Bill Gates atembelea miradi ya Afya Tanga

Mfanyabiashara maarufu na tajiri namba moja Duniani, Bill Gates yupo nchini Tanzania kutembelea miradi mbalimbali ya afya ikiwemo mradi wa matumizi ya dawa za matende na mabusha.

Mapema leo Gates alikuwa mkoani Tanga na kutembelea baadhi ya vituo vya afya mkoani humo na kuonana na baadhi ya viongozi wanaosimamia miradi hiyo.

The post Bill Gates atembelea miradi ya Afya Tanga appeared first on Zanzibar24.

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

BILL GATES ATUA TANZANIA, ATEMBELEA KIJIJI CHA KICHEBA WILAYANI MUHEZA, TANGA

William Henry Gates III maarufu kama Bill Gates na Mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft iliyomfanya kuwa mtu tajiri namba moja  duniani na mwanzilishi wa mashirika lukuki yasiyo ya kiserikali yenye kusaidia jamii yupo nchini. Leo ametembelea kijiji cha Kicheba wilayani Muheza katika mkoa wa Tanga kwa lengo la kuangalia maswala mbalimbali ya afya ikiwemo utumiaji wa dawa za mabusha, matende ili kuangalia ni namna gani anaweza kusaidia kwenye sekta hiyo ya Afya. Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani...

 

2 years ago

Bongo Movies

IKULU: Rais Magufuli Akutana na Bill Gates. Atenga Bilioni 777 Kutekeleza Miradi Mbalimbali Sekta ya Kilimo na Afya

Rais John Pombe Magufuli amefunguka na kumshukuru Mwenyekiti Mwenza wa taasisi ya Bill and Mellinda Gates Bw. Bill Gates kwa misaada mbalimbali ambayo inatolewa kupitia taasisi yake kwenye miradi mbalimbali nchini.

Rais Magufuli akiwa na bilionea Bill Gates Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 

2 years ago

Malunde

BILIONEA BILL GATES AIBUKIA KIJIJINI TANGA

William Henry Gates III maarufu kama Bill Gates na Mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft iliyomfanya kuwa mtu tajiri namba moja duniani na mwanzilishi wa mashirika lukuki yasiyo ya kiserikali yenye kusaidia jamii yupo nchini.
Jana ametembelea kijiji cha Kicheba wilayani Muheza katika mkoa wa Tanga kwa lengo la kuangalia maswala mbalimbali ya afya ikiwemo utumiaji wa dawa za mabusha, matende ili kuangalia ni namna gani anaweza kusaidia kwenye sekta hiyo ya Afya.Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani...

 

2 years ago

BBCSwahili

Wakfu wa Bill Gates watenga dola za milioni 350 kwa miradi Tanzania

Bill Gates katika ziara yake ya siku tatu nchini Tanzania amekutana na Rais Magufuli na kumweleza taaasisi hiyo imetenga dola Kimarekani milioni 350 za kutumiwa katika miradi Tanzania.

 

2 years ago

Bongo Movies

Bill Gates Ajiunga Instagram Akiwa Tanzania, Arusha Picha za Muheza Tanga

Dar es Salaam. Tajiri namba moja duniani Bill Gates amejiunga Instagram akiwa nchini Tanzania na kurusha picha tatu ikiwemo aliyopiga na watoto akiwa Muheza mkoani Tanga.

Gates ameijunga na mtandao huo wa kijamiii kwa jina la thisisbillgates na kurusha picha zake za kwanza tatu zote akiwa Tanzania.

Gates katika mtandao huo aliandika hiki, “Hello kutoka Tanzania, Instagram! Nimepata chakula cha mchana kizuri nikiwa na watoto wanaovutia katika Shule ya Msingi Kicheba Muheza na nikakutana...

 

2 years ago

Channelten

Taasisi ya Bill and Mellinda Gates imetenga Dola za Marekani Milioni 350 kutekeleza miradi hii Tanzania

bg5

Taasisi ya Bill and Mellinda Gates imetenga Dola za Marekani Milioni 350 sawa na takribani Shilingi za tanzania Bilioni 777.084 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali katika sekta ya kilimo, afya na mifumo ya kielektroniki ya upatikanaji wa taarifa.

Mwenyekiti Mwenza wa Taasisi hiyo Bill Gates amesema hayo Ikulu Jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kufanya mazungumzo na Rais Dkt. John Pombe Magufuli ambapo amesema, fedha hizo zitaelekezwa katika utekelezaji wa miradi zaidi ya afya...

 

3 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA TANGA ATEMBELEA MIRADI YA MAJI KATIKA JIMBO LA MLALO

 Mbunge wa jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi akizungumza na wananchi wa jimbo la mlalo wakati Mkuu wa mkoa wa Tanga alipotembelea mradi wa maji wa  jimbo hili na wakatiwa sherehe ya kumpongeza, katika hafla fupi ilifanyika maeneo ya Mlalo Mkongoloni mwishoni mwa wiki. Mkuu wa mkoa wa Tanga Mwantumu Mahiza atembelea wilaya ya Lushoto na kuangalia miradi ya maendeleo ya Serikali ikiwepo maabara na mradi wa maji wilayani Lushoto Mkoani Tanga  baada ya kabla ya hafla fupi ya Mbunge wa jimbo la...

 

2 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA NJOMBE ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU NA AFYA

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh. Christopher Ole Sendeka akiweka jiwe la msingi kwenye  nyumba za waalimu shule ya sekondari ya wasichana Anne Makinda.Nyumba zenye uwezo wa kuishi waalimu 6 katika nyumba moja "6 in 1".Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka akikagua uimara wa milango kwenye moja ya madarasa katika shule ya sekondari ya wasichana Anne Makinda.Nyuma yake ni Mh. Mkuu wa Wilaya ya Njombe Ruth Msafiri.Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka akisisitiza jambo kwa Wananchi...

 

4 years ago

Dewji Blog

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani