BREAKING: HAJI MANARA AFUNGIWA MIEZI 12 NA FAINI YA SHILINGI MILIONI 9 KWA UTOVU WA NIDHAMU

Msemaji wa Simba Haji Sunday Manara amefungiwa kutojihusisha na mchezo wa soka kwa muda wa miezi 12 na kutakiwa kulipa faini ya shilingi tisa , kwa utovu wa nidhamu wa kutoa matamshi yasiyo staha kwa viongozi wa TFF pamoja na vyombo vya uongozi wa mchezo huo. Makamu  Mwenyekiti wa kamati ya nidhamu ya TFF Wakili msomi Jerome msoma pia amesema Haji Manara anaweza kukata rufaa.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Haji Manara atupwa jela ya soka, Afungiwa miezi 12 na Faini ya Sh. Milioni 9

Manara

Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Tff imemuhukumu msemaji wa klabu ya soka ya Simba Haji Manara adhabu ya kutojihusisha na mpira wa miguu kwa muda wa miezi 12, pamoja na faini ya shilingi milioni tisa kufuatia kuhusishwa kwake na madai ya kulitolea lugha ya uchochezi shirikisho hilo na madai ya kuhusika na rushwa.

Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kumailizika kikao cha kujadili makosa ya msemaji huyo wa Simba Makamu mwenyekiti wa Kamati hiyo Wakili...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mchezaji wa Malindi apigwa faini kwa utovu wa nidhamu

Uongozi wa timu ya Malindi inayoshiriki ligi kuu soka ya Zanzibar imechukizwa na kitendo kilichofanywa na mchezaji wao Mussa Moh’d Mrisho kwenye pambano la ligi kuu ya soka Zanzibar lililochezwa juzi saa 10 alasiri katika uwanja wa Amaan ambapo Malindi waliichapa Kimbunga mabao 6-1.

 

Mchezaji huyo alifanyiwa mabadiliko na Kocha wake Saleh Machupa kwa kumuingiza dimbani Moh’d Nyasa lakini kitendo hicho kilionekana kumuudhi mchezaji huyo ndipo hapo alikataa kupokea mkono wa kocha wake baada...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Adhabu aliyopewa Haji Manara wa Simba na kamati ya nidhamu ya TFF

Leo April 23 2017 hukumu ya mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba Haji Manara imetangazwa rasmi na kamati ya maadili ya TFF, baada ya mtuhumiwa Haji Manara kushindwa kufika katika kamati ya maadili kujieleza kwa madai amepata dharura na kusafiri kwenda Zanzibar katika matatizo ya kifamilia. Manara wa Simba aliitwa na kamati […]

The post VIDEO: Adhabu aliyopewa Haji Manara wa Simba na kamati ya nidhamu ya TFF appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Malunde

HAJI MANARA AACHIWA HURU NA KAMATI YA NIDHAMU TFF KUITUMIKIA SIMBA SC
Wote wanaofatilia soka mnajua kwamba Mkuu wa kitengo cha Habari wa Simba SC Haji S. Manara alipewa kifungo kama adhabu na TFF siku zaidi ya 70 zilizopita lakini leo imekuja habari mpya kuhusu kifungo hicho.

Habari yenyewe ni kwamba Haji Manara ameachiwa huru na kamati ya nidhamu ya TFF na sasa ataendelea na majukumu yake kama kawaida.
Simba SC imethibitisha taarifa hiyo kwa kusema “Kamati ya nidhamu ya TFF imemuachia huru mkuu wa kitengo cha Habari wa klabu ya Simba Haji Manara sasa kuendelea...

 

2 years ago

Michuzi

KAMATI YA NIDHAMU YAMFUNGULIA HAJI MANARA, SASA RUKSA KUREJEA KATIKA NAFASI YAKE SIMBA


Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imefuta adhabu dhidi ya wanafamilia wanne waliofungiwa kushiriki masuala la soka kwa mwaka mmoja.
Wanafamilia hao ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Rukwa, James Mwakwinya; Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Rukwa (RUREFA), Blassy Kiondo; Kaimu Katibu wake, Ayoub Nyaulingo pamoja na Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara.
Haji Manara alitiwa hatiani Aprili 23, mwaka huu kwa makosa ya...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: TFF walivyotangaza kuipiga faini Simba, Haji Manara na Azam FC

1466270300491a-1

Shirikisho la soka Tanzania TFF leo October 5 2016 kupitia kwa afisa habari wake Alfred Lucas imetangaza maamuzi yaliofikiwa na kamati kuhusiana na mchezo wa Simba naYanga uliochezwa October 1 2016 na kumalizika kwa sare ya goli 1-1 na mashabiki waSimba kuvunja viti kutokana na refa Martin Saanya kukubali goli la Amissi Tambwealiyekuwa amehushika mpira. ALL […]

The post VIDEO: TFF walivyotangaza kuipiga faini Simba, Haji Manara na Azam FC appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

Mwananchi

Kangezi afungiwa miezi sita, faini Sh200,000

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imemfungia miezi sita kutojihusisha na masuala ya soka na faini ya Sh200,000 mmiliki wa klabu ya African Lyon, Rahim Kangezi kutokana na utovu wa nidhamu.

 

2 years ago

MillardAyo

BREAKING: “Hans Pope amefuta uamuzi wa kujiuzulu uongozi Simba” – Haji Manara

Baada ya kuripotiwa taarifa za kujiuzulu kwa Hans Pope Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Simba, leo Jumatatu May 15, 2017 ripoti mpya kutoka kwa Afisa Habari wa club hiyo Haji Manara kutoka kwenye Instagram yake ameandika kuwa kiongozi huyo amefuta uamuzi wake. Kupitia Instagram Haji Manara ameandika >>> Rasmi Hanspope arejea kundini, afuta uamuzi wake wa […]

The post BREAKING: “Hans Pope amefuta uamuzi wa kujiuzulu uongozi Simba” – Haji Manara appeared first on...

 

3 years ago

Michuzi

NAY WA MITEGO AFUNGIWA, ATOZWA FAINI YA TSH. MILIONI 1.Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki (Ney wa Mitego).Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia kwa kipindi kisichojulikana Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kwa jina la Nay wa Mitego hadi hapo litakapojiridhisha kwamba ametekeleza maagizo yote aliyopewa na Baraza sambamba na yeye kubadilika katika kubuni kazi zenye maadili na zisizo dhalilisha watu wa kada mbalimbali.
Maagizo aliyopewa Msanii Nay ni pamoja na kulipa faini (adhabu) ya kiasi cha...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani