BREAKING NEWZZZZ: RAIS DKT MAGUFULI AFANYA MABADILIKO MADOGO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitangaza mabadiliko madogo katika baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 7, 2017. Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi pamoja na maafisa waandamizi wa Ofisi ya Rais walikuwapo. Taarifa kamili itawajia baada ya muda si mrefu. Picha na Ikulu

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

Breaking News: RAIS MAGUFULI AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amefanya mabadiriko katika baraza lake l mawaziri ambapo baadhi ya mawaziri wamepoteza nafasizao huku baadhi ya wengine wakipanda huku wengine wapya wakiteuliwa miongoni mwao naibu wa nishaati amepanda cheo na kuwa waziri
Mabadiliko ya hayo yaliyofanyika yamefanya kuongezwa kwa wizara mbili, hivyo kufikia wizara 21 kutoka 19 ambazo zilikuwepo.
Tukio hilo limetokea leo ambapo Rais Magufuli pia amezigawa Wizara ya Kilimo, Mifugo, Uvuvi...

 

4 years ago

StarTV

Rais Kikwete afanya mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri.

Rais Jakaya kikwete wa Tanzania ametangaza mabadiliko katika baraza lake la mawaziri.

Rais amewateua mawaziri wanane wapya pamoja na manaibu watano.

Tangazo hilo lilifanywa na katibu katika ikulu ya rais balozi Ombeni Sefue.

Mabadiliko hayo yanajumuisha wadhfa wa waziri wa nishati na kawi wa Profesa Muhongo ambaye amejiuzulu mapema leo pamoja na wadhfa wa waziri wa ardhi ambao uliwachwa wazi baada ya kupigwa kalamu kwa Anna Tibaijuka.

Mawaziri hao wawili wanahusishwa na kashfa ya ufisadi...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Rais Kagame afanya mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri

Rais wa Rwanda Paul Kagame amefanya mageuzi madogo ndani ya baraza lake la mawaziri kwa kuunda wizara ndogo inayohusu maswala ya katiba na sheria nyingine.

Wizara hiyo ndogo imepewa Bwana Evode Uwizeyimana ambaye wengi hapa Rwanda walimfahamu kama mkereketwa wa upinzani dhidi ya utawala wa RPF kabla ya kurejea nchini miaka 2 iliyopita akitoka uhamishoni nchini Canada.

Mara tu baada ya kurejea nchini Bwana Uwizeyimana alijumuishwa katika tume ya Rwanda iliyofanya mabadiliko ya katiba ambapo...

 

4 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZ....: RAIS KIKWETE ATANGAZA MABADILIKO MADOGO YA BARAZA LA MAWAZIRI JIONI HII

Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akizungumza na vyombo vya habari jioni hii wakati akitangaza mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri,Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo ametangaza mabadiliko madogo katika Baraza lake la Mawaziri,ambalo Ameliapisha jioni hii Ikulu,Jijini Dar es Salaam.
Akitangaza uteuzi huo muda mchache kabla ya Mawaziri hao kuapishwa, Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue amesema uteuzi huo unahusu pia...

 

1 year ago

Michuzi

RAIS DKT SHEIN AFANYA MABADILIKO MADOGO BARAZA LA MAPINDUZI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mapinduzi kwa kuongeza Wizara moja zaidi, na kuwabadilisha Wizara baadhi ya Mawaziri.

Kufuatia mabadiliko hayo, shughuli za Vijana zimehamishiwa katika Wizara mpya ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo; shughli za Mazingira zimehamishiwa katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais;na shughli za Wakala wa Serikali wa Uchapaji zimehamishiwa Wizara mpya ya...

 

1 year ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AFANYA MABADILIKO YA BARAZA LA MAWAZIRI, LEO

IKULU, DAR ES SALAAM
Rais Dk. John Magufuli leo Oktoba 07, 2017 amefanya mabadiliko ya Baraza lake la Mawaziri kwa kuongeza idadi ya Wizara, kuteua Mawaziri na Naibu Mawaziri wapya na kuwahamisha Wizara baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri.

Taarifa iliyotolewa na Ikulu jijini Dar es Salaam, imesema, katika mabadiliko hayo Rais Magufuli ameongeza idadi ya Wizara na Mawaziri wake kutoka 19 hadi 21, na Naibu Mawaziri kutoka 16 hadi 21.

Ikulu imesema, iliyokuwa Wizara ya Nishati na Madini...

 

2 years ago

Michuzi

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani