Boniface Mkwasa aahirisha kambi ya Taifa Stars

Kutokana na maombi ya klabu nyingi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kutaka kuandaa wachezaji kwa ajili ya Ligi Kuu msimu unaoanza sasa, umemlazimu Kocha Mkuu timu ya Mpira Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa kuahirisha kambi iliyokuwa ianze Jumatatu Agosti mosi, mwaka huu, imefahamika.

mkwasaserena

Wachezaji ambao Mkwasa amewaita wanatoka kwenye klabu mbalimbali na ambazo zinaongoza kutoa nyota wengi ni Simba SC, Young Africans SC, Azam FC na Mtibwa Sugar FC.

Hivyo basi, Mkwasa sasa...

Bongo5

Read more

Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

MKWASA AAHIRISHA KAMBI TAIFA STARS

Kutokana na maombi ya klabu nyingi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kutaka kuandaa wachezaji kwa ajili ya Ligi Kuu msimu unaoanza sasa, umemlazimu Kocha Mkuu timu ya Mpira Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa kuahirisha kambi iliyokuwa ianze Jumatatu Agosti mosi, mwaka huu, imefahamika.
Wachezaji ambao Mkwasa amewaita wanatoka kwenye klabu mbalimbali na ambazo zinaongoza kutoa nyota wengi ni Simba SC, Young Africans SC, Azam FC na Mtibwa Sugar FC.
Hivyo basi, Mkwasa sasa atakuwa...

3 years ago

Habarileo

Mkwasa aahirisha kambi Stars

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa, Taifa Stars, Charles Mkwasa ameahirisha kambi ya timu hiyo iliyokuwa ianze Dar es Salaam kesho.

2 years ago

MillardAyo

Kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa ameacha kazi

mkwasa1

January 2 2016 kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Charles Boniface Mkwasa ameachia nafasi hiyo, Mkwasa ameacha kazi ya kuifundisha Taifa Stars na sasa shirikisho la soka Tanzania TFF limethibitisha na kumtangaza mbadala wake. Mkwasa alikuwa na mkataba wa kuifundisha Taifa Stars hadi March 2017 lakini ameachia nafasi hiyo na nafasi yake, TFF wamemteua […]

The post Kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa ameacha kazi appeared first on millardayo.com.

2 years ago

Bongo5

TFF yamtangaza kocha mpya wa Taifa Stars, Boniface Mkwasa nje!

Kocha mzawa ambae ameiongoza timu ya taifa kwa muda mrefu Chalres Boniface Mkwassa, sasa hivi sio tena kocha wa timu yetu ya taifa.

Chalres Boniface Mkwassa

Taarifa hivi zimethibitishwa na rais wa TFF ndugu Jamal Malinzi kupitia ukurasa wa twitter. Jamal Malinzi ametoa taarifa hiyo kwa kuandika,“Mkataba wa TFF na Kocha Mkwassa,kwa makubaliano,umefikia mwisho leo.Salum Mayanga ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa muda wa Taifa Stars.”.

Ikumbukwe kamba kocha huyu alichukua mikoba kutoka kwa kocha Mart...

3 years ago

Dewji Blog

Klabu Ligi Kuu Tanzania Bara zamsababishia Mkwasa kuvunja kambi ya Taifa Stars

Kutokana na maombi ya klabu nyingi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kutaka kuandaa wachezaji kwa ajili ya Ligi Kuu msimu unaoanza sasa, umemlazimu Kocha Mkuu timu ya Mpira Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa kuahirisha kambi iliyokuwa ianze Jumatatu Agosti mosi, mwaka huu, imefahamika.

Wachezaji ambao Mkwasa amewaita wanatoka kwenye klabu mbalimbali na ambazo zinaongoza kutoa nyota wengi ni Simba SC, Young Africans SC, Azam FC na Mtibwa Sugar FC.

Hivyo basi, Mkwasa sasa...

4 years ago

Vijimambo

CHARLES BONIFACE MKWASA ATANGAZWA KUWA KOCHA MPYA STARS NA NOOIJ AWAGA WATANZANIA

 Rais wa TFF Jamal Malinzi akizungumza na waandishi wa habari wakati akimtangaza kocha mpya wa Stars, Charles Boniface Mkwasa. (Picha na Francis Dande) Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa 'Taifa Stars', Mart Nooij akizungumza na waandishi wa habari baada ya kibarua chake kuota mbawa.
 Rais wa TFF akitangaza kocha mpya wa taifa stars, Charles Boniface Mkwasa. Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa 'Taifa Stars', Mart Nooij akitafakari jambo wakati malinzi akitangaza nafasi yake kuchukuliwa na kocha...

2 years ago

Bongo5

Aliyekuwa kocha wa Taifa Star, Boniface Mkwasa atangazwa rasmi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa Jumanne hii ametangazwa rasmi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga.

Mkwasa mwenye taaluma ya ukocha daraja la kwanza la CAF, amewahi kuzifundisha klabu mbalimbali ikiwemo Yanga kwa vipindi tofauti na timu za taifa za wanaume na wanawake.

Kabla ya hapo, Mkwasa alikuwa kocha wa timu ya Taifa Stars kwa kipindi cha miezi 17 kabla ya TFF kusitisha mkataba wake mapema Januari 2017.

Makamu mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Clement Sanga...

4 years ago

Michuzi

MKWASA AITA 26 TAIFA STARS

Kocha Mkwasa (kushoto) na msaidizi wake Hemed Morocco wakiongea na waandishi wa habari.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 104
TAREHE 24 JUNI 2015
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine leo amemtambuisha kocha mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Charles Boniface Mkwasa mbele ya waandishi wa habari.

Akiongea na waandishi wa habari, Mwesigwa amewaomba wadau wa mpira wa miguu nchini kuwapa sapoti makocha hao wazawa wanaoanza kazi...

3 years ago

TheCitizen

Mkwasa: ‘Cannavaro’ still in my Taifa Stars plans

The national soccer team (Taifa Stars) head coach, Boniface Mkwasa, has expressed his disappointment with Nadir Haroub’s shock retirement, saying the defender’s services are still needed.

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani