Bibi wa miaka 73 aomba talaka mahakamani

Mwanamke wa miaka 73 ambaye yupo kwenye ndoa kwa miaka 55, amefungua kesi mahakamani kuomba mumewe ampe talaka kwa madai kuwa hamjali, na anamthamini zaidi mke mdogo. Mwalimu huyo mstaafu, Marcella Mukami Kinyugo miaka 73, anaiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kangema nchini Kenya, isitishe ndoa yake na mumewe Peter Kinyugo miaka 76, iliyofungwa Septemba 16, 1962 katika Kanisa Katoliki Kiriaini. Bibi huyo mkazi wa mjini Kiria-ini, Mathioya, kwenye kaunti ya Murang’a, pia aliomba apewe nusu ya...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

BIBI WA MIAKA 73 AOMBA TALAKAMwanamke ambaye yupo kwenye ndoa kwa miaka 55, nchini Kenya amefungua kesi mahakamani kuomba mumewe ampe talaka kwa madai kuwa hamjali, na anamthamini zaidi mke mdogo.
Mwalimu huyo mstaafu, Marcella Mukami Kinyugo (73), anaiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kangema, isitishe ndoa yake na Peter Kinyugo (76) iliyofungwa Septemba 16, 1962 katika Kanisa Katoliki Kiriaini.
Bibi huyo mkazi wa mjini Kiria-ini, Mathioya, kwenye kaunti ya Murang’a, pia aliomba apewe nusu ya mali za familia yao na pia...

 

5 years ago

GPL

JIDE AOMBA TALAKA

Stori:  Shani Ramadhan
UNAWEZA ukakataa lakini ndivyo ilivyotokea, ndoa ya mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteini’ na Mbongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ iliyofungwa miaka 9 iliyopita inadaiwa kuingia kidudu kufuatia mke huyo kuomba aandikiwe talaka, ni Ijumaa Wikienda pekee lenye uthubutu wa kuripoti mkasa wote. Jide akiwa na jumewe Gardner. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika,...

 

2 years ago

Bongo5

Mzee wa miaka 98 aoa bibi wa miaka 88 baada ya kuishi wote miaka 60

Kweli nimeamini mapenzi hayana mwenyewe na huku waswahili husema ukistaajabu ya Mussa…… hapo waweza malizia mwenyewe. Hii tunaiona kwa Mzee Willy Kinyua (98) baada kufunga ndoa na Joyce Nyambura (88) baada ya wenza hao kuishi pamoja kwa zaidi ya miaka 60.

Hehehe, Wengine wetu wasipoona ndoa mapema hulalamika na kukata tamaa, Je ungekuwa Joyce ingekuwaje baada ya kuishi na bwana huyo miaka hiyo 60, hatuwezi kusema sana ila lahasha! yawezekana mzee Willy aliupanga huo muda ndio wakati sahihi...

 

2 years ago

Bongo5

Tiny aomba talaka kwa mumewe rapper T.I.

Mwaka 2016 unaondoka na ndoa nyingine iliyoonekana imara kwa macho ya wengi. Ndoa ya T.I. na mkewe Tiny imefikia ukingoni.

Baada ya kudumu kwenye ndoa kwa miaka sita, Tiny, muimbaji wa zamani wa kundi la Xscape, ameomba talaka kutoka kwa mume wake mwezi huu. Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, uhusiano wao uliingia dosari zaidi baada ya kusambaa mtandaoni picha ya Tiny akicheza muziki na Floyd Mayweather, adui mkubwa wa T.I, kwenye party ya Halloween ya Mariah Carey.

Wawili hao walifunga ndoa...

 

2 years ago

MwanaHALISI

Prof. Lipumba aomba ‘talaka rejea’ CUF

CHAMA cha Wananchi (CUF) kinaelekea kugota. Hofu na mashaka vimeanza kummeza Prof. Ibrahim Lipumba ambapo sasa anahitaji suluhu na Maalim Seif Shariff Hamad, anaandika Faki Sosi. Prof. Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, ameonesha hofu ya chama hicho kufutiwa usajili endapo mgogoro wa kiuongozi ndani ya chama ...

 

11 months ago

BBCSwahili

Mke wa mwana wa Trump aomba talaka Marekani

Taarifa zinasema Vanessa Trump anataka talaka isiyo na mvutano kwa mujibu wa ombi alilowasilisha katika mahakama moja New York.

 

2 years ago

Bongo5

Ripoti: Angelina Jolie aomba talaka kwa Brad Pitt

Na hawa pia? Ni swali ambalo unaweza kujiuliza uliposoma tu kichwa cha habari. Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ, Angelina Jolie ameomba talaka kwa mume wake, Brad Pitt.

angelina-jolie-brad-pitt_0

Wawili hao walifunga ndoa miaka miwili iliyopita, lakini wamekuwa pamoja kwa zaidi ya muongo sasa. Wamekuwa pamoja tangu mwaka 2004 na wana watoto sita, Maddox, Pax, Zahara, Shiloh, Vivienne, na Knox.

rs_1024x696-151016085525-1024-2-angelina-jolie-family-vogue-jl-101515

Nyaraka za kuomba talaka hiyo zimewasilishwa September 15. Jolie anataka aishi na watoto wote huku akiomba Pitt apewe ruhusa ya...

 

2 years ago

Bongo Movies

Mke wa Chameleon Adai Talaka Mahakamani

MKALI wa muziki nchini Uganda, Jose Chameleon na mke wake, Daniella Atim, wanaweza kuachana hivi karibuni baada ya mwanamke huyo kwenda mahakamani kwa lengo la kudai talaka.

Jose Chameleon na mke wake, Daniella Atim

Wawili hao walifunga ndoa Aprili 18, 2017 na wana watoto wanne ila kwa sasa wanaweza kuachana, huku mrembo huyo akidai kuwa ananyanyaswa mno na Chameleon.

Kwa mujibu wa Daniella, miezi ya hivi karibuni amekuwa akitishiwa maisha na amekuwa akikosa uhuru ndani ya ndoa...

 

3 years ago

Bongo5

Mke aliyetelekezwa na Rais tajiri wa Gabon Ali Bongo aomba talaka, ni mmarekani anayeishi LA!

Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Rais wa Gabon anayetambulika kwa wengi kuwa ana mke mmoja anayeishi naye kwenye ikulu ya nchini mwake, ana mke wa pili anayeishi maisha ya tabu nchini Marekani. Rais Ali Bongo Ondimba aliwahi kuishi jijini L.A. kipindi ambacho baba yake alikuwa rais wa nchini hiyo. Alikutana na mwanamke aitwaye Inge mwaka […]

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani