Breaking News !! RAIS MAGUFULI ATUMBUA WAKURUGENZI WA HALMASHAURIMalunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

Breaking News : RAIS MAGUFULI AWAFUKUZA KAZI WAKURUGENZI WA MANISPAA YA BUKOBA NA BUKOBA VIJIJINI


Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Bukoba bwana Erato Aron Mfugale na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bukoba Vijijini Bi Mwantum Kitwana Dau.

 

2 years ago

Malunde

RAIS MAGUFULI ATUMBUA MKURUGENZI MWINGINE WA HALMASHAURI

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 09 November 2017 ametengua uteuzi wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru Bwana Abdallah Hussein Mussa kwa kushindwa kumudu majukumu yake.

 

3 years ago

Dewji Blog

BREAKING NEWS: Meya Kinondoni atumbua majipu, yupo Mwanasheria Mkuu Mahenge

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mh. Boniface Jacob mapema leo Mei 5.2016 ametangaza kuwasimamisha kazi  kwa watumishi wawili wa Manispaa ya Kinondoni, akiweo Mwanasheria Mkuu BW. Burton Mahenge na Mthamini wa Manispaa Bw. Einhard Chidaga baada ya Madiwani kuamua kwa kauli moja kuwachukulia hatua hiyo.

Akisoma taarifa na nyaraka mbalimbali mbele ya wanahabari, Mh. Boniface Jacob alieleza kuwa: Kikao cha Kamati ya fedha na Uongozi cha tarehe 29/04/2016, kiliagiza kuwa yaorodheshwe mashauri yote...

 

1 year ago

Malunde

RAIS MAGUFULI AWATUMBUA WAKURUGENZI WAWILI WA HALMASHAURI

Rais John Magufuli amewasimamisha kazi wakurugenzi wawili wa halmashauri za Kigoma Ujiji, Boniface Nyambe na Daud Mlahagwa (Pangani).
Rais Magufuli ametoa uamuzi huo leo Jumanne Machi 27, 2018 wakati akipokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad iliyobaini madudu katika ukaguzi wa serikali za mitaa na mashirika ya umma.

“Kuanzia leo mkurugenzi wa Pangani na Kigoma Ujiji wasimamishwe kupisha uchunguzi, uchunguzi ufanyike kuanzia leo lazima...

 

1 week ago

MwanaHALISI

Rais Magufuli ang’oa wakurugenzi wawili wa Halmashauri

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe na Uyui mkoani Tabora. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu, Gerson Msigwa, inaeleza kwamba Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Adelius Makwega na Mkurugenzi ...

 

3 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI ATEUA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI WA MAJINI, MANISPAA NA WILAYA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Description: Description: Description: Description: Description: Coat of ArmsKURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU

Simu: 255-22-2114512, 2116898

E-mail: press@ikulu.go.tz

Tovuti : www.ikulu.go.tz              

Faksi: 255-22-2113425


OFISI YA RAIS,

      IKULU,

 1 BARABARA YA BARACK OBAMA,  

11400 DAR ES SALAAM.

Tanzania.

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Julai, 2016 amefanya uteuzi wa wakurugenzi wa halmashauri za majiji 5, Manispaa 21, Miji 22 na Wilaya...

 

4 years ago

GPL

BREAKING NEWS: DK. MAGUFULI NDIYE RAIS

Dk. John Pombe Magufuli. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Dk. John Pombe Magufuli kuwa ndiye Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 8,882,935  sawa na asilimia 58.46%.

 

3 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli awataka wakurugenzi wa halmashauri nchini kuondoa kero za wananchi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka Wakurugenzi Watendaji wa Halmshauri zote nchini kuondoa kero za wananchi na si kuwaongezea kero.

Hayo ameyasema leo kwenye hafla ya Kiapo cha Uadilifu wa Utumishi wa umma iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

“Anzisheni miradi inayotatua kero za wananchi na si kuwaongezea kero, kila eneo lina kero zake hivyo jitahidini kuziondoa,”alisema Rais Magufuli.

Amewataka Wakurugenzi hao kufanya kazi kwa bidii kwa...

 

2 years ago

Malunde

RAIS MAGUFULI KUWAFUKUZA KAZI WAKURUGENZI WANNE WA HALMASHAURI KWA ULEVI

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameahidi kuwafukuza kazi Wakurugenzi wa halmashauri wanne kwa ulevi wa pombe pindi wawapo makazini.

Rais Magufuli amesema hayo alipokuwa kwenye Mkutano wa 33 wa Jumuiya Ya Tawala za Mitaa (ALAT) ambao uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam na kusema amepata taarifa kuwa wapo Wakurugenzi kadhaa ambaio ni walevi na kudai wasipobadilika ndani ya muda mfupi atawafukuza kazi.

"Nimepata taarifa ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani