BREAKING NEWS:Hatimaye Profesa Muhongo aachia ngazi

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amejiuzulu nafasi yake baada ya kile alichosema ni kuandamwa kila kona kuhusu sakata la Akaunti ya Escrow huku akisisitiza kuwa yeye hahusiki hata kidogo na kashfa hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

Michuzi

BREAKING NEWS:: ZINEDINE ZIDANE AACHIA NGAZI REAL MADRID

Na Bakari Madjeshi, Globu ya JamiiAliyekuwa Kocha Mkuu wa Real Madrid, Zinedine Zidane 'Zizzou' mchana wa leo ametangaza kuachia ngazi kama Kocha Mkuu wa kikosi hivyo baada yakutwaa mataji matatu mfululizo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA CHAMPIONS LEAGUE).
Zidane (45) alijiunga na Real Madrid mwaka 2014 akianza kukinoa kikosi cha Castilla (Real Madrid B).
Zidane alichukua mikoba ya Rafael Benitez aliyeondoka kwenye Kikosi cha kwanza hapo January 2016 .
Kwenye Mkutano wake na Waandishi wa Habari...

 

4 years ago

Mwananchi

Muhongo aachia ngazi

Dakika 50 zilimtosha Profesa Sospeter Muhongo kujieleza kwa urefu wakati akitangaza uamuzi wake wa kujiuzulu uwaziri wa Nishati na Madini akisema “anataka nchi isonge mbele” baada ya kashfa ya uchotwaji fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow kutikisa Taifa.

 

1 year ago

Michuzi

Hatimaye Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma aachia ngazi

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amejiuzulu baada ya shinikizo nyingi kutoka kwa chama chake. Kapitia hotuba yake iliyopeperushwa kwa njia ya televisheni alisema anajiuzulu mara moja lakini akaongeza kuwa hakubaliani na uamuzi wa chama cha ANC.Chama cha ANC kilikuwa kimemuambia aondoke madarakani au akabiliwe na kura ya kutokuwa na imani naye bungeni.Zuma mwenye umri wa miaka 75 amekuwa akikabiliwa na shinikizo za kumtakja ampe nafasi mamamu wake Cyril Ramaphosa, ambaye ndiye sasa kiongozi...

 

5 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ: MKUU WA USALAMA WA RAIS WA MAREKANI AACHIA NGAZI LEONa Sultani Kipingo
Habari zilizotufikia sasa hivi zinasema kuwa Bi Julia Pierson (pichani) , Mkuu wa Kikosi cha Usalama wa Rais wa Marekani maarufu kama Secret Service, amejiuzuru nafasi hiyo, Waziri wa Mambo ya Ndani wan chi hiyo  Bw. Jeh Johnson ametangaza leo. Katika taarifa yake Bw. Johnson kasema atamteua Bw. Joseph Clancy kukaimu wadhifa huo nyeti.

Afisa habari wa Ikulu ya Marekani Bw.  Josh Earnest amesema katika mkutano na wanahabari leo kuwa Rais Barack Obama alimwita Bi Pierson na...

 

4 years ago

Habarileo

Hatimaye Profesa Muhongo ajiuzulu

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoHATIMAYE baada ya kukabiliwa na shinikizo la muda mrefu kuanzia katika vyombo vya habari, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadaye katika vikao vya vyama vya siasa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amejiuzulu wadhifa huo.

 

2 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: LAZARO NYARANDU AACHIA NGAZI CCM NA KUUBWAGA UBUNGE

Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kwa tiketi ya (CCM), Lazaro Nyalandu muda mfupi uliopita ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya chama hicho na kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge kupitia (CCM) kwa madai kwamba hafurahishwi na hali ya kisiasa inayoendelea nchini.
ifuatayo hapo chini ni taarifa yake aliyoitoa wakati akitangaza uamuzi wake huo.
NIMEAMUA kujiuzulu NAFASI yangu ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM, pamoja na nafasi zote za Uongozi ndani ya Chama kuanzia...

 

4 years ago

GPL

HATIMAYE WAZIRI WA NISHATI NA MADINI, PROFESA SOSPITER MUHONGO AJIUZULU

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akiongea na wanahabari ofisini kwake leo. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amejiuzulu nafasi hiyo leo ofisini kwake Dar kutokana na sakata la Escrow. Hatimaye Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospiter Muhongo amejiuzulu leo jijini Dar es Salaam. Waziri Muhongo amechukua uamuzi huo leo ofisini kwake mbele ya waandishi wa habari. Kujiuzulu kwa Muhongo...

 

4 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: PROFESA SOSPETER MUHONGO ABWAGA MANYANGA

Habari kutoka katika mkutano wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (pichani) na wanahabari ofisini kwake Dar es salaam muda huu zinasema kiongozi huyo ameamua kubwaga manyanga. Sababu na habari kamili ya hili tutawaletea punde baada ya mkutano huo kwisha.

Ila kasema ameamua kujiuzulu kwa kile alichotaja kuiachia serikali na Bunge kusitisha malumbano ya sakata la Escrow, akidai inaonekana yeye ndiyo tatizo. Stay tuned for more....

 

2 years ago

MillardAyo

BREAKING: Rais Magufuli amtaka Profesa Muhongo ikibidi ajiuzulu

Leo May 24 2017 Ikulu Dar es salaam Rais Magufuli alikua anakabidhiwa Ripoti ya ukaguzi wa zile Kontena za mchanga wa madini zilizozuiwa kusafirishwa kwenda nje ya Tanzania. Baada ya kupewa Ripoti hiyo ambayo imefichua makosa mbalimbali yaliyofanywa, Rais Magufuli mwishoni wakati anamalizia kuonea amemuagiza Waziri wa Nishati na madini Profesa Muhongo kujitafakari na kuchukua […]

The post BREAKING: Rais Magufuli amtaka Profesa Muhongo ikibidi ajiuzulu appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani