BRAC YATOA VIFAA VYA SH MIL 69 KWA WASICHANA TANGA

SHIRIKA la Brac limetoa vifaa vya kazi vyenye thamani ya sh Mil 69 kwa wasichana 924 kwa ajili ya kuanza shughuli za ujasirimali ili kuweza kujikwamua kiuchumi .
Vifaa hivyo ambavyo vimetolewa maalum kupitia mradi wake wa kuwajengea uwezo na kujiajiri wasichana ambao wameshindwa kuendelea masomo ya sekondari mkoani Tanga.Akikabidhi msaada huo Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa alisema kuwa vifaa hivyo vitaweza kuwasaidia wasichana hao kuweza kujiendeleza kiuchumi kwa kujihakikishi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA BRAC LAKABIDHI VIFAA VYA MILIONI 153 KWA WASICHANA WAJASIRIAMALI 700 TANGA.Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi kushoto akimkabidhi cherehani cha kusonea nguo Aisha Mohamed wakati alipokwenda kuwakabidhi vifaa vyenye thamani ya sh.milioni 153 wasichana wajasiriamali 700 vilivyotolewa na Shirika la BRAC kwa wasichana waliopata mafunzo ya ujasiriamali na shirika hilo
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi kushoto akimkabidhi mashine ya kukaushia nywele mwanafunzi Thabituwa Shabani wakati wa halfa hiyo kulia ni Meneja Mipango wa Elimu...

 

2 years ago

Michuzi

Airtel yatoa vifaa vya michezo kwa Timu ya wasichana ya taifa ya Kilimanjaro Queens

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetoa vifaa vya michezo kwa timu ya taifa ya wanawake ya Kilimanjaro Queen kwa lengo la kuiwezesha timu hiyo kuwa na vifaa bora vitakavyowawezesha kuendelea kufanya vizuri katika michuano mbalimbali ndani na nje ya nchi 
Vifaa hivyo ambavyo ni pamoja na viatu vya mpira pair 20 na socks pair 40 vitawawezesha wachezaji hao kuondoka na changamoto ya vifaa vya michezo hususani viatu bora vya kuchezea mpira ambavyo ni nyenzo muhimi katika mchezo wa...

 

3 years ago

Michuzi

CCM ZANZIBAR YATOA MSAADA WA VIFAA VYA TSH MIL.5 KWA WAHANGA WA MAFURIKO NA KIPINDUPINDU

Katibu wa kamati maalum ya NEC, idara ya itikadi na uenezi CCM Zanzibar Bi, Waride Bakar Jabu akimkabidhi misaada Katibu mkuu wa ofisi ya makamo wa pili wa rais, Joseph Abdallah Meza kwa ajili ya kuwasaidia wahanga wa mafuriko waliopo kambi ya mwanakwere "C" Unguja.Katibu wa kamati maalum ya NEC, idara ya itikadi na uenezi CCM Zanzibar Bi, Waride Bakar Jabu akikagua wahanga wa mafuriko katika kambi ya mwanakwere zanzibar.Kambi ya kipindupindu iliyopo chumbuni Zanzibar.
CHAMA chama cha...

 

4 years ago

Michuzi

Airtel yatoa vifaa vya michezo vyenye thamani ya sh mil 15 kwa chuo kikuu cha Dar es saalam

 Meneja Masoko wa Airtel Tanzania, Aneth Muga (kushoto) akikabidhi jezi kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Yunus Mgaya, wakati Airtel ilipokikabidhi chuo hicho msaada wa vifaa vya michezo vyenye thamani ya milioni 15/-, jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya kuendesha mashindano yatakayoshirikisha vitivo mbalimbali inayotarajiwa kuanza Jumatatu Desema 08 mwaka huu. Wanaoshuhudia ni Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (wa pili kushoto) na Mratibu wa...

 

5 years ago

Michuzi

TBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI VYA SH. MIL 15 SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (katikati)akikabidhiwa vifaa vya usafi vyenye thamani ya sh.mil. 15 na Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu katika hafla iliyofanyika, Ilala, Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani. Wafanyakazi wa TBL walishiriki kufanya usafi eneo la Karume, Ilala. Kushoto ni Meneja  Uhusiano wa TBL, Emma Oriyo.  Meneja wa Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL), Emma Oriyo ...

 

5 years ago

GPL

TBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI WA MAZINGIRA VYA SH MIL 15 MANISPAA YA ILALA

 Meneja wa Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL), Emma Oriyo (kushoto) akishiriki na viongozi mbalimbali kufanya usafi, Ilala, Dar es Salaam juzi, katika  maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani Dar es Salaa
 Meneja wa Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL), Emma Oriyo (kushoto) akishiriki na viongozi mbalimbali kufanya usafi, Ilala, Dar es Salaam juzi, katika  maadhimisho ya Siku...

 

3 years ago

CCM Blog

CCM ZANZIBAR YATOA MSAADA WA VIFAA VYA TSH MIL.5 KWA WAHANGA WA MAFURIKO NA KIPINDUPINDU ZANZIBAR


 Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar Bi, Waride Bakar Jabu akimkabidhi misaada Katibu mkuu wa ofisi ya makamo wa pili wa rais, Joseph Abdallah Meza huko kwa ajili ya kuwasaidia wahanga wa mafuriko waliopo kambi ya Mwanakwere "C" Unguja.
 Katibu wa kamati maalum ya NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar Bi, Waride Bakar Jabu akiwafariji wahanga wa mafuriko katika kambi ya mwanakwere Zanzibar.

 Kambi ya kipindupindu iliyopo Chumbuni Zanzibar.

Na...

 

2 years ago

Dewji Blog

Standard Chartered yatoa msaada wa vifaa vya afya vyenye thamani ya mil. 300

Benki ya Standard Chartered imemkabidhi Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu msaada wa vifaa vya huduma ya macho vyenye thamani ya zaidi ya milioni 300 ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wake wa ‘ Kuona ni Kuamini’

Mkurugenzi wa Standard Chatered, Sanjay Rughan amesema idadi ya vifaa hivyo ni 31 na kwamba zipo Mashine za kufanya uchunguzi na kutibu macho ambavyo kwa upande wa Dar es Salaam baadhi vitapelekwa katika hospitali za wilaya ya Kinondoni,...

 

4 years ago

Michuzi

TBL YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA SH. MIL. 22 KITUO CHA AFYA KAMBI YA SIMBA,KARATU

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin akikabidhi baadhi ya vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba wilayani Karatu mkoani Arusha kwa baadhi ya viongozi wa Serikali ya Kijiji hicho, ambapo Kampuni hiyo ya Bia ilitoa vifaa vyenye thamani ya Sh.Milioni 22. Mwananchi wa Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu ambacho ni maarufu kwa ulimaji wa zao la Shayiri akimkabidhi Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani