BINTI FOUNDATION YATOA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE,SHUELE YA MSINGI HANANASIFU JIJINI DAR


 Mkurugenzi wa taasisi ya Binti Foundation Johari Sadiq akizungumza mapema leo mbele ya Wanahabari (hawapo pichani),Katika hafla fupi ya utoaji wa msaada wa vifaa vya shule mbalimbali katika shule ya msingi ya Hananasisifu,jijini Dar,ikiwa ni sehemu yao ya kuadhimisha siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike,ambapo Kitaifa inaadhimishwa mkoani Mara,Pichani kulia ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo ya Hananasifu  Idda Uisso. Mkurugenzi wa taasisi ya Binti Foundation Johari Sadiq akimkabidhi Mwalimu Mkuu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

TAASISI YA BINTI FOUNDATION YATOA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE,SHULE YA MSINGI MWANANYAMALA KISIWANI,JIJINI DAR LEO
Mkurugenzi wa Taasisi ya Binti Foundation, Johari Sadiq, akimkabidhi vifaa vya shule Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Mwananyamala Kisiwani, Tuwaje Mohamed kwa ajili ya wanafunzi wanaosoma shuleni hapo ambao wanatoka katika familia duni. Wa pili kulia ni Caroline Magoti.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Binti Foundation, Johari Sadiq, akimkabidhi sare za shule, Esther Amon.

Wanafunzi wakiwa darasani.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Binti Foundation, Johari Sadiq, akiwakabidhi sare za shule baadhi ya...

 

3 years ago

Michuzi

KFC YATOA MSAADA WA VIFAA VYA BRAILLE KWA WANAFUNZI WENYE ULEMAVU WA KUONA NA KUSIKIA KATIKA SHULE YA MSINGI UHURU MCHANGANYIKO JIJINI DAR.

KAMPUNI ya KFC Kuku Foods Limited Tanzania wametoa msaada wa vifaa vya braille kwa wanafunzi wenye ulemavu wa kuona na kusikia wa shule ya msingi Uhuru Mchanganyiko iliyopo kariakoo jijini Dar es Salaam.
Katika halfa ya makabidhiano ya vifaa maalum kwa Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko iliopo Kariakoo, KFC Meneja Mkuu wa KFC Tanzania, Louis Venteramesema kuwa vifaa hivyo vitawasaidia wanafunzi wenye mahitaji maalum ambao ni wasio na uwezo wa kuona na wale wasioweza kusikia Vile vile Msaada...

 

4 years ago

Vijimambo

FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA VIFAA VYA SHULE SHULE YA MSINGI MSINUNE

Taasis ya Flaviana Matata 'FMF' ya Mwanamitindo Flaviana Matata aishie New York ,Nchini Marekani. Mwaka jana ilisaidia watoto 3000 kwa kuwapa vifaa vya kujifunzia.Mwaka huu itaendelea kuwasaidia Watoto hao hao wakati inaangalia namna ya kutatua matatizo mengine yanayozikabili Shule hizo ili kuboresha elimu nchini Yakiwemo mavazi, majengo na hata vyakula vya shule kwa shule za pembezoni Zoezi litaendelea kwa shule zingine za mikoani ukiwemo Mkoa wa Shinyanga, Lindi na Arusha kwa...

 

5 years ago

Michuzi

Airtel yatoa msaada wa vifaa vya ofisi kwa shule ya Msingi Chau Chalinze

Airtel Afisa mauzo wa kanda ya Pwani William Mrocky akikabithi kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Chau Bwana Elvin Msangi msaada wa viti na meza kwaajili ya ofisi ya walimu wa shule ya msingi ya chau iliyoko Chalinze Mkoani Pwani.
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa kupitia shughuli zake za huduma kwa jamii imetoa msaada vifaa kwa ajili ya ofisi ya  walimu kwa shule ya msingi ya Chau iliyoko Chalinze mkoani Pwani.
Akiongea kwa niaba ya Airtel Afisa mauzo wa kanda ya Pwani...

 

5 years ago

GPL

AIRTEL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA OFISI KWA SHULE YA MSINGI CHAU CHALINZE‏

Airtel Afisa mauzo wa kanda ya Pwani  William Mrocky akikabithi kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Chau Bwana Elvin Msangi msaada wa viti na meza kwaajili ya ofisi ya walimu wa shule ya msingi ya chau iliyoko Chalinze Mkoani Pwani. Airtel yatoa msaada wa vifaa vya ofisi kwa shule ya Msingi  Chau Chalinze
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa kupitia shughuli zake za huduma kwa jamii imetoa msaada vifaa kwa ajili ya ofisi...

 

4 years ago

Michuzi

SHULE YA MSINGI MLIMANI JIJINI DAR YAFAIDIKA NA MSAADA WA KOMPYUTA 20 TOKA VODACOM FOUNDATION

Baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Mlimani ya jijini Dar es Salaam,wakiwa wamebeba baadhi ya kompyuta kati ya(20) zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation na kukabidhiwa na Mkuu wa taasisi hiyo, Renatus Rwehikiza(kulia) Msaada huo ulitolewa na Taasisi hiyo kwa ajili ya wanafunzi wa shule hiyo kujifunza masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo. Mkuu wa Vodacom Foundation,Renatus Rwehikiza(kushoto)akimkabidhi msaada wa moja ya Kompyuta kati ya(20)Mwalimu Mkuu wa shule ya...

 

4 years ago

GPL

SHULE YA MSINGI MLIMANI JIJINI DAR YAFAIDIKA NA MSAADA WA KOMPYUTA 20 TOKA VODACOM FOUNDATION‏

Baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Mlimani ya jijini Dar es Salaam,wakiwa wamebeba baadhi ya kompyuta kati ya(20) zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation na kukabidhiwa na Mkuu wa taasisi hiyo, Renatus Rwehikiza(kulia) Msaada huo ulitolewa na Taasisi hiyo kwa ajili ya wanafunzi wa shule hiyo kujifunza masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo. Mkuu wa Vodacom Foundation,Renatus Rwehikiza(kushoto)akimkabidhi...

 

1 year ago

Michuzi

ECOBANK YABORESHA MIUNDOMBINU YA MAJI SHULE YA MSINGI HANANASIFU JIJINI DAR

Shule ya Msingi Hananasifu, iliyopo katika manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, imeepukana na dhahama ya kuweza kupata magonjwa ya mlipuko kama vile Kipindupindu baada ya Ecobank kuboresha miuondombinu ya maji shuleni hapo.Kifuatia uwekwaji wa miundombinu hiyo bora pia, Ecobank imeweka tanki maalumu ili kurahisisha usambazaji pamoja na upatikanaji wa Huduma ya maji safi na salama  katika vyoo na maeneo mbali mbali shuleni hapo yenye uhitaji wa maji kwa wanafunzi na walimu.Aidha benki...

 

3 years ago

Michuzi

FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA MSAADA SHULE YA MSINGI

MSINUNE Taasisi ya Flaviana Matata ilizindua rasmi msimu wa "BACK TO SCHOOL" kwa kutoa vifaa vya shule kwa jumla ya watoto 270 wa Shule ya Msingi Msinune ambayo ipo chini ya ulezi wa mwanzilishi wa #FMF na mwanamitindo wa Kimataifa Flaviana Matata. Zaidi ya kutoa vifaa vya Shule Flaviana Matata Foundation kwa kushirikiana na wadau wamefanikiwa kujenga choo na waalimu na wanafunzi shuleni hapo. fmf msinune Flaviana Matata akikabidhi mabegi ya shule kwa watoto wa shule ya Msingi ya Msinune...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani