BREAKING: Freeman Mbowe arudishwa Polisi usiku huu

Sakata la dawa za kulevya bado lipo kwenye vichwa vya habari Tanzania ambapo Jumatatu ya February 20 2017 imemuhusu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe aliyefika Polisi kwa mahojiano. Jioni ya Jumatatu Mbunge huyo wa Hai Kilimanjaro alichukuliwa na Polisi kwenye msafara wa magari yasiyopungua matatu ambapo iliripotiwa baadae kwamba Polisi […]

The post BREAKING: Freeman Mbowe arudishwa Polisi usiku huu appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Polisi wamwachia Freeman Mbowe usiku wa manane

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ameachiwa saa saba na robo usiku wa kuamkia leo baada ya kuhojiwa na Jeshi la Polisi.

Mbowe alikamatwa Jumatatu hii jioni wakati akienda kujisalimisha polisi na kupekuliwa nyumbani kwake kabla ya kuhojiwa hadi alipoachiwa usiku. Ofisa habari wa chama hicho, Tumaini Makene ameithibitishia Mwananchi Digital taarifa za kuachiwa mwanasiasa huyo kuwa ni za kweli.

Hata hivyo, taarifa iliyosambazwa na Naibu Katibu Mkuu wa...

 

2 years ago

MillardAyo

BREAKING: Majambazi wanne wauawa na Polisi Kariakoo DSM usiku huu

Jeshi la polisi Dar es salaam limewaua majambazi wanne ambao walikuwa wakivamia maduka Kariakoo, Mtaa wa Aggrey/ Livingstone. Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa majibizano ya risasi kati ya polisi na majambazi yamechukua takribani dakika 10. Kingine walichokieleza mashuhuda ni kuwa kuna baadhi ya watu waliokuwa eneo la tukio wamejeruhiwa na risasi ambapo mmoja wao […]

The post BREAKING: Majambazi wanne wauawa na Polisi Kariakoo DSM usiku huu appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Michuzi

Breaking nyuzzzz.......: Askari Polisi auawa kwa kapigwa risasi jijini Dar usiku huu

Taarifa iliyotufikia usiku huu, inaeleza kuwa Askari mmoja wa Kikosi cha Usalama Barabarani aliyetambulika kwa jina la Sajenti Mensah wa Kituo cha Polisi cha Oysterbay Kinondoni Jijini Dar es salaam, ameuawa usiku huu kwa kupigwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa ni wahalifu wakati akiwa kazini katika eneo la Sayansi Kijitonyama.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Christopher Fuime amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, ambapo amesema kuwa tukio hilo lilitokea majira ya saa mbili...

 

2 years ago

Mwananchi

Freeman Mbowe aachiwa usiku ‘mnene’

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ameachiwa saa saba na robo usiku wa kuamkia leo baada ya kuhojiwa na Jeshi la Polisi.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Freeman Mbowe ashindwa kuripoti polisi

Viongozi wa Chadema waliotakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi leo Jumanne Machi 13, 2018 wametakiwa kufika tena kituoni hapo Machi 16, 2018.

Licha ya kutakiwa kuripoti viongozi saba, waliofanikiwa kufika kituoni hapo ni Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji na naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar, Salum Mwalimu.

Viongozi wengine watano akiwemo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe wameshindwa kuripoti kutokana na kuhudhuria vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge vilivyoanza leo...

 

2 years ago

MillardAyo

Polisi wamethibitisha kukamatwa kwa Freeman Mbowe

Leo February 20 2017 Kamishna wa kanda maalumu Dar es salaam Simon Sirro amethibitisha kukamatwa kwa mwenyekiti wa chama cha cha Demokrasia na Maendeleo “CHADEMA”. Kwa upande wake msemaji wa CHADEMA Boniface Makene, akizungumza na millardayo.com amesema Freeman Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano. Ulikosa kauli ya Polisi baada ya Mbowe kutotokea Central Jumatano? […]

The post Polisi wamethibitisha kukamatwa kwa Freeman Mbowe appeared first on...

 

2 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZ: Makonda ataja watuhumiwa wengine 65 wa Dawa za Kulevya. Wamo Freeman Mbowe, Mchungaji Gwajima, Yusuf Manji, Idd Azzan.

Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam,Paul Makonda amewataja watuhumiwa 65 wa Dawa za Kulevya,katika majia hayo ametajwa Freeman Mbowe,Mchungaji Gwajima,Yusuf Manji,Idd Azzan.

Akizungumza na waandishi wa habari Ofisi kwake mapema leo jijini Dar,RC Makonda ameingia katika awamu ya pili ya kutaja majina hayo na kuyaweka hadharani,huku akieleza kuwa watuhumiwa hao watatakiwa kufika kituo cha polisi kati siku ya Ijumaa,saa tano asubuhi kwa mahojiano zaidi.
Katika hatua nyingine RC Makonda amekiri...

 

3 years ago

Global Publishers

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aitwa Polisi Dar

MBOWE3

UJUMBE ALIOANDIKA MBOWE KWENYE UKURASA WAKE WA TWITTER

Jana usiku nilipata wito nikitakiwa kwenda Polisi Kanda Maalum Ya Dar es salaam na Zonal Crime Officer Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamanda Wambura, akihitaji nifike leo Jumamosi 30/07/2016, lakini leo nipo Marangu Kilimanjaro kuhudhuria maziko ya Baba yake mzazi Devotha Minja, Mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA.

Na kesho Jumapili 31/07/2016 nitakuwa katika shughuli za kuuaga mwili wa mfanyakazi mwenzetu na aliyekuwa mpiga picha...

 

3 years ago

CHADEMA Blog

KAULI YA MH FREEMAN MBOWE KUHUSU WITO WA KUHOJIWA NA POLISI

Jana usiku nilipata wito nikitakiwa kwenda Polisi Kanda Maalum Ya Dar es salaam na Zonal Crime Officer Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamanda Wambura, akihitaji nifike leo Jumamosi 30/07/2016, lakini leo nipo Marangu Kilimanjaro kuhudhuria maziko ya Baba yake mzazi Devotha Minja, Mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA.Na kesho Jumapili 31/07/2016 nitakuwa katika shughuli za kuuaga mwili wa

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani