo la ujenzi wa Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma na kuwahakikishia wananchi kuwa atahamia Dodoma hivi karibuni kama alivyoahidi.

Mhe. Rais Magufuli ambaye ameongozana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenister Joakim Mhagama na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amesema pamoja na...

 

3 years ago

CCM Blog

MZEE JOHN MALECELA ATEMBELEA WAKULIMA WA ZABIBU CHILANGALI WILAYANI CHAMWINO, DODOMA

Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais mstaafu Mzee John Samwel Malecela akiwa ameongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana wakisalimiana na Viongozi wa skimu ya Umwagiliaji ya zabibu iliyopo Chinangali II Chamwino wakati walipotembelea skimu hiyo mwishoni mwa wiki.Afisa Kilimo Wilaya ya Chamwino Ndg. Godfrey Mnyamale akiwasilisha taarifa ya mradi wa skimu ya Umwagiliaji wa zabibu ya Chinangali II kwa mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana na Mzee Malecela (hawapo pichani) wakati...

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA MARCH 16,2017Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo nchini (TBA) Elius Mwakalinga kuhusu kazi za ufyatuaji wa Matofali yatakayotumika katika ujenzi wa Ikulu Chamwino mkoani Dodoma


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakikagua matofali yaliyokatika hatua...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Shein, Magufuli wateta katika Ikulu ya Chamwino iliyoko mjini Dodoma

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amefanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli  katika Ikulu ya Chamwino iliyoko mjini Dodoma.

Viongozi hao wawili wamezungumzia mambo mbali mbali kuhusiana na masuala ya kimaendeleo pamoja na kazi kubwa iliyoko mbele yao katika kuleta maendeleo na ustawi wa wananchi wa pande zote mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Aidha, Dk. Magufuli ameitumia fursa hiyo...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATEMBELEA WILAYA YA CHAMWINO KATIKA ZIARA YAKE YA MKOA WA DODOMA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Fatma S. Ally alipowasili wilayani humo kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi. Rais Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wilayani humo.  Rais Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wilayani humo Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Mtera Mhe Livingstone Lusinde "Kibajaji".

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

4 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE APATA WADHAMINI GEITA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliofurika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya CCM Wilaya ya Geita Juni 21.2015, kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho. Picha zote na John BadWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (katikati mwenye miwani) akishangiliwa na...

 

3 years ago

Dewji Blog

Picha za kuapishwa kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Ikulu ya Chamwino Dodoma leo!

IMGS1255 Rais John Magufuli akimwapisha  Mheshimiwa Majaliwa kassim Majaliwa  kuwa Waziri Mkuu kwenye Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma Novemba 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMGS1311

IMGS1327

Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majaliwa akiopongezwa na Mkewe  Mary baada ya kuapishwa kwenye ikululu ya Chamwino mjini Dodoma Novemba 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMGS1347

IMGS1373

Rais John Magufuli  akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe  Mary Majaliwa baada ya kumwapisha Waziri...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU YA CHAMWINO, DODOMA, LEO

UPARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa mikutano katika Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo Machi 15, 2017PICHA NA IKULU

 

4 years ago

Michuzi

WAZIRI BERNARD MEMBE APATA WADHAMINI MKOA WA MBEYA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wananchi waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Mbeya jana, baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 877. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani