Biteko apiga marufuku bei holela madini ya ujenzi

Na Greyson Mwase, TangaNaibu Waziri wa Madini, Doto Biteko amepiga marufuku tabia ya wachimbaji wa madini ya ujenzi ya kushusha bei ya madini hayo kwa ajili ya kuuza kwa wingi, badala ya kufuata bei elekezi iliyowekwa na Serikali  huku wakiwalipa  vibarua kiasi kidogo cha fedha kisichoendana na kazi ngumu wanazofanya.Naibu Waziri Biteko ameyasema hayo  mapema leo alipofanya ziara katika machimbo ya madini ya ujenzi aina ya kokoto katika eneo la Amboni mkoani Tanga lengo likiwa ni kukagua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Malunde

DC SHINYANGA APIGA MARUFUKU UNUNUZI HOLELA WA PAMBA


Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amepiga marufuku ununuaji na uuzaji holela wa pamba na kwamba makampuni na  watu binafsi watakaokiuka maagizo hayo atachukuliwa hatua kali za kisheria.

Matiro alitoa agizo hilo leo Mei, 2018 kwa wakulima wa kata ya Iselamagazi iliyopo katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga  kwenye mkutano wake wa hadhara juu ya umuhimu wa kujiunga kwenye vyama vya ushirika, kuwa marufuku uuzaji wala ununuzi wa zao la pamba Kiholela, na atakaye bainika kukeuka...

 

3 years ago

Habarileo

Kalemani: Marufuku kutoa holela leseni za madini nchini

NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Dk Medard Kalemani amesisitiza kuwa hakuna taasisi, wakala au mtu mwingine yeyote anayepaswa kutoa leseni ya madini isipokuwa wizara yake.

 

1 year ago

Michuzi

MADINI YA UJENZI, VIWANDA YANACHANGIA ZAIDI KWENYE UCHUMI KUPITA MENGINE – BITEKO


 Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko (kulia) akizungumza na wafanyakazi wa Ofisi ya Madini Dodoma, alipowatembelea akiwa katika ziara ya kazi, Machi 22 mwaka huu.
Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko, akisalimiana na wafanyakazi wa Ofisi ya Madini Dodoma, alipowasili katika Ofisi hiyo akiwa katika ziara ya kazi, Machi 22 mwaka huu.
 Shughuli za uchimbaji madini ya nakshi zikiendelea katika Mgodi uliopo Ntyuka Dodoma, wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko (hayupo pichani) mgodini...

 

12 months ago

Malunde

WAZIRI MKUU APIGA MARUFUKU KUPANDISHA BEIWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amewapiga marufuku wafanyabiashara wote nchini kupandisha bei ya sukari pamoja na bidhaa nyingine katika kipindi ambacho waumini wa kiislamu wanakuwa katika ibada ya kufunga mwezi wa Ramadhani unaotarajiwa kuanza siku si nyingi kutoka sasa ndani ya mwezi huu Mei 


Waziri Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Mei 03, 2018 Bungeni Jijini Dodoma kwenye kikao cha 21 mkutano wa 11 wa Bunge la...

 

3 years ago

Mtanzania

Gondwe apiga marufuku usafirishaji madini

godwin-gondweNa Mwandishi Wetu, Tanga

MKUU wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe, amepiga marufuku usafirishaji wa madini usiku badala yake ametaka yasafirishwe mchana.

Agizo hilo amelitoa mjini hapa jana baada ya kukamatwa kwa malori saba yakiwa yamebeba madini aina chuma na dolomati yakiwa yanatokea Kata ya Mgambo kuelekea mkoani Mtwara katika Kiwanda cha Dangote.

Gondwe alisema wafanyabiashara wengi wamekuwa wakisafirisha biashara hiyo usiku kwa lengo la kukwepa kodi na kuikosesha Handeni...

 

2 years ago

Mwananchi

JPM apiga marufuku utolewaji wa leseni za kuchimba madini

Rais John Magufuli ameiagiza Wizara ya Nishati na Madini kusitisha utoaji wa leseni za uchimbaji wa madini kwa mwekezaji yeyote hadi serikali itakapojipanga upya.

 

2 years ago

Mwananchi

JPM apiga marufuku utoaji wa leseni za kuchimba madini

Rais John Magufuli ameiagiza Wizara ya Nishati na Madini kusitisha utoaji wa leseni za uchimbaji wa madini kwa mwekezaji yeyote hadi serikali itakapojipanga upya.

 

2 years ago

Malunde

RAIS MAGUFULI APIGA MARUFUKU USAFIRISHAJI WA MCHANGA WA MADINI NJE YA NCHI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amepiga marufuku usafirishaji wa mchanga wa madini nje ya nchi na ametaka mchanga wote ufanyiwe uyeyushaji hapa hapa nchini.

Rais Magufuli ametoa katazo hilo leo wakati akiweka jiwe la msingi la kiwanda cha kutengeneza vigae (Tiles) cha Kampuni ya Goodwill Tanzania Ceramic Limited kilichopo katika Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani.

Akizungumza baada ya kutembelea kiwanda hicho, Mhe. Rais Magufuli ameishukuru Menejimenti ya kiwanda...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Madini ya ujenzi bei juu

SERIKALI kupitia Ofisi ya Kamishna Msaidizi wa Madini Kanda ya Mashariki na Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), imepandisha bei za madini ya ujenzi katika mikoa ya Dar es...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani