Breaking News: LAWRENCE MASHA AJIONDOA CHADEMA

ALIYEKUWA mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Lawrence Masha, leo amejiondoa katika chama hicho na amesema atatafakari mustakabali wa kujiunga na chama cha siasa kingine. Pia amempongeza Rais John Magufuli kwa kutekeleza mambo ambayo waliyokuwa wanayapigia kelele wapinzani ambayo viongozi waliopita hawakuyatekeleza.

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Malunde

Breaking News " DAVID KAFULILA NAYE AJIONDOA CHADEMA


Mwanasiasa maarufu wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini David Kafulila leo Jumatano Novemba 22,2017 ametangaza kujivua uwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kwa kile alichosema hana imani na vyama vya upinzani kama jukwaa salama la kupambana na ufisadi nchini Tanzania. 

Kafulila amejiondoa CHADEMA na baada ya maamuzi hayo ameeleza sababu kwamba kwa sasa vyama vya upinzani vinaonekana kupigwa ganzi na kupooza katika juhudi zake za kupambana na ufisadi...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Viongozi wa CHADEMA wamjibu Lawrence Masha kwa kujiuzulu

Baadhi ya wabunge na viongozi wa CHADEMA wametoa maoni yao Kwenye kurasa zao mbali mbali za mitandao ya kijamii baada ya mwanachama wao Lawrence Masha kujivua uanachama akisema CHADEMA haina malengo ya kushika dola, kama vyama vyengine.

 Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, ameandika ujumbe akisema safari ya kupigania usawa na haki ni safari ndefu, kwa yeye mwanaume kushindwa kuhimili safari hiyo ni aibu kwani kuna wananwake ambao bado wanaendelea kuhimili ugumu wa safari.

“Lawrence...

 

3 years ago

Vijimambo

MH.LAWRENCE MASHA NA VIONGOZI WENGINE WA CCM WAAHAMIA CHADEMA LEO

Kwa taarifa zilizotufikia leo kutoka Mkoani Arusha zinasema kuwa aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya ndani Mh.Lawrence Masha kakihama Chama cha Mapinduzi na kujiunga na CHADEMA leo.Pia Wanachama wa (CCM) na viongozi ambao ni Daniel Porokwa aliyekuwa katibu wa CCM mkoani Manyara, Robinson aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Arusha, aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa Arusha, Goodluck Sipira aliyekuwa katibu wa CCM mkoani  Arusha huyu anatokea Longido, Wazee wa kimila wa kimasai  pamoja na Wazee wa...

 

10 months ago

Malunde

WABUNGE WA CHADEMA WAJIBU TUHUMA ZA LAWRENCE MASHA KURUDI CCM

Baadhi ya wabunge na viongozi wa CHADEMA wametoa maoni yao baada ya mwanachama wao Lawrence Masha kujivua uanachama na kujibu tuhuma alizozitoa zikiwa kama sababu za kujivua kwake.

Kwenye kurasa zao mbali mbali za mitandao ya kijamii Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema, ameandika ujumbe akisema safari ya kupigania usawa na haki ni safari ndefu, kwa yeye mwanaume kushindwa kuhimili safari hiyo ni aibu kwani kuna wanawake ambao bado wanaendelea kuhimili ugumu wa safari.

“Lawrence Masha ,...

 

3 years ago

GPL

LAWRENCE MASHA AFIKISHWA MAHAKAMANI JIJINI DAR

Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Lawrence Masha . Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mwanachama wa CHADEMA, Lawrence Masha jana alikamatwa na Jeshi la Polisi, leo amefikishwa Mahakama ya Kisutu Jijini Dar Anashtakiwa kwa kosa la kuzuia Polisi wasitimize majukumu yao(Obstructrion of Justice)

 

10 months ago

Zanzibar 24

Baada ya katambi, Albert Msando na Lawrence Masha wakimbilia CCM

Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA, Lawrence Masha ameomba kupokelewa katika chama chake cha zamani cha CCM alichokihama wakati wa Uchaguzi mkuu mwaka 2015.

Lawrence Masha

Lawrence Masha amejiunga leo jumanne na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika vikao vya Chama hicho vinavyoendelea Ikulu jijini Dar es salaam  na kusema kuwa ”Nimekuja hapa kuwaombeni mnipokee mwana mpotevu nimerudi, Niko imara na nitakuwa mwaminifu kwa CCM.”

Naye, Wakili Msomi aliyewahi kuwa mshauri wa Chama cha ACT Wazalendo,...

 

2 years ago

MillardAyo

AUDIO: Kesi iliyokuwa ikimkabili Lawrence Masha na wenzake yatolewa uamuzi

masha 3

Leo July 27 2016 mahakama ya wilaya ya Mpanda imetoa uamuzi wa kesi iliyokuwa ikimkabilia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Nyamagana Mwanza Lawrence Kego Masha na washtakiwa wengi ambao ni Viongozi wa Chadema Jimbo la Nsimbo, Katavi. Mahakama hiyo imewakuta washtakiwa kutokuwa na hatia katika makosa mawili ya kula njama ili kutenda kosa na Kuhutubia […]

The post AUDIO: Kesi iliyokuwa ikimkabili Lawrence Masha na wenzake yatolewa uamuzi appeared first on...

 

3 years ago

Michuzi

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Lawrence Masha alipoachiwa baada ya kukamilisha masharti ya dhamana.

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Lawrence Masha Akifurahia Jambo na Wakili  Peter kibatala(wa kwanza kulia)   na Albart Msando (wa pili kushoto) Masha aliyevaa tisheti jeusi suruali ya jinsi ya rangi ya Bluu akifurahia jambo  na mawakili na marafiki zake  muda mfupi baada ya kupata dhamana-- Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Lawrence Masha (45) baada ya kukamilisha masharti ya dhamana.
Masha alifikishwa mahakamani hapo jana...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani