- 1 HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRILI 22,2017
- 2 Mke Wa Chameleon Adai Talaka Mahakamani
- 3 MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL 22,2017
SIKU KAMA YA LEO
Apr 22, 2017POPULAR ON YOUTUBE
BILL GATES ATUA TANZANIA, ATEMBELEA KIJIJI CHA KICHEBA WILAYANI MUHEZA, TANGA

William Henry Gates III maarufu kama Bill Gates na Mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft iliyomfanya kuwa mtu tajiri namba moja duniani na mwanzilishi wa mashirika lukuki yasiyo ya kiserikali yenye kusaidia jamii yupo nchini. Leo ametembelea kijiji cha Kicheba wilayani Muheza katika mkoa wa Tanga kwa lengo la kuangalia maswala mbalimbali ya afya ikiwemo utumiaji wa dawa za mabusha, matende ili kuangalia ni namna gani anaweza kusaidia kwenye sekta hiyo ya Afya. Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga, Mhandisi, Hajat Mwanasha Tumbo (kushoto) akiwa na Bill Gatesbpamoja na mmoja wa viongozi wa kinamama wa wilaya hiyo katika kata ya Kicheba Wilayani humo mkoani Tanga leo
Bill Gates akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa wilaya ya Muheza akiwamo Mkuu wa Wilaya Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga, Mhandisi, Hajat Mwanasha Tumbo na Mbunge Mhe Adadi Rajabu (wa nne kulia) katika kata ya Kicheba Wilayani humo mkoani Tanga leo
Bill Gates akiwasili na kusalimiana na uongozi wa wilaya ya Muheza katika kata ya Kicheba Wilayani humo mkoani Tanga leo.
Kujua mengi kuhusu Bill Gates BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
8 months ago
Bongo Movies12 Aug
Bill Gates Ajiunga Instagram Akiwa Tanzania, Arusha Picha za Muheza Tanga
Dar es Salaam. Tajiri namba moja duniani Bill Gates amejiunga Instagram akiwa nchini Tanzania na kurusha picha tatu ikiwemo aliyopiga na watoto akiwa Muheza mkoani Tanga.
Gates ameijunga na mtandao huo wa kijamiii kwa jina la thisisbillgates na kurusha picha zake za kwanza tatu zote akiwa Tanzania.
Gates katika mtandao huo aliandika hiki, “Hello kutoka Tanzania, Instagram! Nimepata chakula cha mchana kizuri nikiwa na watoto wanaovutia katika Shule ya Msingi Kicheba Muheza na nikakutana...
8 months ago
Zanzibar 2409 Aug
Bill Gates atembelea miradi ya Afya Tanga
Mfanyabiashara maarufu na tajiri namba moja Duniani, Bill Gates yupo nchini Tanzania kutembelea miradi mbalimbali ya afya ikiwemo mradi wa matumizi ya dawa za matende na mabusha.
Mapema leo Gates alikuwa mkoani Tanga na kutembelea baadhi ya vituo vya afya mkoani humo na kuonana na baadhi ya viongozi wanaosimamia miradi hiyo.
The post Bill Gates atembelea miradi ya Afya Tanga appeared first on Zanzibar24.
2 years ago
MichuziWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA KIJIJI CHA KATUMBA WILAYANI MPANDA,AZINDUA MNARA ULIOJENGWA NA WAKIMBIZI WALIOPEWA URAIA WA TANZANIA
8 months ago
Malunde
BILIONEA BILL GATES AIBUKIA KIJIJINI TANGA

Jana ametembelea kijiji cha Kicheba wilayani Muheza katika mkoa wa Tanga kwa lengo la kuangalia maswala mbalimbali ya afya ikiwemo utumiaji wa dawa za mabusha, matende ili kuangalia ni namna gani anaweza kusaidia kwenye sekta hiyo ya Afya.

3 years ago
GPL
YANGA YAZINDUA TAWI JIPYA WILAYANI MUHEZA, TANGA
4 years ago
Michuzi.jpg)
JK AONGEA NA WANANCHI WILAYANI MUHEZA, AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI MKOA WA TANGA
.jpg)
.jpg)
3 years ago
Michuzi
Mh. Samia Suluhu aendelea na ziara ya kukagua shughuli za utunzaji wa mazingira wilayani Muheza, Tanga


3 years ago
Vijimambo
BERNARD MEMBE APATA WADHAMINI WILAYANI CHAMWINO -DODOMA, ATEMBELEA MNARA WA KUMBUKUMBU YA MW. NYERERE KATIKA KIJIJI CHA CHAMWINO IKULU


3 years ago
StarTV08 Jan
Bill Gates anywa maji ya kinyesi cha binadamu.
Mmiliki wa kampuni ya Microsoft Bill Gates amekunywa maji yaliotengenezwa kutokana na kinyesi cha binaadamu kama maonyesho ya teknolojia mpya itakayoweza kutoa maji safi katika mataifa yanayoendelea.
Mwanzilishi huyo wa Microsoft amesema kuwa ataisambaza mitambo ya teknolojia hiyo mpya kote duniani baada ya kuifanyia majaribio mwishoni mwa mwaka huu.
Teknolojia hiyo imeungwa mkono na shirika la WaterAid ambalo limesema kuwa itasaidia sana katika maeneo ya miji.
Kulingana na shirika hilo la...