Blac avishwa pete ya uchumba

Blac Chyna Shops In The LA Fashion DistrictLAS VEGAS, MAREKANI

ALIYEKUWA mke wa msanii wa hip hop nchini Marekani, Tyga, Blac Chyna, amevishwa pete ya uchumba na kaka wa Kim Kardashian, Rob Kardashian.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Blac, mwenye umri wa miaka 27, ameweka picha yake huku akionesha pete hiyo ya dhahabu, huku picha nyingine ikimuonyesha akiwa na mpenzi huyo mpya.

Hata hivyo, Blac anaonekana kulipiza kisasi kutokana na baba mtoto wake, Tyga, kutoka na mdogo wake Kim, anayejulikana kwa jina la Kylie Jenner, hivyo Blac...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mtanzania

Huddah Monroe avishwa pete ya uchumba

Huddah-Monroe-Image-from-izvipiNairobi, Kenya

MREMBO kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe, ameanza kuionesha pete ya uchumba aliyovishwa wiki iliyopita.

Mwanamitindo huyo mwenye umaarufu mkubwa nchini humo, ameamua kuvunja ukimya wake na kuionesha pete hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram.

“Kila kitu kipo wazi, lakini muda ukifika watu watamjua nani aliyenivisha pete hii, lakini kwa sasa watu wanatakiwa wajue nina pete ya uchumba.

“Kwa sasa naweza kusema sihitaji usumbufu kutoka kwa mwanamume yeyote, huu ni muda wangu wa...

 

3 years ago

Mtanzania

Teyana Taylor avishwa pete ya uchumba

Teyana-Taylor-Iman-Shumpert-bet-awards-2015-billboard-650LAS ANGELES, MAREKANI

MSANII wa muziki na filamu nchini Marekani, Teyana Taylor, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake, Iman Shumpert, ambaye ni mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Cleveland Cavaliers.

Msanii huyo mwenye umri wa miaka 25, amesema umri wake umefikia hatua ya kuolewa na tayari amempata mwanamume sahihi katika maisha yake.

“Nilikuwa nikisubiri muda kufanya maamuzi haya, nadhani huu ni umri wangu sahihi wa kuolewa, nashukuru nimempata mwanamume sahihi, tumekubaliana...

 

3 years ago

Global Publishers

Baby Madaha avishwa pete ya uchumba

MADAHA (1)Gladness Mallya

HABARI njema! Kwa mara ya kwanza, staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha amejikuta akitoa meno yote nje, baada ya kuvishwa pete ya uchumba na mwanaume wake mwenye asili ya Kiarabu aishiye Dubai.

babyAkiteta na Risasi Vibes, Baby alisema anamshukuru Mungu kwa hatua hiyo kwani alikuwa akiitamani kwa muda mrefu na kwamba ndoa itakuja ‘soon’ japo itakuwa ya kimyakimya.

“Nimefurahi sana na ndoa inakuja soon, sikuwahi kuvishwa pete na mwanaume yeyote hapo awali kama walivyo...

 

4 years ago

Bongo Movies

Shilole Avishwa Pete ya Uchumba na Nuh Mziwanda

Mwigizaji na mwanamziki maarufu wa kike hapa Bongo, Zuwena Mohamed  “Shilole” ambae ni mama wa watoto wawili  usiku huu akishereke siku yake ya kuzaliwa maeneo ya Mikocheni jiji Dar, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa muda mrefu sasa, Nuh Mziwanda ambae pia ni mwanamziki.

Tunawatakia kila kheri wapendanao hawa.

 

5 years ago

GPL

MAI AVISHWA PETE YA UCHUMBA, NDOA UPYA

Stori: Hamida Hassan
MTANGAZAJI ambaye kwa sasa anafanya dili za ujasiriamali, Maimartha Jese ‘Mai’hivi karibuni alivishwa upya pete ya uchumba na ya ndoa baada ya zile za wali kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Mtangazaji ambaye kwa sasa anafanya dili za ujasiriamali, Maimartha Jese ‘Mai’ Aliyemfanyia tukio hilo ni mumewe aitwaye Shaa na baada ya vidole vyake kupendeza tena alitupia picha akiwarusha roho mashoga...

 

2 years ago

Bongo5

Picha: Gigy Money avishwa pete ya uchumba na Mo J ?

Wingu la mahaba mazito kati ya video queen Gigy Money na mtangazaji wa kipindi cha Lavidavi cha Choice Fm Mo J limeendelea kutanda kwani wawili hao kwa sasa wako karibu zaidi.

Mo J akibusu pete ambayo amemvalisha Gigy Money.

Mo J anadaiwa kumvalisha pete mrembo huyo baada ya hivi karibuni kupost picha (hapo juu) na kuandika ujumbe huu.

Valentine’s ileeeeee..!! mwezi wa ma lovey dovey❤ sasa mimi mapemaaa nimempa Bonge la zawadi mama Candy @gigy_money lakini nisingeweza kufanikisha lengo langu...

 

3 years ago

Bongo5

Miley Cyrus avishwa pete ya uchumba na Liam Hemsworth

Msanii wa Marekani, Miley Cyrus amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake muigizaji wa filamu, Liam Hemsworth.

beyonce-detroit

Jumanne hii Miley alionekana akiwa na mpenzi wake huyo huko New York huku kwenye kidole chake cha mkono wa kushoto akionekana na pete inayodhaniwa ya uchumba yenye thamani ya dola laki moja.

11821164_1639903142954587_408394810_n

Kuvalishwa pete ya uchumba na Liam Hemsworth ni neema kwa Miley Cyrus kwani aliwahi kuwa kwenye mahusiano na mtoto wa staa wa filamu duniani Arnold Schwarzenegger, Patrick Schwarzenegger na...

 

4 years ago

Bongo5

Picha: Mwimbaji wa Kuchi Kuchi, Jodie wa Nigeria avishwa pete ya uchumba

Mwimbaji wa ‘Kuchi Kuchi’, wimbo uliopata umaarufu mkubwa Tanzania miaka michache iliyopita, Jodie kutoka Nigeria amechumbiwa. Kupitia Instagram, J’odie alishare picha ya pete yake ya uchumba aliyovishwa na mume wake mtarajiwa David Nnaji ambaye pia ni boss wake. Nnaji ni CEO wa label ya Dun Entertainment ambayo ndio ilisimamia album ya kwanza ya J’odie, ‘African […]

 

3 years ago

Mtanzania

Miley Cyrus avishwa pete

Miley Cyrus

Miley Cyrus

NEW YORK, MAREKANI

MSANII wa muziki na filamu nchini Marekani, Miley Cyrus, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake, Liam Hemsworth.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, msanii huyo mwenye umri wa miaka 23, ameweka picha ya pete hiyo na kudai kwamba ina thamani ya dola 100,000, akiwa amevishwa na mpenzi wake huyo mwenye umri wa miaka 26.

“Nadhani hii ni sehemu ya awali katika kuyaandaa maisha yangu, haina maana kwamba nataka kuolewa leo au kesho nadhani muda ukifika kila kitu...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani