Breaking : MKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO ATUMBULIWA USIKU HUU


Waziri wa wizara ya kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mjini Dodoma, Jumamosi 21 Aprili 2018. 
****Waziri wa wizara ya kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Methew Mtigumwe kusitisha mkataba wa kazi wa Mkurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania Ndg Hassan Jarufo.
Waziri Tizeba ametoa agizo hilo kwa katibu mkuu wa wizara hiyo leo Jumamosi 21 Aprili 2018 wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

PM Majaliwa amweka kitimoto Mkurugenzi wa Bodi ya Korosho

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema atamuita Mkurugenzi wa Bodi ya Korosho, Bw. Hassan Jarufo ili aje amueleze ni kwa nini wakulima wa zao hilo wanacheleweshewa malipo yao kinyume na maagizo ya Serikali.

Ametoa kauli hiyo leo mchana wakati akizungumza na viongozi na watendaji wa mkoa wa Lndi mara baada ya kupokea taarifa ya mkoa huo kwenye Ikulu ndogo wilayani Nachingwea. Waziri Mkuu amewasili wilayani Nachingwea akiwa njiani kuelekea Ruangwa kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka.

“Niliagiza...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI TIZEBA AAGIZA MKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO KUSIMAMISHWA KAZI

Waziri wa wizara ya kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mjini Dodoma, Jumamosi 21 Aprili 2018. Waandishi wa habari wakisikiliza kwa makini taarifa ya Waziri wa wizara ya kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba ofisini kwake mjini Dodoma, Jumamosi 21 Aprili 2018.Katibu Mkuu wa wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe akisikiliza maagizo ya kusitisha mkatanba wa kazi wa Mkurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania, Leo Jumamosi 21 Aprili 2018.
Na Mathias Canal,...

 

2 years ago

MillardAyo

BREAKING: Freeman Mbowe arudishwa Polisi usiku huu

Sakata la dawa za kulevya bado lipo kwenye vichwa vya habari Tanzania ambapo Jumatatu ya February 20 2017 imemuhusu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe aliyefika Polisi kwa mahojiano. Jioni ya Jumatatu Mbunge huyo wa Hai Kilimanjaro alichukuliwa na Polisi kwenye msafara wa magari yasiyopungua matatu ambapo iliripotiwa baadae kwamba Polisi […]

The post BREAKING: Freeman Mbowe arudishwa Polisi usiku huu appeared first on millardayo.com.

 

5 years ago

Michuzi

Breaking Nyuzzzzz: wananchi Kibaigwa wafunga barababa usiku huu

Wananchi wa kijiji cha kibaigwa wamefunga Barabara kuu ya Morogoro kwende Dodoma usiku huu, kwa madai ya kutaka kupunguzwa Kwa ushuru wa mazao na kuamua kufunga barabara hiyo ili waweze kuonana na uongozi wa juu wa Serikali ili kusikiliza mahitaji yao ambayo wanadai hayajawahi fanyika kazi na viongozi wa Kijiji. 
Kinachoendelea hivi sasa ni Jeshi la Polisi likijaribu kuwatawanya wananchi hao kwa kutumia mabobu ya machozi.
Wananchi hao wamejikusanya kuwatawanya kwa wingi katika eneo hilo...

 

5 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ.....: MZEE SMALL AFARIKI DUNIA USIKU HUU

MUIGIZAJI MKONGWE HAPA NCHINI,SAID NGAMBA MAARUFU KWA JILA LA MZEE SMALL AMEFARIKI DUNIA USIKU WA LEO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI ALIKOKUWA AMELAZWA AKIPATIWA MATIBABU.
AKITHIBITISHA TAARIFA YA KIFO CHA MZEE SMALL,MWANAE AITWAE MAHMOUD AMESEMA MZEE WAKE AMEFIKWA NA MAUTI HAYO MAJIRA YA SAA NNE USIKU WAKATI AKIWA HOSPITALINI HAPO AKIENDELEA KUPATIWA MATIBABU.
MIPANGO INAFANYIKA NYUMBANI KWAO TABATA NA KADRI TAARIFA ZITAKAVYOKUWA ZIKITUFIKIA TUTAENDELEA KUJULISHANA.
NI PIGO...

 

3 years ago

MillardAyo

BREAKING: Tetemeko jingine la ardhi latokea Bukoba usiku huu

swe2111

September 10 2016 lilitokea tetemeko kubwa la ardhi kanda ya ziwa Tanzania na kusababisha vifo vya watu sita kwa mujibu wa Polisi, sasa basi tumepata taarifa nyingine  inasema kwamba muda huu majira ya saa tano kasoro usiku Sept 11, 2016  limetokea tetemeko la pili. AyoTV na millardayo.com zinaendelea kufatilia taarifa zaidi na utaendelea kuzipata kadri […]

The post BREAKING: Tetemeko jingine la ardhi latokea Bukoba usiku huu appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

BREAKING: Taarifa iliyotolewa na Ikulu saa saba za usiku huu

Usiku wa saa saba na dakika moja kuamkia tarehe 11 June 2017 imetoka taarifa kutoka IKULU Dar es salaam ikiwa na taarifa ya maamuzi mapya ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa. Taarifa hiyo imeeleza kwamba Waziri Mkuu Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati […]

The post BREAKING: Taarifa iliyotolewa na Ikulu saa saba za usiku huu appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

BREAKING: Waziri Jenister Mhagama kafanya maamuzi NSSF usiku huu

breaking 1

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenister Mhagama ametengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Dkt. Carina Wangwe uliotangazwa leo Dar es salaam. Taarifa iliyotolewa usiku huu imeeleza kuwa uteuzi huo umetenguliwa kutokana na kutokamilika kwa baadhi ya taratibu, uteuzi […]

The post BREAKING: Waziri Jenister Mhagama kafanya maamuzi NSSF usiku huu appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

BREAKING: Majambazi wanne wauawa na Polisi Kariakoo DSM usiku huu

Jeshi la polisi Dar es salaam limewaua majambazi wanne ambao walikuwa wakivamia maduka Kariakoo, Mtaa wa Aggrey/ Livingstone. Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa majibizano ya risasi kati ya polisi na majambazi yamechukua takribani dakika 10. Kingine walichokieleza mashuhuda ni kuwa kuna baadhi ya watu waliokuwa eneo la tukio wamejeruhiwa na risasi ambapo mmoja wao […]

The post BREAKING: Majambazi wanne wauawa na Polisi Kariakoo DSM usiku huu appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani