BODI MPYA YA KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI (TIC) YAZINDULIWA JIJINI DAR

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza jambo na Mwenyekiti mpya wa bodi ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Prof. Lucian Msambichaka (wa pili kushoto) wakati alipozindua bodi mpya ya kituo hicho Jumatatu wiki hii jijini Dar es Salaam. Wengine ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu (kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Bi. Juliet kairuki (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Bw. Raymond Mushi (kushoto).  Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza jambo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

KITUO CHA UWEKEZAJI (TIC) YAWAFUNDA WAHARIRI WA HABARI MASUALA MBALIMBALI YA UWEKEZAJI HAPA NCHINI

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Uwekezaji (TIC), Clifford Tandari akifafanua jambo wakati wa Kangamano la pili la Wahariri wa Habari lililofanyika mapema leo kwenye Makao makuu ya Ofisi hizo jijini Dar.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
Bw. Tandari alieleleza lengo kubwa la kukutana na Wahariri na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali ni kuwaeleza na kuwafanya watambue fursa na mchango wa Kituo cha Uwekezaji wa kunadi miradi ya uwekezaji, Kuishauri Serikali kuhusiana na masuala mazima...

 

2 years ago

Michuzi

UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA ABU DHABI WATEMBELEA KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI (TIC) LEO

Meneja Uwekezaji Kimataifa wa Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC), Zacharia Kingu akifafanua jambo wakati akielezea fursa mbalimbali za uwekezaji zinazopatikana nchini kwa Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Abu Dhabi, walietembelea Kituo hicho leo Oktoba 27, 2016.Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari akiteta jambo na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje kitengo cha Mashariki ya Kati, Balozi Abdallah Kilima, katika Mkutano ulioikutanisha TIC na Ujumbe wa Wafanyabiashara...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MWIJAGE AZINDUA BODI MPYA YA TIC JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa Bodi mpya Kituo cha Uwekezaji (TIC )na tivuti ya jijini Dar es Salaam.
Akizungumza katika uzinduzi wa Bodi hiyo mapema hii leo, Mwijage amesema kuwa "Tunapambana kuondoa urasimu,tayari tumeanzisha kamati ya kitaifa ya kuhudumia wawekezaji na wajumbe ni taasisi zote zinazotoa huduma kwa wawekezaji, Mpaka sasa matokeo ni mazuri na tumeanza kupata ripoti za kutupongeza katika juhudi zetu za kuondoa...

 

2 years ago

Malunde

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MPYA WA MWENYEKITI WA BODI YA KITUO CHA UWEKEZAJI

Rais Magufuli amefanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) leo.

 

3 years ago

Michuzi

BODI MPYA YA NHIF YAZINDULIWA LEO JIJINI DAR

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akikata utepe kwenye vitabu ambavyo ni muongozo wa kazi kwa Bodi Mpya ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), ikiwa ni ishara ya Uzinduzi wa Bodi hiyo, uliofanyika leo Juni 11, 2016 kwenye Makao Makuu ya Mfuko huo, Kurasini Jijini Dar es salaam. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Michael John na Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya...

 

5 years ago

Dewji Blog

Kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC) chasajili miradi 885

DSC00437

Meneja Mawasiliano wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Pendo Gondwe (katikati), akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na usajili wa miradi 885 wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO), jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Ofisa Mwandamizi Huduma kwa Wawekezaji Kituo hicho, Patrick Chove na kulia ni  Ofisa Habari wa Idara ya Habari (MAELEZO), Frank Mvungi.(Picha na Maktaba).

Frank Mvungi-Maelezo

Kituo cha uwekezaji Tanzania chasajili (TIC)...

 

3 years ago

Dewji Blog

Kituo cha Uwekezaji (TIC) chatoa ufafanuzi tuhuma za gazeti la “THE ECONOMIST” la Uingereza

Serikali  imekanusha habari zilizoandikwa na gazeti la Kiingereza linalotpka kila wiki lililodai kuwa Rais Dk.John Magufuli anaongoza nchi kwa msukumo licha ya kuonekana mzuri na kuwa taarifa hiyo imelenga kuupotosha umma.

Habari iliyoandikwa kwenye gazeti hilo ilikuwa na kichwa kilicho andikwa “Government by gesture, A President who looks good but governs impulsively”

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo Juni 3.2016 wakati akitoa ufafanuzi wa habari hiyo Kaimu  Mkurugenzi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani