Bocco ataja sababu za Azam kuvurunda

NAHODHA wa Azam FC, John Bocco amesema kushindwa kupata mafanikio msimu uliopita kumetokana na kuwakosa wachezaji wao muhimu wa kikosi cha kwanza kwenye mechi za mwisho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Habarileo

Kocha Twiga Stars ataja sababu kuvurunda

KOCHA wa timu ya Taifa ya soka ya wanawake, ‘Twiga Stars’, Nasra Juma amesema kukosekana kwa ligi ya wanawake Tanzania ni moja ya sababu inayofanya timu hiyo kushindwa kufanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa.

 

3 years ago

Habarileo

Manula ajitetea kuvurunda Azam

KIPA Aishi Manula wa Azam FC, amesema upepo mbaya uliopita kwenye timu yao umechangia kufanya vibaya kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu unaoelekea ukingoni.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Bocco aibebea Azam Kaitaba: Ubaoni Azam 3-2 Kagera Sugar

BAO lililofungwa na nahodha John Bocco ‘Adebayor’ dakika ya 86, limeiwezesha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, kuibuka na pointi zote tatu baada ya kuinyuka Kagera Sugar mabao 3-2 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Kaitaba. Bukoba, mkoani Kagera jioni ya Jana.

Bao hilo linamfanya Bocco kufikisha mabao matano kwenye msimu huu wa ligi akizidiwa mabao mawili na Shiza Kichuya wa Simba, anayeongoza kileleni kwa mabao saba.

Mabao mengine ya Azam yalifungwa na Mudathir Yahya na...

 

2 years ago

Michuzi

FULL TIME VPL: KAGERA SUGAR 2 v 3 AZAM FC, NAHODHA JOHN BOCCO AIPAUSHINDI AZAM FC NA KUPANDA JUU NAFASI YA NNE!

Wachezaji wa Azam Fc wakimpongeza Nahodha wao John Bocco dakika ya 86 baada ya kuwapachikia bao la ushindi katika mchezo wao wa Ligi Kuu Vodacom VPL leo kwenye Uwanja wa Kaitaba uliopo Bukoba Mjini. Bao hilo limeiwezesha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam kuibuka na pointi  tatu muhimu  baada ya kuinyuka Kagera Sugar mabao 3-2 katika mchezo ulifanyika leo Mkoani Kagera.Kikosi cha Azam Fc kilichoanza dhidi ya Kagera Sugar leo kwenye Uwanja wa Kaitaba
Timu zilivyokuwa zinaingia...

 

3 years ago

Mtanzania

Bocco awatuliza mashabiki Azam

John-Bocco-1-e1438774780905ADAM MKWEPU NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, John Bocco amewatuliza mashabiki wa timu hiyo na kuwataka wasubiri ushindi wa kishindo watakapocheza na Majimaji keshokutwa katika Uwanja wa Majimaji, Songea.

Azam ilipata matokeo ya sare ya mabao 2-2 dhidi ya Simba Jumamosi iliyopita na kufikisha pointi 26 zilizoifanya ishuke hadi nafasi ya pili na kuwapa wapinzani wao Yanga nafasi ya kurudi kileleni kwa kujikusanyia pointi 27.

Akizungumza na MTANZANIA jana nyota huyo...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Bocco atambia mafanikio Azam FC

NAHODHA wa Azam FC, John Rafael Bocco ‘Adebayor’ametambia rekodi na mafanikio ya kikosi chake, huku akiitaja namba 19 kuwa ni namba ya bahati katika maisha yake ya soka Azam Complex,...

 

4 years ago

TheCitizen

Bocco stars as Azam stun KCC

Azam FC launched their 2015 Kagame Cup mission on a high note after edging Ugandan champions KCC 1-0 at the National Stadium yesterday.

 

3 years ago

TheCitizen

Bocco saves Azam in Yanga draw

John Bocco scored a second half equaliser to salvage a point for Azam FC as they played out a 2-2 draw against Young Africans in a Vodacom Premier League match at the National Stadium yesterday.

 

3 years ago

Habarileo

Bocco imani tele ya ubingwa Azam

NAHODHA wa Azam FC, John Bocco amesema bado wanayo nafasi ya kuwa mabingwa wa Tanzania Bara msimu huu, kutokana na mikakati waliyo nayo ya kushinda kila mchezo uliokuwa mbele yao.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani