Brazil kufungua ubalozi Jerusalem

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema Brazil itahamishia ubalozi wake Jerusalem baada ya tarehe rasmi muamuliwa.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

VOASwahili

Uturuki yapanga kufungua ubalozi Jerusalem mashariki

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema Jumapili ana matumaini ya kufungua ubalozi wa Uturuki katika taifa la Palestina ndani ya Jerusalem Mashariki

 

1 year ago

Zanzibar 24

Marekani Kufungua ubalozi mpya leo Jerusalem

Hatimaye Serikali ya Marekani inatarajia kufungua ubalozi wake mpya mjini Jerusalem hatua ambayo imesifiwa na Israel na kulaaniwa na Wapalestina ambao wanakusanyika kwa maandamano makubwa.

Maafisa wa vyeo vya juu kutoka Marekani watahudhuria sherehe hiyo leo akiwemo binti ya Rais wa Marekani Donald Trump Ivanka na mumewe Jared Kushner.

Wengi wa maafisa kutoka Muungano wa Ulaya hawatahudhuria.

Uamuzi wa Trump wa kuhamisha ubalozi huo kutoka Tel Aviv umegadhabisha Wapalestina amboa wanadai...

 

1 year ago

BBCSwahili

Marekani kufungua ubalozi mpya leo mjini Jerusalem

Ubalozi wa mdogo utaanza kutoa huduma kuanzia leo Jumatatua kwenye jengo la ofisi za ubalozi mjini Jerusalem.

 

1 year ago

BBCSwahili

Je,ubalozi wa Marekani utahamia Jerusalem?

Ikulu ya White House imethibitisha kuwa rais Donald Trump atazungumza leo juu ya kutangaza rasmi kuhamishia kwa ubalozi wa Marekani Jerusalem

 

1 year ago

VOASwahili

Ubalozi wa Marekani wahamia Jerusalem

Marekani imehamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv kwenda Jerusalem.

 

2 years ago

BBCSwahili

Ubalozi wa Marekani Israel, kuhamia Jerusalem?

Ikulu ya Marekani imesema itaanza mazungumzo kuuhamisha Ubalozi wake nchini Israel kutoka Tel Aviv kwenda Jerusalem.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Guatemala kuhamishia ubalozi wake Jerusalem

Rais wa Guatemala Jimmy Morales ameamrisha ubalozi wa nchi hiyo nchini Israel kuhamishwa kwenda Jerusalen.

Katika ujumbe kupitia Facebook, Bw. Morales alisema kuwa hatua hiyo ilichukuliwa baada ya kuzungumza na waziri mkuu Benjamin Netanyahu.

Wiki iliyopita Guatemala ilikuwa moja ya nchi tisa zilizopiga kura kupinga azimio la Umoja wa Mataifa la kuitaka Marekani kufuta hatua ya kuitambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel.

Donald Trump alitishia kupunguza misaada kwa nchi ambazo zilipiga kura...

 

1 year ago

VOASwahili

Ubalozi wa Marekani kuhamia Jerusalem 2019

Ubalozi wa Marekani utafunguliwa mjini Jerusalem kabla ya mwisho wa mwaka 2019, makamu rais Mike Pence amesema.

 

1 year ago

BBCSwahili

Guatemala kuhamisha ubalozi wake kwenda Jerusalem

Rais wa Guatemala Jimmy Morales m,aemrisha ubalozi wa nchi hiyo nchini Israel kuhamishwa kwenda Jurusalen.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani