Bill Gates Ajiunga Instagram Akiwa Tanzania, Arusha Picha za Muheza Tanga

Dar es Salaam. Tajiri namba moja duniani Bill Gates amejiunga Instagram akiwa nchini Tanzania na kurusha picha tatu ikiwemo aliyopiga na watoto akiwa Muheza mkoani Tanga.

Gates ameijunga na mtandao huo wa kijamiii kwa jina la thisisbillgates na kurusha picha zake za kwanza tatu zote akiwa Tanzania.

Gates katika mtandao huo aliandika hiki, “Hello kutoka Tanzania, Instagram! Nimepata chakula cha mchana kizuri nikiwa na watoto wanaovutia katika Shule ya Msingi Kicheba Muheza na nikakutana...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

BILL GATES ATUA TANZANIA, ATEMBELEA KIJIJI CHA KICHEBA WILAYANI MUHEZA, TANGA

William Henry Gates III maarufu kama Bill Gates na Mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft iliyomfanya kuwa mtu tajiri namba moja  duniani na mwanzilishi wa mashirika lukuki yasiyo ya kiserikali yenye kusaidia jamii yupo nchini. Leo ametembelea kijiji cha Kicheba wilayani Muheza katika mkoa wa Tanga kwa lengo la kuangalia maswala mbalimbali ya afya ikiwemo utumiaji wa dawa za mabusha, matende ili kuangalia ni namna gani anaweza kusaidia kwenye sekta hiyo ya Afya. Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani...

 

2 years ago

Channelten

Tajiri wa Dunia Bill Gate afungulia account yake mpya ya Instagram akiwa Tanzania

e18b4e8ba4e9487e

Tajiri wa Dunia Bill Gate kwa mara ya kwanza ameipa heshima na historia Tanzania kwa kufungua ukurasa mpya wa Instagram na kutumbukiza Picha yenye kuwaonyesha wanafunzi wa Wa Kicheba Primary School Muheza wakila chakula cha Mchana.

Ikumbukwe hii imekuwa heshima ya Tanzania kwa Dunia nzima kufahamu Tajiri huyu kajiunga kwenye mtandao mkubwa wa Instagram ni akiweka picha moja tu yenye watoto wa Kitanzania wakiwa wanakula chakula cha Mchana.

Mtandao huu unaofatiliwa na watumiaji zaidi ya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Bill Gates atembelea miradi ya Afya Tanga

Mfanyabiashara maarufu na tajiri namba moja Duniani, Bill Gates yupo nchini Tanzania kutembelea miradi mbalimbali ya afya ikiwemo mradi wa matumizi ya dawa za matende na mabusha.

Mapema leo Gates alikuwa mkoani Tanga na kutembelea baadhi ya vituo vya afya mkoani humo na kuonana na baadhi ya viongozi wanaosimamia miradi hiyo.

The post Bill Gates atembelea miradi ya Afya Tanga appeared first on Zanzibar24.

 

2 years ago

Malunde

BILIONEA BILL GATES AIBUKIA KIJIJINI TANGA

William Henry Gates III maarufu kama Bill Gates na Mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft iliyomfanya kuwa mtu tajiri namba moja duniani na mwanzilishi wa mashirika lukuki yasiyo ya kiserikali yenye kusaidia jamii yupo nchini.
Jana ametembelea kijiji cha Kicheba wilayani Muheza katika mkoa wa Tanga kwa lengo la kuangalia maswala mbalimbali ya afya ikiwemo utumiaji wa dawa za mabusha, matende ili kuangalia ni namna gani anaweza kusaidia kwenye sekta hiyo ya Afya.Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani...

 

2 years ago

Michuzi

CHADEMA YAPATA PIGO MUHEZA,MWENYEKITI WA WILAYA YA MUHEZA AJIUNGA NA CCM


Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoani Tanga kimepata pigo baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Muheza, Rwebangira Mathias Karuwasha kuamua kutangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) leo kutokana na chama hicho kupoteza dira na mwelekeo.

Lakini kubwa zaidi inatokana na mambo yanayofanywa na chama hicho kwa kuiondoa uhalisi wa chama hicho ambayo wananchi walikuwa wanaitegemea kuwa chama cha kuwa mshindani na CCM ili kuleta ...

 

2 years ago

Malunde

Picha: RAIS MAGUFULI AKUTANA NA BILL GATES IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. Bill Gates aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akizungumza na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. ill Gates aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

2 years ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Bill Gates Donates Sh777 Billion to Tanzania


Tanzania: Bill Gates Donates Sh777 Billion to Tanzania
AllAfrica.com
Dar es Salaam — Bill and Melinda Gates Foundation has set aside Sh777 billion to finance development projects in Agriculture, Health and Information Communication Technology (ICT) sectors in the country. This was said on Thursday by the co-chair of ...

 

2 years ago

BBCSwahili

Wakfu wa Bill Gates watenga dola za milioni 350 kwa miradi Tanzania

Bill Gates katika ziara yake ya siku tatu nchini Tanzania amekutana na Rais Magufuli na kumweleza taaasisi hiyo imetenga dola Kimarekani milioni 350 za kutumiwa katika miradi Tanzania.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Neymar atupia picha Instagram akiwa na mtoto wa Jackie Chan

Nyota wa Manchester United, Phil Jones amefungiwa kucheza mechi mbili Ulaya, huku klabu yake ikitakiwa kulipa faini ya Pauni 8,900 baada ya mchezaji huyo kuwatolea lugha ya matusi maofisa wa Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA)

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani