Bocco tayari! Sasa ni Aishi na Kapombe

SIMBA imemalizana na straika wa Azam, John Bocco na sasa wana kazi moja ya kuwang’oa kipa Aishi Manula, ambaye ni kipa bora wa msimu uliopita na kiraka Shomary Kapombe.

Mwanaspoti

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwanaspoti

Kichuya aukubali usajili wa Simba wa nyota kama Bocco, Kapombe na Manula

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya amesema anaamini timu yake itafanya vizuri kutokana na usajili inaofanya.

 

2 years ago

MillardAyo

Kaseja baada ya kuulizwa namna Bocco, Kapombe na Manula walivyoondoka Azam na kujiunga na Simba

Golikipa wa zamani wa timu za Simba na Yanga ambaye kwa sasa anaichezea Kagera Sugar ya Bukoba Juma Kaseja alikuwa ni mmoja kati ya wageni waliyoalikwa katika kipindi cha Sports Bar cha Clouds TV kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusiana na soka la Tanzania. Juma Kaseja kama moja ya wachezaji wenye uzoefu ambao wamewahi kucheza vilabu vya […]

The post Kaseja baada ya kuulizwa namna Bocco, Kapombe na Manula walivyoondoka Azam na kujiunga na Simba appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Vodacom wamempa Shomary Kapombe milioni moja yake tayari !!

Milioni 1

Mchezaji wa timu ya Azam FC Shomary Kapombe jana amekabidhiwa shilingi Milioni 1/ kutokana na kutajwa kuwa mchezaji bora wa mwezi January 2016 kwenye ligi ya soka ya VPL inayoendelea ambapo amekabidhiwa kitita hicho kutoka kwa mdhamini wa ligi hiyo Vodacom Tanzania katika uwanja  wa klabu anayoichezea Chamanzi Dar es Salaam. Baada ya kuchukua mkwanja wake Kapombe […]

The post Vodacom wamempa Shomary Kapombe milioni moja yake tayari !! appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Michuzi

MAJERUHI WAONGEZEKA SIMBA, SASA NI BOCCO NA MBONDE

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
KIKOSI cha Simba kimeanza kuandamwa na majeruhi baada ya John Bocco na Salim Mbonde kuungana na wachezaji wengine baada ya kuumia katikamchezo wa ligi kuu Tanzania bara Jumapili iliyopita  dhidi ya Mtibwa Sugar na kushindwa kuendelea mchezo baada ya kupata majeraha.
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Simba Hajji Manara amesema kuwa kwa sasa wachezaji wote wapo katika uangalizi wa daktari wa timu.
Amesema beki wa kati Salim Mbonde ambaye ni tegemeo...

 

4 years ago

Vijimambo

DIAMOND SASA NIPO TAYARI KWA KIFO

diamond mtotoStaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa na mtoto wake Latifah ‘Princess Tiffah’.
SIKU chache baada ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kupata binti na kumwita Latifah ‘Princess Tiffah’ na kuanza maisha mapya ya familia na mzazi mwenzake, Zarina Hassan ‘Zari’, nyota huyo anadaiwa kutoa ya moyoni kwa kusema kuwa sasa yupo tayari kwa kifo kwa vile ndoto yake kubwa ya kupata mtoto imekamilika na ana chata duniani.

KWANZA ANAMSHUKURU MUNGU
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini,...

 

4 years ago

GPL

KHADIJA KOPA SASA YUPO TAYARI KUOLEWA TENA

Mwandishi wetu Kutoka moyoni! Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki na Kati, Khadija Omary Kopa ‘Da’ Khadija’ amefunguka la moyoni kwamba sasa yupo tayari kuolewa tena iwapo atatokea mwanaume mwenye vigezo anavyovihitaji..  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1NcDKNB

 

4 years ago

GPL

KOLETA SASA NIPO TAYARI KUZAA BILA NDOA

Msanii wa filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’. Na Gladness Mallya/ Amani
KUTOKANA na umri kumtupa mkono, msanii wa filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ ameibuka na kutengua kauli aliyowahi kuitoa kwamba hawezi kuzaa nje ya ndoa na kusema kwa sasa yupo tayari kufanya hivyo muda wowote. Akistorisha na Amani, Koleta alisema kwa sasa yupo tayari kuzaa hata bila ndoa kwani ni muda mrefu amekuwa akitamani kuitwa mama na...

 

4 years ago

Bongo Movies

Kumekucha Tena Tuzo Kubwa za Nyuka Zipo Tayari Sasa!

TUZO kubwa zijulikanazo kwa jina la NYUKA FILM AWARDS zipo tayari kwa ajili ya kutolewa kwa wanatasnia ya filamu Swahilihood hivi karibuni mwezi huu wa saba mwisho, ni tuzo zilizolenga kutambua mchango wa filamu zinazotumia Lugha ya Kiswahili katika kukitangaza na kuunganisha mataifa.

Filamu iliyorekodiwa na kutumia Lugha ya Kiswahili inahusika kushirika na kuchukua tuzo zilizoandaliwa zaidi ya miaka mitatu kuanzia kufanya utafiti katika kujenga tuzo zenye hadhi na heshima Barani Afrika,...

 

3 years ago

Bongo Movies

Ommy Dimpoz: Niko Tayari Kuoa Hata Sasa,Kama Nikipata…

Staa wa Bongo Fleva,Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amesema kuwa yuko tayari kuoa hata sasa hivi kama nikipata mtu sahihi katika maisha yake.

Ommy Dimpoz

Ommy Dimpoz akiwa na Mrembo

Ommy ameyazungumza hayo wakati akiitambulisha video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Achia Bodi’ kwenye kipindi cha Clouds360  cha Clouds Tv wakati alipoulizwa na mtangazaji kipindi hicho Hudson Kamoga kuwa anatarajia kuoa lini.

“Niko tayari kuoa hata sasa hivi kama nikipata mtu sahihi katika maisha yangu” Ommy Dimpoz.

Miezi ya hivi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani