Bill Gates anywa maji ya kinyesi

Bill Gates amekunywa maji yaliyotengezwa kutokana na kinyesi cha binaadamu kama maonyesho ya teknolojia mpya ya maji safi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

StarTV

Bill Gates anywa maji ya kinyesi cha binadamu.

Mmiliki wa kampuni ya Microsoft Bill Gates amekunywa maji yaliotengenezwa kutokana na kinyesi cha binaadamu kama maonyesho ya teknolojia mpya itakayoweza kutoa maji safi katika mataifa yanayoendelea.

Mwanzilishi huyo wa Microsoft amesema kuwa ataisambaza mitambo ya teknolojia hiyo mpya kote duniani baada ya kuifanyia majaribio mwishoni mwa mwaka huu.

Teknolojia hiyo imeungwa mkono na shirika la WaterAid ambalo limesema kuwa itasaidia sana katika maeneo ya miji.

Kulingana na shirika hilo la...

 

4 years ago

Dewji Blog

2 years ago

Zanzibar 24

Bill Gates ainadiTanzania

Siku chache baada ya taasisi ya Bill na Bellinda Gates kuitengea Tanzania Dola za Marekani milioni 350 (takribani Sh bilioni 777), Mwenyekiti mwenza wa taasisi hiyo ambaye ni tajiri namba moja duniani, Bill Gates amezidi kuipaisha Tanzania kwa kuinadi kimataifa.

Fedha zilizotengwa na taasisi hiyo ni kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ikiwamo ya kilimo, afya na mifumo ya elektroniki ya upatikanaji wa taarifa, Safari hii, Gates ambaye jina lake halisi ni William Henry Gates III, kupitia...

 

3 years ago

Ippmedia

Bill and Melinda Gates Faoundation

Day n Time: Jumanne Saa 12:55 JioniStation: ITV

 

3 years ago

TheCitizen

Bill Gates: The future of Africa

Africa’s future rests in the hands of its youth – and every effort must be made to ensure they thrive, philanthropist and entrepreneur Bill Gates said in South Africa .

 

4 years ago

Bongo5

Video: Rick Ross Bill Gates

While he readies his new album Black Market, Rick Ross continues to roll out new music and videos. Fresh off his remixes to “White Iverson” and “Stick Talk,” Rozay debuts a video for “Bill Gates” off September’s Black Dollar mixtape. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari […]

 

4 years ago

Mwananchi

Msaada wa Bill Gates kunufaisha wakulima

Taasisi ya kimataifa ya bilionea Bill Gates na mkewe Melinda, Bill & Melinda Gates Foundation, imetoa Dola 6 milioni za Marekani ambazo ni Sh10.8 bilioni ili kusaidia mradi wa kuboresha kilimo cha ndizi na viazi vitamu Tanzania, Uganda na Ethiopia.

 

5 years ago

BBCSwahili

Bill Gates kusaidia kupambana na Ebola

Mfuko wa Bill na Melinda Gates kuchangia dola milioni 5.7 kupambana na Ebola

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani